Nimegundua mke wangu ananiroga akishirikiana na wazazi wake

Nunua shoka umalizane nae kimya kinya
 
Acha ujinga "hujarogwa wewe" upo fit bali unajiroga mwenyewe unavithibitisho vipi "maneno ya kusikia yatakupoteza" mkuu
 
Ash to ash , muloge nawe mkuu
 
Umeoa mpare nini😁😁 ....samwaleko
 
Ndo nilivyo tu,hata tubiashara twangu sijawah tuendea kwa mganga ingawaje watu huniambia niende kwa waganga,kuna msaidiz mmoja ilibid yeye ndo aende huko kwa mganga
Mganga ni mchawi....hivyo ukienda huko usije shangaa masharti yanapanda kila siku
 
Hata wenye elimu mnaloga nyie hampendi kupewa pesa na kusikilizwa
 
Sijaona wakiongelea Mambo hayo,,,,mtu anakipato chake akurogee chako😳 hivi inawezekana ee!?
Hawarogi kipato tu, bali wanaroga utawala, yaani ule uanaume ili mama akiingiza mwanaume ndani aseme ni mjomba wangu basi mwanaume akubali, mama akisema mjomba wangu hajazoea kulala peke yake ngoja nikampe kampani akisinzia tu narudi mwanaume aseme hamna shida mke wangu hata ukilala kabisa mpaka asubh lazima tukirimu wageni
 
🤣🤣🤣🤣🙌
 
Piga chini haraka sana huyo kigagula kabla hajakufanya zezeta, kama ikishindikana gunia mbili za mkaa zitakata mzizi wa fitna.
 
🤣🤣🤣🤣🙌
Yaani kumfanya mwanaume zuzu, asiye na usemi hata, mwanamke akiamua kumnyima usiku mwanaume aanze kuomba msamaha kwa usumbufu, ndugu wa mwanaume hawataruhusiwa kukanyaga pale na mwanaume asiwe na usemi, kupitia kurogwa mwanaume atalazimika kusaidia ndugu wa mwanamke kuliko wa kwake
 
Ushauri wangu, dumisha amani ya ndoa yako, siku nyingine usirudie kupekua simu ya mkeo! Kulogwa sunna!
 
Hii hapana,mbona radha ya kuwa na mume haipo hapo
 
Ushauri wangu, dumisha amani ya ndoa yako, siku nyingine usirudie kupekua simu ya mkeo! Kulogwa sunna!
Adumishe vipi hapo, hapo mke afungishwe virago akamsaidie Baba yake kazi za uganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…