Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Kanuni Yangu ni Moja, SITAKUJA kuoa Bikra, Magume Gume Mengine yote nitaoa Ila Bikra hapana. Akiwa Bikra ndio namuacha hivyo.

Katoa Mimba yako au Ya Mwingine? Kama Ya Mwingine kaa kwa Kutulia Huyo ni Mke wa Kuoa Kabisa….. Anakupenda ndio maana Aliona Atoe Angekuwa hakupendi Angezaa na Huyo aliye mpa.

Mengine Muachie Mungu Usimchunguze sana Mwanachuo utakufa kwa Pressure
 
Hapo kwenye aya ya kwanza, naweza kujua kwa nini?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza Hongera kwa Kuwa na Akili ya kuona bila hisia ( maamuzi yako ya Mwanzo )
Pili pole kwa yaliyotokea.
Swali langu ni vipi kama Angeweza kupata mtoto na baadae ukaja kugundua haya mengine Ungechukua Uamuzi gani?
 
Ukiangalia huu mjadala kwa umakini wanawake ndio wanamtetea huyu Malaya mwenzao
Wapo pia wanaume mashoga wanaongozana nao,just imagine mwanaume kabisa kabisa na pumbu zinamning'inia yupo hapa anam-crush mwanaume mwenzake kwamba kwanini anaacha kuowa mwanamke kisa ame-cheat mara mbili alizokiri mwenyewe akapata mimba na akaenda kuzitoa.

Yaani kwao mchumba kugongwa na bwana mwengine siyo shida,kutoa mimba siyo tatizo nawasikitikia wazazi waliojikunja kuwazaa maana ni useless!
 
Unajidaganya sana wewe bado mvulana subiri ukue vizuri utakuwa huna mda wa kuhangaika na past za watu sijui nini?
Hahahah nikue Mara ngapi? Nimeshakua, na huo ndio msimamo na mtazamo wangu.
 
Hahah, ni kweli ningemtumia ipasavyo ila si kumfuja. Na hata ningemfuja ni mke wangu tayari, naye angeweza ni ruksa kunifuja. Kuhusu unafiki na ujuaji, ni kweli nipo hivyo, kulingana na mtu ameni face vipi. Ukija kistaarabu utapata uungwana na ustaarabu, ukija kipimbi na kijuaji nami nitakuletea ujuaji.

Ni gold digger kwani alikuwa yupo tayari aue ili aolewe na mimi, ninamjua kuliko umjuavyo. Ni vihela vyangu vilikuwa vinamtoa macho mpaka kufikia kutoa mimba 2.

Kifupi mimi ni mtu poa tena sana, hao niliowajibu huko juu kijuaji au kimajivuno ni kuwa walianza wao. Ukianza mimi namaliza, hii ndio slogan yangu.

Mwisho, jamii yangu inafurahia uwepo wangu, na nadiriki kusema hainioni kama wewe usiyenijua unionavyo kichomi.

Kikubwa ni 'heshimu uheshimiwe'.

Siku njema!
 
Mkuu Mimi nikushukuru tu kwa wewe Kueleza ukweli pia moyo ulio nao.
Hapo umefanya vyema Na Mungu azidi kuwatangulia.

"Dhambi Husamehewa, lakini madhara yake kwako yatadumu"
 
Kutooa bikra ni uamuzi wako mkuu. Nimemuacha na sirudi nyuma.
 
Daaaah
 
Ahsante sana mkuu! Karibu na pole sana.
 
Kwa hiyo amekuambia yeye mwenyewe kwamba alliwahi toa mimba?. Baada ya kukuambia ndio ume-mute mawasiriano nae?
Nilitumia mbinu nizijuazo, yeye alikiri kuwa alichepuka, napo ni baada ya kumtikisa kweli kweli.
 
Nikuambie kitu ni bahati saana kupata demu alio graduate hajatoa mimba kama ilivyo ngumu kumkuta ana bikra
 

Mzee unatumia nguvu nyingi sana hapa kwani huyo aliyeachwa ni dada yakoo?wewe ni feminist wa kiume ain't you!!!

Nimekutana na gazette lako huko juu ulijaribu kuni-quote nimesoma soma hata sijakuelewa ila nataka nikuulize hii post ya mleta mada ambaye kwako wewe unamuona ni tatizo kubwa na siyo huyo dada yako uliisoma au ulipita macho juu juu ukitafuta conclusions zako?

Vaa viatu huyu ni mdogo wako au mwanao amekuja kukutaka ushauri akwambie mchumba wangu amenisaliti mara mbili akapata mimba zote akazitoa na akakiri mbele yangu ungemshauri hizi shudu unazoshusha hapa?unajikuta mwanaharakati kumbe kichwani mtupu watu dizain yenu kama taifa tunatakiwa kutafuta njia ya ku-deal na nyie maana hamjitambui,fungua link&angalia screenshot.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…