Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
huna ujuba huoNingekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna ujuba huoNingekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
🤣👍Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarket.
Kuna wale waarabu wa pale tinde kiarabu hakipandi ni kiswahili na kisukuma tu.Sasa Sisi waarabu wa Tanga twende wapi? Maana tunajua kisambaa na kiarabu hakipandi!
Kila mtu ana majukumu yake mule mkuu..Mo katimiza ahadi yake ya kutoa mabilioni klabuni, Manara katoa bilioni ngapi, hata ungekuwa wewe usingemuajiri Manara ndani ya klabu yako
Hapa ndo nasema Iddi Amin alikuwa mwanaume wa kweliNingekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
Ubaguzi unaujua wewe hapa tunasema kilichopo kiukweli hawa jamaa ukibahatika kufanya kazi kwao au umpate mtu aliefanya kazi kwao utasapoti huu uzi, mwanzo nilizadni wanasem vibaya ila nikadhihirisha mwenyewe,mara mia ufanye kazi kwa mzungu si muhind au mwarabu hutoboi ng'ooKila RACE ina tabia zake.....
Ila.....
Hakuna RACE superb kuliko nyingine.....
#StopRacism
#StopBigotry
#StopRacialDiscrimination
#StopHatredAndInjustice
KAZI IENDELEE
NCHI KWANZA KABLA YA YEYOTE NA CHOCHOTE
Kwenye kujamba hapo mkuu nakubaliana na wewe halafu hawajishtukii wala niniKuna baadhi ya wahindi kujamba hadharani wao sio noma. Anaweza jqmba hata mko boardroom mnafanya kikao. Baadhi wachawi sana. Nilifanya mtihani wa cpa Bunju na mmoja wao aliwekq hirizi zake mezani. Wasimamizi walipomnyang'anya aliacha kufanya pepa mpaka mwisho. Over.
Sio kweli,wezi wa mali ya umma wote ni ccm na wapo Ikulu,hakuna muhindi,Wala mwarabu,Wezi wa escrow,Richmond hakuna mwarabu,
98% wamepanga nyumba za shirika la nyumba ambazo hazina chumba kimoja kama unavyosema, saa za mchana wakati wa jua kali huwa wanarudi kuchoma ubani kwa ajili ya Mungu wao jua ili issue za biashara zizidi kwenda vizuri, pia kupata chakula cha mchana kwa kuwa wengi hawaishi mbali na sehemu zao za biasharaKwakuwa wanaka chumba kimoja, hufanya mapenzi mchana muda wa lunch , ndio maana hufunga maduka masaa mwili ya mchana.
Ukimpa mtu pesa kwa kutumia mkono huo hawezi kuitumia hyo pesa kukuharibia issue zako( kukuroga), lakini pia mkono wa kulia ni wa kupokea tu na wa kushoto ni wa kutoa.Na unalipwa ujira kwa mkono wa kushoto
Pesa wanaweka bank of india na citi bank na si hz bank zetuWahindi....niwashirikina balaaa,niwashirikina balaaa,niwashirikina balaaaa..,.......,..,....take it from me hawa jamaaa niwashirikina mnooooooo
Wanafuga sana majini .........
Wanaroga sana usiku kwenye mito ,miti mikubwa n.k
Hela zao wanaweka kwenye chumba special au kabati special tena hawahesabu na huwa kuna Giza Nene na anayeingia kuchukua hizo hela ni MTU mmoja tu katika familiaaa,kiufupi wanaongoza kutoweka pesa benki
Wahindi pia ni wana akili sana za darasani ...nilipata kusoma nao .jamaa ni mwepesi kudaka mambo
😲😲😲🤣Unapambana na aliyesababisha, upambana na mwanamke jamii haiwezi kukuelewa na ilishaandikwa mwanamke ni kiumbe dhaifu.
Iddi Amini aliliona hili akawatoa nduki mapema Uganda.Hizi jamii za hawa watu Wahindi na Waarabu zimewanyonya sana Watanzania na kuwafanya masikini tena kimyakimya huku wakijifanya nao ni watanzania huku wakichuma na kuiba hapa na mali kuzihamisha.
Kuna haja ya hawa watu kuangaliwa kwa jicho kali na kuwekewa sheria kali ili sasa waishi kama watanzania kweli na sio hiki comedy wanayoifanya.