LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
-
- #21
Exactly. Huku ni kucheza na hisia zako ndo maana ma trainer wengi wa wanawake wana kashfa au tuhuma za ushoga maana ukishaona umezoea kucheza cheza nao hao watu na huwafanyi kitu wa hujisikii kitu basi uko hatarini sanaKabisa kama hiyo kazi ni kama Kucheza na hisia zako panatakiwa umakini sana
Mwenye control ya kuzuia kisitokee ni trainee ila hadi hapo walipofikia, trainer hana ujanja.Brandon Moreno said..
"Maybe not today, maybe not tomorrow and maybe not the next month..... But one day🤣🤣
#Mantra for patience and perseverance..
Unatumia material gani kutengeneza dumbbell?Kama hutojali mkuu share hata picha ya vifaa ulivyotengeneza. Mimi nimetengeneza vya kwangu ila bado sijamaliza napambana nitengeneze zile plates zenye weight ya walau kilo 5 na kilo kumi. Pamoja na dumbbell ya kilo 12.
Noma sanaExactly. Huku ni kucheza na hisia zako ndo maana ma trainer wengi wa wanawake wana kashfa au tuhuma za ushoga maana ukishaona umezoea kucheza cheza nao hao watu na huwafanyi kitu wa hujisikii kitu basi uko hatarini sana
Yeahh ujue mazoezi pia ni kama ulevi tu wa mpira au pombe. Ukishazoea inakua ngumu sana kuvikosa maana ndio vitu vyako hivyoKumbe watu mpo serious hivi kwenye mazoezi
For sure mkuuBrandon Moreno said..
"Maybe not today, maybe not tomorrow and maybe not the next month..... But one day🤣🤣
#Mantra for patience and perseverance..
U know me bwana mdogo, hata usijali. Kila kitu kitakaa sawa, hapa ni kazi tuMwenye control ya kuzuia kisitokee ni trainee ila hadi hapo walipofikia, trainer hana ujanja.
Square pipe ulizotumia ni hizi za kawaida za hardware? Hizo dumbbell umepata wapi?Kama 570,000/= tu
Sure nikiwa advance nilikua nakimbia kila siku kilomita Tano na ilikua Kuna ka kilimaYeahh ujue mazoezi pia ni kama ulevi tu wa mpira au pombe. Ukishazoea inakua ngumu sana kuvikosa maana ndio vitu vyako hivyo
Ahh hamna kitu mkuu ushaisha maana tamaa ishawakaU know me bwana mdogo, hata usijali. Kila kitu kitakaa sawa, hapa ni kazi tu
Kuwaka tamaa ni jambo moja , tena la kawaida kabisa. Na kutekeleza tamaa zako ni ishu nyingineAhh hamna kitu mkuu ushaisha maana tamaa ishawaka
mazingira ndio yalikua yanaku influence. Na kwakutokua katika enviroment ile ile ndio ikawa sababu.Sure nikiwa advance nilikua nakimbia kila siku kilomita Tano na ilikua Kuna ka kilima
Ukifika ule muda wa mazoezi huwezi kuendelea kulala Tena na ikitokea siku hiyo hujaenda basi siku inakua nzito sana
Nilipotoka hapo sijawahi kurudia Tena hyo routine
Yes...Square pipe za madukani ndio nulizotumia.Square pipe ulizotumia ni hizi za kawaida za hardware? Hizo dumbbell umepata wapi?
Zege (simenti, mchanga na kokoto), box, chuma.Unatumia material gani kutengeneza dumbbell?
Safi. Bila shaka unatumia zile kokoto ndogo ndogo.Zege (simenti, mchanga na kokoto), box, chuma.
Si kila upele wa kukuna tu kwa kukurupula. Vipele vingine ukikuna vikatoa maji husababisha infection mahala penginePale upele unapomuota mtu asiye na kucha...
Unapozungumzia wabongo mtu anaweza fikiri unawajua wabongo wote kumbe hata robo ya bongo hujazunguka ukutane na wabongo wenyewe sasa achana na hawa wa mtandaoni ambao hata 10% hawafikiIla Wabongo wanaendekeza ngono sana, utadhani ni hitaji la Lazima. Khaaah