fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
na hisi umevimbiwa magimbi mabichiNawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Wao wenyewe hawajatuonesha kwa hii camera, kwa kuhofia kuonekana waziwazi kuwa lile ni goliView attachment 2955168
Weka picha ya mpira kuonesha upo ndani.usiangqlie kwa nje jomba.kumbuka mpira ulikuwa na kasi.Bado hamjasema mpira haujadundia nje ya touch line check hapo
Acha uongo.goli umeona wewe tu?watu wako sauzi huko hawajaona goli.Pamoja na usimba wangu niseme tu kweli, lile ni goli halali kabisa halihitaji hata discussion.
Pale hamna camera za Azam. Hao Azam wenu wanaishia ligi Kuu TU.huwenda una matatizo ya akili au hauna akili timamu!
page nyingi za soka africa wanadai ilo no goli halali, unahisi wote walikua wanaangalia camera za azam tv?
pia jiulize kwanini Refa hakwenda kujiridhisha kwenye VAR ila akawasiliana tu kwa vifaa vyake vya mawasiliano na watu waliopo chumba cha VAR?
AahaaaaWao wenyewe hawajatuonesha kwa hii camera, kwa kuhofia kuonekana waziwazi kuwa lile ni goliView attachment 2955168
Tuletee video inayoonyesha limedundia kwenye line. Naamini waliofanya maamuzi kwenye VAR walikutumia ka clip na ndo unachotumia kutuhabarishaNawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Acha upumbavu....Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Yaani siku hizi na mashabiki mlioko Kakonko mnakaa na kamera za kuangalia goal line?Sio goli. Ww umeangalia camera ile moja ambayo.
Aden Rage anapaishwa mno kwa akili hizi, kweli mahaba (hisia) huzaa chuki na upumbavu kimaamuzi bali mapenzi hutumia akili kufikiri na kuamua(ubongo).Acha upumbavu....
View attachment 2955186
Hebu lete hawa Utoponga angalau watulie.Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Mechi za caf zinazochezwa dar azam anahusika kupiga picha mkuuPale hamna camera za Azam. Hao Azam wenu wanaishia ligi Kuu TU.
Unaandaa video tena..!! unaitengeneza video yako? Unaipika?Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Tangu lini mjinga akawa na akili?Acha uongo.goli umeona wewe tu?watu wako sauzi huko hawajaona goli.
Ulikuwa na haraka ya nini ku-post upupu wako. Si ungesubiri umemaliza kuandaa hiyo clip yako ndiyo utume. Hauna hiyo kitu nimekaa pale niitwe mbwaNawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani.
Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na haujafiika upande wa ndani wa goli. Hivo msimlaumu refa.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule.
Nipo naandaa video muone kwamba lile si goli ila kwa muda huu. Nimeandika niwatoe wasiwasi wana jangwani na viongozi wenu wa juu, kama Mwana FA na Kimgwagala yule