Nimegundua mke wangu ananiroga akishirikiana na wazazi wake

nimeonba ushauri ila tayari nimeshawapa taarifa ndugu wangu wa karibu hapa imebaki mzee tu nae nimeambiwa nitumie hekima kwani ni mkorofi mno japo anaupole ndani yake ila mimi akili yangu ishaniambia mipige chini
 
pole sana mkuu
 
Unadhani huyu jamaa ana ubavu wa kumpa talaka mke wake? Alisharogwa zamani we msome utagundua
Yeah hata mimi nimeona hilo Alishapigwa bomu muda mrefu hiyo ilikua ni kwenda kukoleza tu mambo yawe murua murua..
 
Achana kuhangaika na simu ya mwanamke!! Huo ni ubwege tu na ndiyo hizi simu zinaongoza kuvunja ndoa
 
Karibu kilingeni kijana
 
Ko hapo unataka ushauri gani? Wewe unastahili kurogwa na itakua usharogwa wewe maana hili ni jambo la maamuzi si la kuombea ushauri tena.

"Usimwache mwanamke mchawi aishi" sasa wewe unataka uishi nae wewe kabisa.

Ukishindwa kumuua mfukuze huo ndo msamaha wake.
 
Achana kuhangaika na simu ya mwanamke!! Huo ni ubwege tu na ndiyo hizi simu zinaongoza kuvunja ndoa
wala sijawai kuangaika na simu yake mpka nilipohisi jambo na nimesadiki nililolihisi ni sahihi kosa langu ni lipi nikama mtu unaehisi unafuatiliwa na wezi kisha ukawatiming na kujiepusha nao au unafikili huwa nilikua nikifuatilia mawasiliano yake kabla niliyafuatilia pale tu nilipokua na mashaka na jambo ambalo nilikua nataka uhakika
 
Tatizo watanzania tunaamini sana ushirikina ndio maana umaskini unatutesa. Hapo mkeo katumia pesa nyingi kuanzia nauli ya kwenda na kurudi na pesa ya kumpa mganga nk kwa ajili ya jambo la kijinga namna hiyo na litakalomletea majuto makubwa sana maishani mwake.

Ushauri wangu, fanya hivi chukua huo ushahidi wa madawa na wa mawasiliano. Mpeleke mkeo kwa wazazi wake ukayaweke wazi waambie ulikuwa unajua kila kitu wanachopanga kwa hiyo waache tabia hiyo na wawaache nda ndoa yenu.

Kama swala ni kumpenda mkeo unampenda ndo maana ukamuoa na unaishi nae hujamfukuza sasa wanataka umpende vipi?
 
maana kama anafata maneno ya wazee wake ajue kua yeye yupo na familia yake?
nikaomba ushauri kwa mzazi wangu wa kiume
Ila wewe haupo na wazee wako?? Halafu kuwa mwanaume yaani ishu ya safari ya mkeo unaenda kumuambia baba yako?? Unaonekana toto la mama!

Nb:Mwanaume ni maamuzi(kujisimamia mwenyewe) na msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…