Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

Kwa hiyo mtoa mada unaweza kutembelea tumbo kama ndugu zako?
 
Kondom moja tu ingezuia huu upumbav
 
Wachache Sana watakuelewa
debon
Hili lipo kwa ndugu yangu familia ya shangazi huko ukerewe.

Akija nyumbani au mahala popote pale kuna nyoka hutokea na kwa maelezo yao ni kuwa wao nyoka ni mizimu yao na haina madhara kabisa.

Wanachokifanya nyoka akitokea humsemesha" mgeni wetu asante kwa kuja kutusalimia. Tupo salama hapa nyumbani. Tunaomba uondoke kwa amani.
Nyoka ataondoka.

Wengi humu ni wabishi sana.
 
Ukishangaa ya Gambo na Kipara wa Rufiji utayaona na mleta uzi nyoka mstaafu
 
Hii umeenda ukiwa na akili zako timamu au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna kitu umekizungumza ila kwa namna ya tofauti. Ila nyoka sio. Wewe uko incarinated na habit tofauti zamani. Fuatilia ndoto, Na nature inavyokukumbusha.
Nyoka ni serpent ni ishara ya maarifa na welevu mwingi ila na uwovu ndani yake. Past yako haiwezi kuwa nyoka dingii
 
We serpent umenipigia spana hapo nipo hapa nacheka hadi machozi…!! 😹😹😹
 
Hii umeenda ukiwa na akili zako timamu au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kondom moja tu ingezuia huu upumbav
Hakika.
Juzi ulikuwa Zero Brain Leo ni ZILLIONAIRE .
Kati yangu na wewe yupo pumbavu Mmoja.
Zero brain ni ubongo sifuri, Zillionaire ni aibu nyingine, hamna namba inaitwa zillion, sasa wewe ukadhani mtu akiupita UTAJIRI wa trillion anaingia kwenye zillion.

Jifunze kuwajibu wenzako kwa nidhami na adabu, hata kama hukunaliani na machapisho yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…