Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.
Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa.
Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba utakuta Id ya kiume ikishakenuliwa meno jukwaani na Id ya kike basi hiyo Id ya kike itakoma.
Kila mahali itakapoonekana hiyo Id ya kike ujue lazima ile Id ya kiume itakuja.
Id ya kiume itaitafuta ile Id ya kike popote pale ili mradi tu ije ikae nae karibu. Naomba hiyo tabia ife na ndio maana Pm conversation nyingi zimefungwa.
Huu kama sio upweke ni nini jamani?
Halafu kuna kitu kingine nimekinote kwa hawa wanaume wa humu.
Kama ana mahusiano aidha ya siri siri au ya jukwaani na mwanamke humu basi hataki hata kuchat na mtu mwingine. Aliyekwambia mahusiano ya mtandaoni yanadumu nani?
Mnapotezeana muda na akili zenu za kufanya kazi tu.
1. Kuna hawa Verified Members wenye tiki za bluu 🔵 wanaona maisha yao wameshayamaliza hapa duniani.
2. Pia kuna baadhi ya wale Platinum Members yaani hao wakiona huna blue tick wala hawajishughulishi kukujibu hata kama umemquote.
3. Na kundi la mwisho ni hawa wenye maisha ya duniani na peponi kwa pamoja, yaani ni verified member halafu na hapohapo ni Platinum member weeeee! hao ni kama washaiona pepo kabla ya kufa.
Mungu amesema tupendane kwani hatujui mwisho wetu na tutakuja kuzikwa na nani.
Mie nampenda kila mtu humu haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Cha muhimu ni kila mtu ana thamani sawasawa na alivyoumbwa.
MSIANGALIE ID YANGU, FATENI MANENO YANGU
ALAMSIKI.
NB:
Bado naendelea kupokea marafiki kutoka nje ya Jf.