Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwa hivyo basi usisema kwamba bahati ni jambo jema linalotoka kwa Mungu.Jambazi ni mtu mwenye maamuzi na uwezo binafsi wa kuamua, yupo responsible kwa matendo yake na ana free will of choices
kuna watu wanapanda na hawavuni kabisaHakuna kitu kinaitwa bahati! Apandacho mtu ndicho avunacho!
Mungu hatoi bahati, hakuna sehemu nimesema hivyo.Kwa hivyo basi usisema kwamba bahati ni jambo jema linalotoka kwa Mungu.
Maana hata jambazi hupata bahati licha ya matendo yake mabaya.
Na kinyume chakekuna watu wanapanda na hawavuni kabisa
kuna watu wanapanda na hawavuni kabisa
Naomba umtumie huyo kijana pesa kama hujafanya hivyo.Hili swala nilikuwa nalijua ila leo baada ya message fulani hivi kutumiwa na kijana mdogo ambaye nilizoeana naye ambapo alikuwa mfanya usafi ofisini, baadae alipata kazi sehemu nyengine ila kwa wakati kadhaa alikuwa ananipigia simu na kunipiga vizinga.
Sababu nilikuwa najua hali yake, nikawa nampa tafu ila sometimes huwa namzingua kuhusu tabia yake. Ila leo nilivomchallenge kuhusu tabia yake ya kuomba omba alinipa jibu deep na la kutafakari sana.
Alivhoniambia anapambana na Hana Bahati nilitamani kulia sababu ni kweli anapambana sana. Kuna wenzake kama yeye ila atleast wanajitahidi ila yeye pekee ndio analia njaa. Usijione mjanja jua kuwa una Bahati.
Nausibili huu wakati na unifikie AaminNgoja nirejee maandiko yasemavyo kuhusiana na hili
MHUBIRI 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
ππNausibili huu wakati na unifikie Aamin
Nina balaa mkuu shida udomo zege pro max sijui nifanyeje kama sio hivyo ungekuta nishakula mtu na dadaake na mishangazi yote ya hapa mtaani udomo zege ni shida sana usikie tu kwa mtu usiombe ukutokeeeWewe django unakataliwa hadi na mama ntilie πππββοΈ, wewe huu uzi unakuhusu
acha ujinga wew πππAngalia sasa umewaza nn
Ulisema Riziki ni mambo mema na mazuri ambayo mtu hupata kutoka kwa Mungu wake.Mungu hatoi bahati, hakuna sehemu nimesema hivyo.
Ila bahati ni niniRiziki ni mambo mema au mazuri ambayo mtu huyapata kutoka kwa Mungu wake.
Amen mkuu napokeaHapa umeupiga mwingi....ubarikiwe
Albert ..... Namnukuu Eduardo La Volpe au La Volpiana moja ya Mtu anaeabudiwa na Guardiola kuwa ni matumzi ya Muda na nafasi Kama sio historia na presha (Intelijensia n saikolojia ) ndiyo huamua mchezo.Asilimia 100 ya makocha wote kwenye michezo duniani inapotokea kuwa wamepoteza mechi ilhali walikuwa wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao jibu huwa ni moja tu... " hatukuwa na bahati siku ya leo".
Hivyo katika maisha pamoja na jitihada tunatakiwa kuwa na bahati.
NA wahenga walisema heri ukose mali kuliko kukosa bahati. Wengine wakasema jitihada hazishindi kudra.
Huyo Mungu anatoa riziki gani?Mungu anatoa riziki
Hutoa riziki kwa wakati autakaye yeye
Wapi wewe huyo Mungu alikugawia riziki?Mungu ana rehema mbili hapa duniani humgawia anaye mtii na asiye mtii hapa duniani
Watu wangapi wamesubiri kupata hiyo bahati na wametoka kapa?Swala la kusema mtu yule ana bahati au mtu huyu Hana ni Ukosefu Wa subra
Tujikite kwenye kusubiri
Hakika mwenye kusubiri yupo karibu na mungu!
coockie monster