Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Unao shemeji zako wa kiume wanaomzidi yeye umri? Kama wapo basi washirikishe. Kumbuka usiwaambie shoga zako, watoto, rafiki wa mumeo. Huyo ni mumeo. Lishughulikie hilo kifamilia zaidi. Umejaribu kumdadisi kwanini aliamua kujiingiza katika mambo hayo?
Ndio nilimhoji ila hakuwa na majibu
 
Kuna demu alinfanyiaga makosa kidogo nimpasue tigo maana nilikua nishamuweka kati tayari.

Bahati nina chembe chembe za wokovu nikamuacha.

As a warning!
 
Sio mara ya kwanza ndugu. Niliwahi kumkamata na sms za kumuomba mwanamke hiyo kitu nikashangaa na kumsema sana lakini ameendelea.inaniuma sanaa
Nimetema mate Chini kuashiria kinyaaaa
 
Umeongea na umeandika upumbafu gani wew, HV ungekuta bint ako kaj kueleza hili tatizo kwako ndio majibu utakayo mpatia ,acha ujinga uke utanuke ndio akafirane
 
Kama hajakuomba wewe Basi jua anakuheshimu na anakupenda hataki kukufumua marinda kwa maslah mapana ya familia yake.

Hao michepuko Hana maslahi nao,
Wanafyonza pesa zake, dawaYao Ni kuwafumua mpk marinda kufidia thaman halisi ya mizinga anayopigwa wajue ukitaka kula lazima uliwe.

Much respect kwa mumeo[emoji120]
 
Kumkimbia siwe kumshauri ila Ni vyema akajitadhimi isje kuwa umepata au amepata bwana mwenye pesa zake Sasa akaona njia ya kumuacha huyu jamaaa Ni kumtengenezea kashfa hzo .je ukimuacha unaweza kusustain Hali ya kiuchumi ?je unampango wa kuolewa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…