The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Kiukweli amekudharau sana, kimburu maana yake paka wa mtaani, kwa kukushauri ukitaka umkomeshe chepuka na moja ya marafiki zakeItabidi nikamuombe ufafanuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli amekudharau sana, kimburu maana yake paka wa mtaani, kwa kukushauri ukitaka umkomeshe chepuka na moja ya marafiki zakeItabidi nikamuombe ufafanuzi
PAKA KICHAA[emoji24][emoji24][emoji24]Kwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda [emoji38]
NakaziaUsikubali kuitwa hivyo na mwanamke. Muite kwako na kisha mnyonge afe.
PAKA KICHAA[emoji24][emoji24][emoji24]
🤣🤣🤣Ukubali kuitwa kimburuKujitambua kunatakiwa kuweje?
Mburu kwa kichaga cha Vunjo ni mbuzi sasa kimburu ni "Kambuzi 😁😁Katika pitapita kwenye maeneo ya ofisi ya mpenzi wangu, nikasikia wananiteta, ''kimburu wangu ananivuruga kweli, hataki kutulia na mimi, kila wakati ni migogoro tu''
Wenzie wakamuuliza, kimburu ndio nani; ndipo aliponitaja equation x.
Baada ya kusikia hayo maneno, hata sikuingia ofisini kwake, ikabidi niendelee na mihangaiko yangu.
Hapa bado natafakari, kwa nini ananiita mimi kimburu?
Nipeni ushauri wakuu, au na nyie wapenzi wenu wanawaita majina ya ajabu ajabu wakiwa na marafiki zao?
Kwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda 😆
Kwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda 😆
Amalizie kukuita kibuyuNini kifanyike
Wewe ni Paka yaaniMi wakwangu ananiita "Nyau". Atakua ana maana gani?