Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

Kuna vitu hatutakiwi kupuuza, inatakiwa kuhoji kwa kina
 
Punguza bangi. Asili yako ni uchiiii
 
Umejuaje ulikuwa nyokaa???
 
ooh maskini maisha yanachanganya ona huyu ghafla amekuwa nyokaπŸ˜‚πŸ˜‚
Kila mtu atachanganyikiwa kwa zamu
 
Kwenye sinema labda
sinema wap
kuna watu wanapata ajari mfano za pikipiki na kuumia kidogo (kidonda) ila kile kidonda anakuwa katumiwa nyoka na

kuna watu wameumwa na kuku na ndio ukawa mwanzo wao wa kuugua hadi mauti

kunambia mchawi na nyoka hawapatani ni uwongo wa waziwazi labda kama stori ulisikia vijiweni

uliza wenye macho wanaona kabisa watu wanatembea wamevalishwa nyoko
 
Mara ya mwisho umepima lini maleria
 
Tupe maelekezo sasa jinsi ya kutambua mkuu
 
Sawa mkuu nisamehe sikudhamiria kukuudhi nilikuwa natest mitambo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…