Nimegundua Wanaume wengi huku JF ni Wapweke Mno na Wamekosa Utulivu

Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.

Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa.

Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba utakuta Id ya kiume ikishakenuliwa meno jukwaani na Id ya kike basi hiyo Id ya kike itakoma.

Kila mahali itakapoonekana hiyo Id ya kike ujue lazima ile Id ya kiume itakuja.
Id ya kiume itaitafuta ile Id ya kike popote pale ili mradi tu ije ikae nae karibu. Naomba hiyo tabia ife na ndio maana Pm conversation nyingi zimefungwa.

Huu kama sio upweke ni nini jamani?

Halafu kuna kitu kingine nimekinote kwa hawa wanaume wa humu.

Kama ana mahusiano aidha ya siri siri au ya jukwaani na mwanamke humu basi hataki hata kuchat na mtu mwingine. Aliyekwambia mahusiano ya mtandaoni yanadumu nani?

Mnapotezeana muda na akili zenu za kufanya kazi tu.

Pia kuna hawa verified member wenye tiki za bluu 🔵 wanaona maisha yao wameshayamaliza hapa duniani.
Pia kuna baadhi ya wale Platinum member yaani hao wakiona huna blue tick wala hawajishughulishi kukujibu hata kama umemquote.

Mungu amesema tupendane kwani hatujui mwisho wetu na tutakuja kuzikwa na nani.

Mie nampenda kila mtu humu haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Cha muhimu ni kila mtu ana thamani sawasawa na alivyoumbwa.
MSIANGALIE ID YANGU, FATENI MANENO YANGU
ALAMSIKI.

NB:
Bado naendelea kupokea marafiki kutoka nje ya Jf.
🌹💐💐💐 Chukua maua hayo. Umeongea point.
 
Humu ndani kuna mapepo meusi na mapepo meupe, lakini yote ni mapepo!
Huwezi kujua mtoa kafara hadi utolewe kafara au ushirikishwe..
Nusrat usiwashe bange kwa kutumia mshumaa wa kanisani utachanganyikiwa!
 
Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.

Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa.

Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba utakuta Id ya kiume ikishakenuliwa meno jukwaani na Id ya kike basi hiyo Id ya kike itakoma.

Kila mahali itakapoonekana hiyo Id ya kike ujue lazima ile Id ya kiume itakuja.
Id ya kiume itaitafuta ile Id ya kike popote pale ili mradi tu ije ikae nae karibu. Naomba hiyo tabia ife na ndio maana Pm conversation nyingi zimefungwa.

Huu kama sio upweke ni nini jamani?

Halafu kuna kitu kingine nimekinote kwa hawa wanaume wa humu.

Kama ana mahusiano aidha ya siri siri au ya jukwaani na mwanamke humu basi hataki hata kuchat na mtu mwingine. Aliyekwambia mahusiano ya mtandaoni yanadumu nani?

Mnapotezeana muda na akili zenu za kufanya kazi tu.

Pia kuna hawa verified member wenye tiki za bluu 🔵 wanaona maisha yao wameshayamaliza hapa duniani.
Pia kuna baadhi ya wale Platinum member yaani hao wakiona huna blue tick wala hawajishughulishi kukujibu hata kama umemquote.

Mungu amesema tupendane kwani hatujui mwisho wetu na tutakuja kuzikwa na nani.

Mie nampenda kila mtu humu haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Cha muhimu ni kila mtu ana thamani sawasawa na alivyoumbwa.
MSIANGALIE ID YANGU, FATENI MANENO YANGU
ALAMSIKI.

NB:
Bado naendelea kupokea marafiki kutoka nje ya Jf.
Why unazunguka kote huko bibie wakati mambo yangekuwa simpo tu.
We ungesema tu secretarybird nakupenda basi Mimi nakupa kitu roho yako inapenda.

Mara kibao nimetangaza hapa kuwa Mimi nipo kwa ajili ya watoto wote wa JF.
 
Back
Top Bottom