Nimegundua Wanaume wengi huku JF ni Wapweke Mno na Wamekosa Utulivu

Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.

Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa.

Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba utakuta Id ya kiume ikishakenuliwa meno jukwaani na Id ya kike basi hiyo Id ya kike itakoma.

Kila mahali itakapoonekana hiyo Id ya kike ujue lazima ile Id ya kiume itakuja.
Id ya kiume itaitafuta ile Id ya kike popote pale ili mradi tu ije ikae nae karibu. Naomba hiyo tabia ife na ndio maana Pm conversation nyingi zimefungwa.

Huu kama sio upweke ni nini jamani?

Halafu kuna kitu kingine nimekinote kwa hawa wanaume wa humu.

Kama ana mahusiano aidha ya siri siri au ya jukwaani na mwanamke humu basi hataki hata kuchat na mtu mwingine. Aliyekwambia mahusiano ya mtandaoni yanadumu nani?

Mnapotezeana muda na akili zenu za kufanya kazi tu.

Pia kuna hawa verified member wenye tiki za bluu 🔵 wanaona maisha yao wameshayamaliza hapa duniani.
Pia kuna baadhi ya wale Platinum member yaani hao wakiona huna blue tick wala hawajishughulishi kukujibu hata kama umemquote.

Mungu amesema tupendane kwani hatujui mwisho wetu na tutakuja kuzikwa na nani.

Mie nampenda kila mtu humu haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Cha muhimu ni kila mtu ana thamani sawasawa na alivyoumbwa.
MSIANGALIE ID YANGU, FATENI MANENO YANGU
ALAMSIKI.

NB:
Bado naendelea kupokea marafiki kutoka nje ya Jf.
Saazingine umeasesi kimakosa!

Kwanza kuelewa jinsia ya Ids ya mtu siyo kazi ya kitoto kama mdau alishaamua kudanganya na kufake genda.

Halafu dada zetu wa kibantu, kutongozwa nyie huchukulia kuwa ni kudharauliwa, fujo, kuvunjiwa heshima ama kero!

Kwa mwendo huo hauwezi kujitambua hadi pale 'shikamoo' kavu zitakapobadilishwa na kuwa 'shikamoo bibi'.
 
Halafu humu ni socialization, usiwatake wengne waishi kama wewe..
SISI HUMU SIYO MAYAI KWAMBA KILA KITU TUFANANE!
kama hujafuatwa, tuliza kombeo, usipotuliza kombeo utajikuta unajipga mbavu..

THIS IS A PLACE WHERE WE DARE TO TALK FREE, NOT ONLY THAT BUT ALSO TO FOLLOW OR TO IGNORE ANY PERSON..

feel free!
 
Expert member una hasira?
Nini shida na nani kakuudhi?
Tema mate tumchape
 
Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.

Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa.

Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba utakuta Id ya kiume ikishakenuliwa meno jukwaani na Id ya kike basi hiyo Id ya kike itakoma.

Kila mahali itakapoonekana hiyo Id ya kike ujue lazima ile Id ya kiume itakuja.
Id ya kiume itaitafuta ile Id ya kike popote pale ili mradi tu ije ikae nae karibu. Naomba hiyo tabia ife na ndio maana Pm conversation nyingi zimefungwa.

Huu kama sio upweke ni nini jamani?

Halafu kuna kitu kingine nimekinote kwa hawa wanaume wa humu.

Kama ana mahusiano aidha ya siri siri au ya jukwaani na mwanamke humu basi hataki hata kuchat na mtu mwingine. Aliyekwambia mahusiano ya mtandaoni yanadumu nani?

Mnapotezeana muda na akili zenu za kufanya kazi tu.

Pia kuna hawa Verified Members wenye tiki za bluu 🔵 wanaona maisha yao wameshayamaliza hapa duniani.
Pia kuna baadhi ya wale Platinum Members yaani hao wakiona huna blue tick wala hawajishughulishi kukujibu hata kama umemquote.

Na kundi la mwisho ni hawa wenye maisha ya duniani na peponi kwa pamoja, yaani ni verified member halafu na hapohapo ni Platinum member weeeee! hao ni kama washaiona pepo kabla ya kufa.

Mungu amesema tupendane kwani hatujui mwisho wetu na tutakuja kuzikwa na nani.

Mie nampenda kila mtu humu haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Cha muhimu ni kila mtu ana thamani sawasawa na alivyoumbwa.
MSIANGALIE ID YANGU, FATENI MANENO YANGU
ALAMSIKI.

NB:
Bado naendelea kupokea marafiki kutoka nje ya Jf.
Mimi unanielewaje
 
Halafu humu ni socialization, usiwatake wengne waishi kama wewe..
SISI HUMU SIYO MAYAI KWAMBA KILA KITU TUFANANE!
kama hujafuatwa, tuliza kombeo, usipotuliza kombeo utajikuta unajipga mbavu..

THIS IS A PLACE WHERE WE DARE TO TALK FREE, NOT ONLY THAT BUT ALSO TO FOLLOW OR TO IGNORE ANY PERSON..

feel free!
Mkuu umeongea ukweli mtupu aise.
 
Pia kuna hawa Verified Members wenye tiki za bluu 🔵 wanaona maisha yao wameshayamaliza hapa duniani.
Pia kuna baadhi ya wale Platinum Members yaani hao wakiona huna blue tick wala hawajishughulishi kukujibu hata kama umemquote.
Mimi sio Mmoja wao nadhani au hatujawahi kukutana kwenye line. Sikujua hii sifa ya Verified Members
 
JF ukiwa unapost post saana thred wanakuona CHEAP 😁😁😁😁 market value yako kiJamiiForum inashuka

anyway Happy international Judas day 🥰
Halooooo
Kumbe umejiunga humu Jf 2021 ili kupata attention?
Haya ingojee hiyo attention huenda ukapata na ndoa humu.
 
Back
Top Bottom