Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

Aya, mnaotetea bangi njooni huku muone madhara yake.
 
Hongera mkuu kwa kufaulu mtihani wa past life, sasa naona umejiupgrade kuwa mwanadamu, basi ongeza juhudi ili ukifa kwenye haya maisha, uje uzaliwe Ndege uwe unapaaa angani. KING MIDAS
 
Ni sahihi, ameshajua yeye anatumika ktk ufalme wa giza na inaonekana anaipenda kazi yake.
Kupata enlightenment ni kupata nuru ya rohoni. Ukiwa na mwanga rohoni mwako unalishinda kabisa Giza na nguvu zake zote
 
kwa namna maisha yanavyozidi kuwa tight watu nao wanazidi kuchanganyikiwa.
Hakika. Ila ukijua maisha ni nini kamwe hautochanganyikiwa kwani kila Jambo na wakati wake, na nyakati ngumu hazidumu. Waswahili wanasema, hamna marefu yasiyo na ncha. Pia mbio za sakafuni huishia ukingoni
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Kwahy sasa unataka kutuaminisha kuwa wewe ndo yule Sinuna wa Bahati Bukuku now umekuwa πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
NEnda Amazon kwa ndugu zako, kabla hatujaamua kukua ndugu zako anakonda washindwe kukuzika
 
Wachawi na nyoka hawapatani kabisa, wachawi wanapatana na bundi, mapaka nk. Nyoka sio kiumbe wa usiku, wala wa gizani ndio maana usiku hulala.
kama ujawah kutumiwa uchawi wa nyoka ya kamba basi utaamini wachawi na nyoka hawapatani

watu wanatumia hadi kuku, chura kuroga iwe nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…