Ali cheat, kwa mujibu wake!
Hahaha nimecheka sana, kuna sehemu ulitoa maoni kwenye mada flani.Ngoja waje kukupa muongozo...
Aiseee dunia ina speed, kutoa mimba ni jambo la kawaida duuuh.Kutoa mimba ni jambo la kawaida kwa wanawake ni sawa tu na nyie wanaume mnaotelekeza watoto, achen kumnyooshea kidole hamjui nini kilimsibu,
Ebwana eeh..past is past,??Past is past life goes on..sijaona strong reason ya kumuacha hapo as long as ni mambo yalokwishapita.
Dunia ina maajabu ndugu yangu we acha tuNajaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......
Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....
Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.
Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
AiseeUmefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Mkuu mbona mimi siombi nambaNajaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......
Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....
Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.
Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
Lakini amekiuka commitment kwa kucheat mara mbili akiwa kwenye mahusiano, halafu amekiri kwa kusema mwenyewe binafsi naona huyu kijana kafanya maamuzi sahihi tu.Wanawake wengi tu hutoa mimba, ila hubaki na Siri moyoni, tena walioko kwenye ndoa ndio usiseme, so hapo sijaona kosa la kumwacha, hiyo ni mistake ya kawaida kwa wanawake ingawa wengi huficha hyo Siri.
Wanaume ni wabinafsi!!Najaribu Kufikiria Ni Mwanaume ndiye anayekataa Mimba......
Ni huyo huyo anakataa Kuoa Single Mama.....
Lakini pia ni huyo huyo Anataka Kuoa Mwanamke Bikra.
Ajabu zaidi ni Huyo huyo anaomba namba kila mwanamke atakayepita mbele yake.
Sio mistake ya kawaida, futa hiyo.Wanawake wengi tu hutoa mimba, ila hubaki na Siri moyoni, tena walioko kwenye ndoa ndio usiseme, so hapo sijaona kosa la kumwacha, hiyo ni mistake ya kawaida kwa wanawake ingawa wengi huficha hyo Siri.
Kutoa mimba ni kujiwekea laana. Tena ametoa mara mbili.. Hiyo laana itamtafuna kizazi hadi kizazi.Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Acha kutetea upuuzi, na kashamuacha sasa unaamuaje? Ukichukia kufa!Wanawake wengi tu hutoa mimba, ila hubaki na Siri moyoni, tena walioko kwenye ndoa ndio usiseme, so hapo sijaona kosa la kumwacha, hiyo ni mistake ya kawaida kwa wanawake ingawa wengi huficha hyo Siri.
Huyo ni mama mwenye watoto 2 marehemu.Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba. Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.