Nimegundua Hawa Gym Trainners Wana Kazi Ngumu Sana Wakuu๐Ÿ˜…

Nguruwe washa kua kua ututumie kitimoto ๐Ÿ˜†
Daahhh nguruwe wanaenda poa sana man. Tena last month nimechukua breed ya kisasa ya Duroc watatu, nimeanza kuwafuga pia. Nimepunguza punguza hawa kienyeji wamebaki kama 25 tu.
 
Reactions: Nus
Polepole tu Mtakulana kimasihara tutakusubir pale kwenye uzi wa kumla mtu kimasihara
 
Polepole tu Mtakulana kimasihara tutakusubir pale kwenye uzi wa kumla mtu kimasihara
Hamna. Huyu kama nimemuepuka week ya kwanza na ya pili najua kwasasa hakuna shida. Saa hii namuachia tu funguo anapiga tizi mara kadhaa nikichelewa kurud namchek tu ananipasia key yangu naingia gheto.

Ila sasa jana nimerudi usiku sana kama saa 3 . (Huku pande hizi saa 3 usiku ni usiku sanaa ๐Ÿ˜‚), nilipofika nikamcheki kwa sms kuwa anisaidie fungua, ila sasa nguo alizotoka nazo kunipa hiyo fungua kidogo zikanipeleka mbali kimawazo, asilimia kubwa ya kifua chake kilikua wazi, nikachukua key chap chap nikasepa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Labda huyo dem asiwe amekuelewa, ila kama amekuelewa nakuhakikishia mtafika huko,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Duroc wako poa sana msosi, banda safi na uthibiti wa magonjwa matokeo yako vzr
Yeahh i hear those stories ila sasa ndio nimeingia kwa game ya hii breed nijionee mwenyewe maana maneno na uhalisia kidogo sio muda wot vina correlate
 
Labda huyo dem asiwe amekuelewa, ila kama amekuelewa nakuhakikishia mtafika huko,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Madem wengi nao siku hizi ni mabaharia. Sio lazima awe amekuelewa, anaweza tu akawa ametamani kupita na wewe aongeze idadi ya list, si unajua their hypergamy nature???
 
Mkuu kama hutojali tusaidie kuweka namba yako ili tuweze kupata Video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ