Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

hela zao inasemekana ni za majini mwenye uzoefu aeleze
 
wanaiba kivipi?
 
Kwakuwa wanaka chumba kimoja, hufanya mapenzi mchana muda wa lunch , ndio maana hufunga maduka masaa mwili ya mchana.
 
kwa ubahili ni sawa kabisa
wanapigana majungu wao kwa wao
wachawi sanaa
hawapendi mswahili upate
mishahara yao kamwe haitakufanya uendelee hata yesu kristo akae juu ya dari lako.
kifupi ni washenzi tu
 
Namba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
Huo ujanjaujanja unaouzungumzia ndio ugenius wenyewe sasa. Mtu anaeweza kupiga hela katika mazingira amnaho wewe yanakushinda huyo ni genius. Sbida hetu kubwa wamatumbi hatutaki kujikubali kwamba wengi wetu ni failure tunabaki kushutumu na kulalamika.
 
kwa ubahili ni sawa kabisa
wanapigana majungu wao kwa wao
wachawi sanaa
hawapendi mswahili upate
mishahara yao kamwe haitakufanya uendelee hata yesu kristo akae juu ya dari lako.
kifupi ni washenzi tu
Siyo kweli. Wahindi ukifanya nao kazi na kama unadeliver ki weledi watakulipa kiasi chochote mtakachokubaliana. Ila kama ni kazi hizi unskilled lazima wakubane sana sababu ni wafanyabiashara wanajua wanachofanya. Binafsi ninafanya kazi nyingk sana na wahindi sijawahi punjwa kipato. Kama huijui thamani yako utaishia kuwalalamikia tu wahindi kumbe tatizo ni wewe mwenyewe.
 
Sio kweli,wezi wa mali ya umma wote ni ccm na wapo Ikulu,hakuna muhindi,Wala mwarabu,Wezi wa escrow,Richmond hakuna mwarabu,
Wizi wao ni indirect. Ni wahongaji wakubwa wa maafisa wa serikali ili kufanikisha mambo yao. Nenda tra, uhamiaji, vibali vya kazi wanapelekewa nyumbani, kodi wanahonga 10% na kupunguziwa 50%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…