Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Mi namwomba Mungu akulinde,we ndo pacha wangu mamiee🎶 Achana nae
 
Kwaivo we unaujua ukweli tofauti na mhusika anavoeleza? Yaan hayo mambo yapo wanaume zetu wengi siku hizi wanatoka nje sababu ya mi*k*n*d*u ya wadangaji jamani
Mume wake awe antuma meseji kwenye simu kuomba wakati wanalala pamoja? Kwamb anashindwa kumwomba wakiwa pamoja? Ndio maana siamini. Labda sio mume wake basi, anatuzuga tu hapa kutaka kujua maoni ya watu kama aendelee kutoa au asiendelee. Kwa sababu kutokana na maoni yake alishatoa
 
Nikusahuri mwanaume anae fira Kuna mambo yafatayo uwa yamejiri kwake
Kwanza ni mtu anae amini uchi wa mke wake au awala Ake umetanuka sana Kwa msingi huo unakuta atafuta pa kumbana,mkiwa mnajamiiana akikisha umebana mapaja Ili umbane. Aise kitu Iko Tait.

Tatu ni Pepo limemuingilia Iko siku anakooingiza na yeye atatamani aingiziwe,hapo atakutana na wastaafu kama sisi tunakulagaaaa imba hako kanyimbo dada
Mmmh
 
halua walijua?😂😂, vifo viko vya. aina nyingi hicho ni mojawapo muachane tu utadhaa watoto walio laaniwa vibaya
 
Mume wake awe antuma meseji kwenye simu kuomba wakati wanalala pamoja? Kwamb anashindwa kumwomba wakiwa pamoja? Ndio maana siamini. Labda sio mume wake basi, anatuzuga tu hapa kutaka kujua maoni ya watu kama aendelee kutoa au asiendelee. Kwa sababu kutokana na maoni yake alishatoa
We ndo walewwale
 
Nimekuta mawasiliano kwenye simu yake.
Hayo mawasiliano yana semaje shida ni kwwamba huweki wazi embu dadabua ili tuelewe vyema tusike kuamini anakula kumbe shemwji ndio anapakuliwa ..maana siku izi ushogacravy umeenea sana
 
Habari,

Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Huyo sio mume ni hayawani, mkimbie, la sivy UTI, PID, FANGAS vinakuhusu.
 
Mkuu hivi ni wewe ndie nilikusikia usiku wa Jana mlikua mnagombana na mumeo akawa anakupiga sana mangumi kisa ni Simu uliangalia simu yake ukakuta anachat na mwanamke mwingine ukamwambia huyo mwanamke ni Malaya hautaki awe anawasiliana nae akachukia na kukuambia tangu lini umeanza kumpangia watu wa kuwasiliana nae?,

Akawa anasema atakuua, mmeanza kugombana mida ya saa 8 usiku mmegombana sana mpaka saa 11 asubuhi majirani tumeshindwa kabisa kulala kwa sababu ya ugomvi wenu wa simu,

Akawa anakufukuza uondoke huku anakutishia km ukiendelea kubaki atakuua ila ukawa mbishi hautaki kuondoka akakupiga sana mangumi majirani tukawa tunasikia tu magumi mazito mazito na akasema atakuaribu sura, au nimeunganisha matukio mkuu?

Km ndio wewe niambie mkuu..
 
Daa hapa labda mi ndo sijaelewa. yani mme anagonga vinyeo huko nje lakn hajawahi kuomba knyeo kwa mkew hlf uyo mke anataka kusepa kwa kinyaa? I'm I missing a point or?😇😇😇
 
Back
Top Bottom