Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Ni wabaguzi sana jamaa, wanahospital zao, benk, shule nk Nyumba zote za msajiri wametufukuza waswahili

aina yao ya maisha wanayoishi kila jamii duniani ikiamua kuishi hivyo basi dunia haiwezi kuwepo na hakuna maana ya maisha..Mungu hakuumba dunia tuishi wanavyoishi wao..
 

Haitatokea bosi wangu awe mhindi au ngozi nyeusi.
 
Utajiri ni suala la historia kabla ya uhuru tayari wao ni matajiri
 
Mkuu tukumbuke tu ya kwamba hawa Wahindi tulonao Bongo ni wachache sana kulinganisha na hao walobaki makwao (india) hivyo kutumia tabia za baadhi yao waliopo hapa nchini ku-generalize na tabia za Wahindi kwa ujumla ni dhulma kuwadhulumu wahindi.
Wote wako hivyo mkuu,nimekutana nao kwenye nchi mbalimbali
 
Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.

Hapo unajiona umeongea bonge la point. Acha chuki na ubinafc kijana, maisha yenyewe ni mafupi mzehe.


Unajua kuwa nyumba za msajili walijenga wahindi kwa hella zao, na serikali ya babu yako nyerere alieko huko kaburini akawanyang'anya!! Ndivyo unavyopenda eeh! Ictoshe baba yako magu nae akafata nyayo za babu yako.
 
Bora ngozi nyeusi mtu wangu ukikutana na mstaarabu mbona utaenjoy sana.
Uzuri wa mtu mweusi akiwa Boss wako huyo huyo anakuwa rafiki,huyo huyo anakuwa ndugu,ukiwa na shida unampiga mizinga ya hapa na pale.
Ila hao wahindi hawana undugu na mtu

Aisee, may be hujafanya kazi na bosi mswahili. But co wote wabaya, others wanajitambua.


Mhindi
Mwafrika

Bosi wako akiwa mzungu or mwarabu utaenjoy sana mzehe.
 
No 1 sio kweli, labda ungesema Wayahudi. Ni maujanja tu ya ulimwengu wa roho.
 
Wahindi kwao wanaishi kimatabaka lakini wakija hapa bongo wanataka wote wapewe heshima = = na Mo

Uku kwetu wengiwao wanajifanya wastaalabu. But Kiboko yao waalabu. Uarabuni wamejaa ka utitiri kila mutu na kazi yake, mwingine anaosha vyombo, kusafisha mabarabara, kuvuta vyoo, kubeba taka n.k. wakileta ushenzi tupwa ndani au kurudishwa bombay πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sema yanapiga kazi mazee, tofauti na waswaili wenzangu all ze time smart phone mkononi πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Wasomali wako vizuri ...mfano jengo la City Mall pale posta Jirani na Aliba ..mmiliki ni Msomali ....Wauzaji rangi maarufu K.koo Kanda Trading ..ni wasomali
ila mitaani siwaoni sana...napenda kutembelea nchi mbali mbali lakini Somalia NO![emoji2]
 
Namba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
1.Mshana wewe ni mbobezi kwenye uchambuzi ila nakuhakikishia namba moja iko sawa ukitaka kujua nenda kwenye kampuni la Microsoft asilimia 66 waajiriwa ni wahindi hawa jamaa kwa hesabu na computer ni balaa sana

3.Hiii namba 3 hukusema wewe ila naweza ikubali mhindi ni mlalamishi mno hata kama umefanya kosa la kibinadamu anakulalamikia.Hata ukifiwa anakuambia sasa wewe nani kakuambia wewe fiwa wewe penda sana fiwa wewe hiyo shida wanayo
 

Selfish inakusumbua, watu kama wewe maendeleo mtayackia kwa wengine.
 
Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
Kwa taarifa yako hawa jamaa ndio wameshikilia uchumi wa nchi hii mfano wakiamua kutoa hela zao zote benki wewe utakosa hata hela ya daladala.Idi Amini aliwafukuza kilichomkuta uchumi ulishuka sana ikafikia ukienda sokoni kununua bidhaa unakwenda na mfuko wa Rambo manoti hakuna mtu anakuvamia Museveni alivyorudi akawarudisha kwa kuwapigia magoti na uchumi wa Uganda uko sawa sasa.
Mmoja wa aliowafukuza Mudhavani akaenda wingereza alivyofika kule akageuka akawa millionea mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…