Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

Hongera saa ndugu nyoka, tafuta pango au simo uishi kwa amani
 
Hii ccm inaongeza vichaa w kidigital
Una muona mtu kama smart kumbe kipa katoka.
 
Hii ccm inaongeza vichaa w kidigital
Una muona mtu kama smart kumbe kipa katoka.
Hakika, CCM imeshindwa kuboresha maisha ya watu wake, lakini hamna proof ya moja kwa moja kwamba CCM inawapa watu ukichaa. Ila inatia shaka sana ya utimamu wa akili pale unapoona baba mtu mzima kwa sababu ya kukosa ajira anaamua kujiita MamaSamia2025 ili tu asifie mtu apate mkate usiodumu.

Wengine kama Lucas Mwashambwa kuanzia asubuhi hadi jioni ni kumsifia tu mama, unajiuliza kazi anafanya saa ngapi? Jibu ni jepesi, he's jobless.

Wengine ndio hawataki hata jina "binadamu" wameamua kujiita CHAWA.
chawa wa mama ChawaWaMama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…