Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Sema umegundua mumeo ni choko na anabanduliwa..

Mbona wanalaumiwa wanaobanduluwa na sio wabanduaji?

Siwezi tia limwanaume afu mkdn ni uchafu.
 
Nachokushauri usiondoke na uache kumfatilia uyo mwanaume....kama mna watoto leeni watoto wenu na kila mtu awe na chumba chake ..

.bila kumuuliza wala kelele yeyote usishtaki kwa mtu yeyote(ukisema kwa ndugu watakucheka wewe) matatizo mengi yanaanzia kwakushirikisha ndugu..

Usikubali akuingilie tena (yaani tendo la ndoa) ili asije akakuletea magonjwa yake ...ili ulee watoto wako kwa amani zako (hapo raha jipe mwenyewe ....yaan kua bize kutafuta hela ili ulee watoto wako acha kuhangaika na mtoto wa mwanamke mwenzio utakufa kwa presha uache watoto wako (unless kama huna watoto) basi move on...

Nb:ntaendelea badae
 
Unamaanisha Ana sirwa au
 
Pole kwa kuingiliwa na hofu na wasiwasi.
Lakini ushauri uliotuomba tukupe ni mgumu kuandika chochote.
Kwanza umeshasema "umegundua" Hilo neno hujalitendea haki kuomba ushauri wetu. Na mie binafsi nakurudishia kukuuliza je? Uo mume wako ameshakuomba mara ngapi? Au umepewa hizo taarifa na waliotembea na mume wako?
Utupe urefu wa kisa cha mumew ili tuelewe zaidi
 
Unao shemeji zako wa kiume wanaomzidi yeye umri? Kama wapo basi washirikishe. Kumbuka usiwaambie shoga zako, watoto, rafiki wa mumeo. Huyo ni mumeo. Lishughulikie hilo kifamilia zaidi. Umejaribu kumdadisi kwanini aliamua kujiingiza katika mambo hayo?
 
Unabanaje mapaja bana uke
 
Pole sana dadangu hili jambo ni gumu sana.Kama unavosema inatia sana kinyaaa pia.Hapo talaka ndo suluhisho kwa sababu kwa dini zote hili jambo halitakiwi na ni dhambi mbaya sana.
Mkuu, kila jambo ukiwazia talaka, kuna ndoa itadumu kweli?
 
Sio mara ya kwanza ndugu. Niliwahi kumkamata na sms za kumuomba mwanamke hiyo kitu nikashangaa na kumsema sana lakini ameendelea.inaniuma sanaa
Kumbe anafumua malinda,nilidhani anafumuliwa,hilo linazungumzika,mwambie tu atumie vilainishi,ikiwezekana na ww nunua kiwekw ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…