Nimegonganisha mabwana kanisani, nimetoka mzima, wanaume watu wa ajabu sana

Mleta mada hebu kwanza tuambie unapendelea kutumia kinywaji gani?

Kama ni wine basi sitashangaa kwa hilo igizo ulilowaletea hao wanaume wawili.

Umeshindwa kuwaheshimu, hujaziheshimu hisia zao, mambo yako private ukawapelekea kanisani kwenye mkutano, kwani walikwambia wanahitaji kikao na wewe au wanataka jibu?

Next time wacha wenge, umezingua big time.
 
Kwa sensa gani hiyo inayosema wanaume tupo wengi kuliko wanawake!??
Embu nipe hiyo sensa ya mwaka gani.
Maana sensa ya mwisho wanawake mpo mara mbili na robo ya wanaume.
Wanawake mnaowatafuta wanaume wako wachache ila wame maji maramoja wako wengi
 
Majamaa ukute yashakua marafiki yanapeana na madili ya maokoto na weekend yanalewa pamoja huku yanakuongelea halafu yanacheka kinyama kila yakikukumbuka
Ukiona wanakuongelea ujue umewazidi uwezo na akili
 
Yaan mpaka umri huu hajui kama wanaume wanataka uchi

Mpaka umrii alionao hajui kuwa wanaume wanataka uchi?
Mwanaume - Mbwa - farasi - wote wanatakaga uchi kwa wanawake

Shida iko kwa mmiliki uchi, ndio mwenyemamlaka ya kutoa au la
 
Amekutana na wanaume wa dar, am man with respect kwanz ahata show up na tukio kama hilo atalichukulia ni dharau kiwango cha lami
 
Bro mbona unalialia
Au wewe ndio muhusika?
Povu vepe?
Tukafulie boxer yako?
 
Wanawake mnaowatafuta wanaume wako wachache ila wame maji maramoja wako wengi
Ungesema kuwa wanawake bora wako wachache hapo ungeeleweka.
Ila una uhakika wewe ni miongoni mwa wanawake bora!??
Maana kilicho bora hakiachwi kirahisi.
 
Amekutana na wanaume wa dar, am man with respect kwanz ahata show up na tukio kama hilo atalichukulia ni dharau kiwango cha lami
Mwanaume wa wap ana majibu kama yako?
Haujawahi kupenda bado
 
Ungesema kuwa wanawake bora wako wachache hapo ungeeleweka.
Ila una uhakika wewe ni miongoni mwa wanawake bora!??
Maana kilicho bora hakiachwi kirahisi.
Mwenye ubora wake ana haki na maamuzi ya kukubali na kukataa
Wengi wanakataa wanaume
 
Mwenye ubora wake ana haki na maamuzi ya kukubali na kukataa
Wengi wanakataa wanaume
Aya ila usipende kuongea kauli jumuishi ama kauli hitimishi kiwepesi.
Maana mwanaume mchezeaji anajali kuliko mwanaume mwenye upendo.
Pia wanaume humpa mwanamke ubora wa muda tu.
 
Aya ila usipende kuongea kauli jumuishi ama kauli hitimishi kiwepesi.
Maana mwanaume mchezeaji anajali kuliko mwanaume mwenye upendo.
Pia wanaume humpa mwanamke ubora wa muda tu.
Yote umeandika hapo ni singeli
 
Bro mbona unalialia
Au wewe ndio muhusika?
Povu vepe?
Tukafulie boxer yako?
Boxer yangu inafuliwa na wangu, hiyo sio kazi yako.

Nani aliyekwambia kanisani ndio pahala pa kuwakutanisha wanaokutaka?

Una tatizo upstairs ajabu ndio unauliza wanaume wana shida gani!.
 
Boxer yangu inafuliwa na wangu, hiyo sio kazi yako.

Nani aliyekwambia kanisani ndio pahala pa kuwakutanisha wanaokutaka?

Una tatizo upstairs ajabu ndio unauliza wanaume wana shida gani!.
Yani hata maamuzi aliyofanya inaleta doubt ya maturity yake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…