Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
- Thread starter
-
- #261
haya mambo ni rahisi kuyapanga kama halijakukuta jambo ila ukikutwa ndoyaliyonitokea mieKama ni kweli we nawe ulibugi stepu
Ilitakiwa ukae kimya hvyo hvyo then unaenda nunua dwa za kutoa mimba( misoprostol)unakuja kumpa dada ameze unamwambia ni kinga dhidi ya corona
Baada ya hapo unamuamsha alfajiri anapaki kilicho chake unamnyang’anya na cm unampeleka mpk stend na unamlipa konda cha juu asishuke njiani. bora waje kutaftana badae
Yaani wewe ukamuachia kabisa amuondoe yeye je kama ndo kaenda kumpangia na chumba kabisa
niko sawa kiasi mkuuKabla cjakushauri naomba kujua haliyako ya sasa ili nijue nikushauri nini ....
umesahau mchaichaiChai imewekewa viungo vyote hiyo, yaani full tangawizi,mdalasini,limau.
uhh wewe weeeeTatizo la uchoyo, kwani mkishea dudu na dada wa kazi kuna tatizo? Tena mmeo anapunguza gharama za kuhonga, angalia sasa anaenda kumpangia apartment na anazaa nae.
asantePole sana
asantePole sana dada nakushauri angalia kwanza afya yako alafu tuliza akili wala usimulize uyo mwanaume chochote kile ww mwache tu iyo itakuwa ni adhabu tosha kwakwe na usiondoke hapo nyumbani kwakwe mana ukiondoka tu utakuwa nimempa uhuru wa kuinjoy na huyo house girl.utakuja kunishukuru siku moja kwa huu ushauri
[emoji4]Kutufanya watu wazima watoto,, hili jambo sijalipenda.
tunatofautiana mkuuNdo ukubwa huo ila sijaona sababu ya kuzimia maana hata mwanaume akifumania hua tunalipa kisasi na wewe ni wakati wa kujibu mashambulizi..
kwa maongezi yao mkuuNa Mimi naongeza, wakati housegirl ananyonya mkuyenge ameonaje wakati yupo uvunguni?
we unaeHata Mume huna wewe
uvumilivu 0Ulikosea kuzimia, washauri ilibidi tujue mpaka miguno ya kileleni pole cute
sio kwangu mkuuSasa Hayo si-mambo ya kawaida tu now days
nashukuru babuBadala kumshukuru osigelo kwa kumsaidia kazi, yeye anazimia. Fala sana huyu mwanamke
yaani kila kitu kilitokea bila kupangwa mkuuNdo uache kiherehere sasa, mtu huwezi kuvumilia, unaingia uvunguni kufanya nn?
mhhhMwanamke ndiyo hatakiwi kugusa simu ya Mumewe, wwe Mwanaume lazima hiyo simu ya mkeo ifuatilie zaidi kwa usalama wako!!
sawaYaani hapo lipiza tu kisasi. Tena lipa haswaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
najuaKama kila mtu akitulia na simu yake, hi dunia itakua mahali salama sana pa kuishi; ukimchunguza sana kuku au nyuki hakika hutakaa ule nyama ya kuku au asali.
Uzazi unatolewa na Mungu hayo mengine hayanihusuEndelea kumuona kama takataka muda tu utajua kati ya yeye na wewe nani takataka, unaonekana huna heshima kwa mumeo ndiomaana ameamua kuishi kwa dada wa kazi.
Kizazi umepeleka wapi? Unataka akaena wewe milele watoto mkanunue sokoni au? Anafanya kazi ili kazi yake iwe na faida anahitaji watoto, alee, asomeshe kama watu wengine.
asanteDah pole mpenzi wanaume ndo walivo ...... wanawake tunapitia vitu vingi sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app