Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Nikienda Shaban Robert,Aga Khan Mzizima,sionagi watoto wa kihindi wenye akili mno.Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi