Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Nikienda Shaban Robert,Aga Khan Mzizima,sionagi watoto wa kihindi wenye akili mno.
 
Kanjibhai wote kavu tu
Nalog off
 
Yaani uwatimue watu wanasaidia kuwapa kazi watanzania wenzako wenye Elimu na wasiyo na Elimu

Mkuu unataka tukale wapi ukiwafukuza au unataka nasisi tumiliki pesa za majini? Hebu kuwa serious mkuu

Hizo ajira na hela wanazotoa ni ndogo saana kulingana na wizi wanaoufanya hapa.... ni bora hizo hela zikabaki hapa zikawa mali ya watanzania....tunapaswa kushika uchumi wetu wenyewe kwa jasho na damu kuliko kuachia hawa jamaa kufanya watu wetu watumwa... wakiondoka watu wetu watajifunza na mwisho wa siku tutapiga hatua kivyetu huku uchumi ukibaki hapa...

Ni wakati Wahindi, waarabu, wachina na hata wazungu wanaokuja hapa wakafahamu hapa ni nyumbani kwetu na sisi sio ndugu zao na hatuhitaji undugu nao na wanachochuma hapa wawekeze hapa na si vinginevyo...na hata wakiajiri watu wetu wahakikishe wanawalipa vizuri na kulipa stahiki zote, wahakikishe kodi wanalipa vizuri bila janja janja..
 
Mkuu tukumbuke tu ya kwamba hawa Wahindi tulonao Bongo ni wachache sana kulinganisha na hao walobaki makwao (india) hivyo kutumia tabia za baadhi yao waliopo hapa nchini ku-generalize na tabia za Wahindi kwa ujumla ni dhulma kuwadhulumu wahindi.
Wahindi waliopo hapa ni wachache, na hao wachache asilimia kubwa yao (wote?) wanafanya manyanyaso makubwa kwa ngozi nyeusi. Waliovuka India wanaelezea kiwango kilicho kubuhu cha ubaguzi. Unataka itumike sample gani ya wahindi kuelezea ubaguzi wao?
 

Hizi ni fikra za kitumwa, tusipende kuendekeza utumwa. Tujitahidi kuwaza kwanguvu na kutokuwa na fikra tegemezi...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanampapasaa?
 
Wahindi waliopo hapa ni wachache, na hao wachache asilimia kubwa yao (wote?) wanafanya manyanyaso makubwa kwa ngozi nyeusi. Waliovuka India wanaelezea kiwango kilicho kubuhu cha ubaguzi. Unataka itumike sample gani ya wahindi kuelezea ubaguzi wao?
Sintapinga kama mtu atalaumu asilimia fulani ya Wahindi kwa manyanyaso...yaweza kuwa ninkweli.
Ila kauli ya kusema ni 'wote' hapo ndipo napata ukakasi. Wewe personally umefanya kazi kwa Wahindi wote? Ujue ukisema 'wote' maana yake ni 'wote' yaani 'wote wote' bila kuacha mtu....kikawaida tu hiyo sio sawa.
Ila ikisemwa aidha ni Wahindi wachache, au Wahindi wengi (sio wote) ndo hunyanyasa basi hapo inaeleweka,lakini si kusema Wote jamani.
 
Kuna haja ya hawa watu kuangaliwa kwa jicho kali na kuwekewa sheria kali ili sasa waishi kama watanzania kweli na sio hiki comedy wanayoifanya.
Halafu chaajabu uhamiaji kutwa wanakimbizana na waethiopia ila hawa wahamiaji wa kutoka India wanaachwa tu wakitugeuza watumwa
 
Nyumba za msajili hawakujenga kwa hela zao, zipi? Hizo ni hela walizo tuibia kupitia madini yetu na biashara za ujanja ujanja.
 
ujamaa hautakiwi uwe na ubinafsi au hiyo misingi washaivunja
 
Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
Unahisi kutakufanya kuwa tajiri? Mugabe aliwafukuza wazungu zimbabwe mashamba akawapa waafrika, waafrika wakauza zana za kilimo na mashamba wakashindwa kuyaendesha.
Tatizo letu siyo wahindi wala waarabu bali ni sisi wenyewe.
Yani hatufanyi kazi mpaka tusimamiwe hata tukipewa nyenzo bado tu.
 
Hivi wewe house girl wako unamlipa kiasi gani?
 
Binafsi namfahamu mhindi mmoja tu personally, nilisoma nae (classmate) sekondari. Alikuwa mshikaji wangu, shabiki kindakindaki wa Chelsea, alitusimanga sana mashabiki wa Arsenal enzi za Wenger.

Kusema na ukweli jamaa alikuwa mtu poa sana na mtu wa watu.Siku moja moja amenitoa sana misosi ya mgahawa wa shule.

Labda kwa sababu alikuwa mhindi peke yake kwenye kundi la shule ya waswahili.
 
Namba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
Kuwa na akili maana yake ni kufanya jambo lako kwa ufanisi na kwa haraka,wahindi wengi ni kweli wana ufanisi na ni watu wa mipango,ndio maana makampuni mengi makubwa duniani yanaajili ma CEO wahindi au wahasibu na mawakili wa kihindi.Tukubali waafrica wengi ni wavivu hususani sisi waswahili.

Waswahili ni wavivu hatupendi kufanya kazi bila kuongozwa,tuna maneno mengi na muda wote tunawaza ngono, uchawi,majungu na vitu ambavyo havina impact,ikitokea mtu yeyote akawa tofauti na sisi sehemu za kazi hatapigwa vita sana na kuonekana ni mbaya sana.

Ukitaka kuamini angalia hata bungeni ikitokea spika au mbunge ameongea mzaha kitu kinachoashilia ngono utaona wabunge wanavyoshangilia kwa kugonga meza na kuruka ruka, kwa furaha sana, hata kwenye semina za kujengana uwezo maofisini ukitaka waswahili wakuelewe kwa haraka toa mifano ya kingono ndio semina itanoga na kueleweka.

Hata kimalezi chukua mtoto wa kihindi na wa kiswahili, tabia na maono yao ni tofauti kabisa, tusiwachukie wahindi tuwatumie kama mfano kujenga jamii yetu iwe njema na yenye mafanikio.
 
Wanavunja milango na kutuibia?! Au kuna namna tunashirikiana nao?! Mkeo akitongozwa akakubali kwenda lodge kuvua chupi,ukigundua utapambana na aliemtongoza mkeo na kumvua chupi?! au uta pambana na mkeo aliekubali kuvua chupi?!
 
Wanavunja milango na kutuibia?! Au kuna namna tunashirikiana nao?! Mkeo akitongozwa akakubali kwenda lodge kuvua chupi,ukigundua utapambana na aliemtongoza mkeo na kumvua chupi?! au uta pambana na mkeo aliekubali kuvua chupi?!
Unapambana na aliyesababisha, upambana na mwanamke jamii haiwezi kukuelewa na ilishaandikwa mwanamke ni kiumbe dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…