Nimegundua mke wangu ananiroga akishirikiana na wazazi wake

Vitu vi 2:

1. Kama umeamua kumuacha mwambie.
2. Kama hutaki mwacha usimwambie.

Ushauri wangu:

Mwache, unaweza shinda vita nachawi, ila kwa nini uache kujitahidi kutafuta upambane na mwanamke?
sina muda wa kupanbana nae ninacho jiuliza je itakuaje pale atakapofanikiwa yale anayoyataka maana ulozi upo. je kuna maendeleo ua mwanamke kua juu kwa kila kitu maana lengo lake hata mshahara wangu nikipokea nimpe yeye ajabu sasa ni sina choyo kwake vitu vizuri anapata zawadi anapata na kil anachotakq huwa anapata.
 
Kama umegundua anakuroga basi huyo siyo mchawi. Wanaume waliorogwa hata wangewakuta wake zao live wanaliwa na wanaume hawakubali kuwa wanawake wao wana cheat.

Hujarogwa endelea na mkeo
 
mimi familia niloingia inaamini uganga kupitiliza na kujificha kwenye dini ni hatari kwakweli niliwai juta kwanini nimeoa kwasababu nilifikili nitae muoa anashida ila ajabu nilie muoa anapelekeshwa na wazazi wake na kusahau kuna familia yake.
 
Kama umegundua anakuroga basi huyo siyo mchawi. Wanaume waliorogwa hata wangewakuta wake zao live wanaliwa na wanaume hawakubali kuwa wanawake wao wana cheat.

Hujarogwa endelea na mkeo
nimerogwa Mungu ndie amenirinda na huo mrogo sababu jambo lolote baya utalifanyiwa kimazingara Mungu asipopenda likukute halitakukuta kamwe.
shida ni kwamba nimeona anarudia kwa mara ya pili nimehisi nikakagua simu yake na nikakuta nachokuhisi ni sahihi
 
noted bro
 
Kama kakulisha tayari au bado na mengineyo kimbia kasali.

Kama una Mali atakuwa mapemaaa

Ila umejua si unajua cha kufanya au bado unampenda?
 
kwa waganga 98% ni wanawake ,kwa Wachungaji 95% wanawake.
 
Kama kakulisha tayari au bado na mengineyo kimbia kasali.

Kama una Mali atakuwa mapemaaa

Ila umejua si unajua cha kufanya au bado unampenda?
watu wengi hujiuliza mara mbili kwenye ndoa sababu tunaona mateso wanayo yapata watoto wanaoishi mbali na wazazi wao au ambao wazazi wao wametengana.
 
Malaika wako amekuonyesha kila kitu na umeishinda upande wa pili kwa sasa, maamuzi mengine hapo utajua upambane naye vipi kabla hajarudi kujipanga.
Sifa ya mshirikina atarudi tu kujipanga tena hata kwa gharama kubwa atimize yake, JIPANGE
 
SImba akila nyama ya mtu,haachi kurandaranda hayo maeneo,kwa sababu nyama ya mtu ni tamu ina chumvi chumvi,piga chini kabla hajamaliza familia.
 
Mwanamke akikuroga frahi sana ndugu anakupenda hataki huende mbali pia kama mnawatoto pesa zako zipo salama hutaonga malaya hovyooo
Kama mke ana kibenten kimemshauri huo ujinga je?mwamake mshirikina c wa kuacha aishi...hata maandiko yametanabaisha
 
Anakuloga kwa nani, acha imani potofu.
 
Masikini wanaume......

Mke anakuroga, sometimes ndo hii collabo na ma mkwe.
Mama ako akuroge ukae mguu sawa.
Michepuko inakuroga.

Ndo maana hata vichaa wengi ni wanaume
 
Kna mtu kasema umeshalogwa, pengine ni kweli. Sasa kama una ushahidi wa wazi kiasi hiki kwa nini usiitishe kikao cha watu wenye busara na kuyaweka yote hadharani? Angalia utakuja kulishwa sumu au uchafu kama kinyesi. Halfu inaonekana hiyo familia uliyooa ni familia mbaya sana. Fikiria pia talaka kama unaona huwezi kuwabadilisha.
 


Kaka tumepita hapo, mteme, achana naye!
 
Ogopa sana mwanamke mchawi..
Kuna jamaa 1 alipigwa cjui rogo gan na mkewe..nianasugua Masufuria mara mke amtukane matusi makubwa jamaa yenikucheka Cheka tu..mke anamuendesha kama mtoto mbaya zaidi mkewe nae Kuna mzee anamfukua hadi mtaro..jamaa haelewi mbele yamkewe hanaujanja ila mwazon kabla hajapgwa kitu..alikuwa njema Yuko vzr..Bora ulogwe na msela kuliko mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…