Nimegundua mke wangu ananiroga akishirikiana na wazazi wake

Daaah safi sana wanawake wasomi kua sio walozi.
All the best
Pole sana.... imekuwa kawaida sikuhizi mnarogwa sana.Lakini mi naona hii asilimia kubwa inafanywa na wasipitia elimu na hana kitu cha kumwingizia kipato... Goalkeeper ni wazuri kukuhudumia home lakini ubaya wao ni huo pi
 
Unadhani huyu jamaa ana ubavu wa kumpa talaka mke wake? Alisharogwa zamani we msome utagundua
ubavu huo ninao mzee baba tena kwa asilimia 100% maana nachokumbuka nilishataka mlima tarakaa sio kwakusa yeye ndo alipigia simu wazee wangu wakanitaka nisifanye hicho kitu wakaja kwangu na kunisihi sana nikaacha ila nafsi yangu aijatulia kabisa l. kiufupi simkubali kwasasa kutokana na tabia za kusikiliza wazee wake tuu
 
Ushauri wangu nikwamba, we endelea kurogeka
 
Humkubali kwa sasa ila baadae utamkubali. Ndo kurogeka kwenyewe huko
 
inaweza kua kweli ila naimani jambo lologe kama mungu ajapanga likufike aliwezi kukufika najua yeye afahamu kama najua ananiroga ila nitamchana makazvu soon yani naeza anza nawazee wake nikamalizia kwake kwani wakati namuoa aliniroga alafu sasa kinachoniuma zaisi nimewekeza maendeleo sana wakati nimekmuoa hivo sijawai cheat kabisa mpka masela wanashangaa we ny'angau umekua mpole hivi ndo hivo wanawake wanaopata wanaume sahihi ndio wanaotorosha ndoa yao kwa mikono yao
 
Yaani unauliza kabisa ufanyeje ili aache tabia ya kukuroga?. Sio kuachana nae mazima?. Labda kama unataka kuwa ndondocha?. MUNGU amekuonyesha.

Labda nikuambie usichokijua, wanawake wengi wanapowaroga waume zao wanakuwa hawajui matokeo yake,hata wewe hujui matokeo. Ni mganga tu anajua. Mwisho wa siku na yeye anaweza kukikosa mazima anachokurogea. Unaweza kufikia kuwa kama zezeta. Mganga anachokifanya ni kufanya ushinde nyumbani tu kama mke anavyotaka uwe wake peke yake. Matokeo yake utakuwa hufanyi chochote unakuwa unakuwa unashinda nyumbani tu kama zezeta
 

Vitu vi 2:

1. Kama umeamua kumuacha mwambie.
2. Kama hutaki mwacha usimwambie.

Ushauri wangu:

Mwache, unaweza shinda vita nachawi, ila kwa nini uache kujitahidi kutafuta upambane na mwanamke?
 
Mwanamke akikuroga frahi sana ndugu anakupenda hataki huende mbali pia kama mnawatoto pesa zako zipo salama hutaonga malaya hovyooo
Uongo mkuu mwanamke akikuroga anakutoa kwenye reli na unakua huna mahusiano mazuri na Wazazi na ndugu zako, Kuna rafiki yangu yeye kao Mwanamke mwenye watoto! sasa jamaa maisha yake yanasikitika siyo kwamba hapati pesa ila sasa akipata pesa anampelekea mke wake yani ata akiokota elf kumi ana mpelekea mkewe na akibet akila pesa ana mpekelea mkewe, cha ajabu sasa yeye ana vaa nguo hizo hizo kila siku na viatu hana, na akipokea mshahara baada ya siku tatu hana pesa, na siyo mlevi wala mzinzi, na simu ya mkononi inamshinda kumiliki yani ata Tecno ya elf 30 kwake ni mtihani kumiliki, yeye simu hana lakini mke wake ana simu, cha ajabu Wazazi wa mke wake akiwa another nao kwenye simu anaongea nao kwa unyenye keep na kuwatumia pesa, Sasa wazazi wake wa kumzaa akiwa anaongea nao sasa ana wakalipia na kwafokea na kuwaambia hana pesa. Vijana tuwe makini kwenye kuoa tunatakiwa tuoe bonti ambaye anatoka kwenye familia isiyo amino kwenda kwa waganga.
 
Inasikitisha sana....Sasa akikushika na kumpa mahela yeye si anajicheleweshea pia maendeleo ya wanae?
 
Amka hasubuhi na mapema nenda kazini jioni ilitoka kazini kunywa konyag ya Kati

Kisha ludi home kesho yake hasubuhi atakuwa anajua kwamba unajua kila kitu na akiludia ataludi kwao


Kisha ataacha huo upuuzi
 
Huko ndo kulala huku umefunga jicho moja tu, jicho jingine unamchungulia mkeo usiku kucha asije akakuua, hata chakula chake au akikupa kitu chochote lazima uko na mashaka nacho, usishangae Kuna wanaume wanasinzia ofisini ohoo ni mambo ya hovyo kama hayo.
 
Inasikitisha sana....Sasa akikushika na kumpa mahela yeye si anajicheleweshea pia maendeleo ya wanae?
sana ndugu yangu kwani mwanamke kama anaakili hizi za kuamini uchawi uchawi hata kufanya jambo la maana hataweza mwisho wasiku anakua mwanga kweli na pia nawatoto nae najiuliza huyo mtoto akikua nae atakua mlozi sababu kwa asilimia kubwa watoto zetu wanakaa na mama zao
 
mimi na lala vizuri sana boss wangu nausingzi napata fresh kaabisa ila ni kitu kinaniumiza sana. sababu niliamua kuoa ili nitulie maana nilikua kiwembe sana na nilitafuta mwanamke wakunifaa kwa tabia kumbe nikasahau kua na kabila mtu anaweza kua na dini ila kabila likashikilia ulozi tuu full
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…