Nimegundua Wanaume wengi huku JF ni Wapweke Mno na Wamekosa Utulivu


πŸ˜‚ Umegeuka kuwa Shittalker ghafla mbona!!

Hakuna binti mwenye akili anaweza fungua id jf nakuweka hiyo profile picture

We ni mvulana, unaetamani kupetiwapetiwa na Wanaume kwa kujifanya Mwanamke nyuma ya keyboard!!
I got some good news for you young King!
Achana na hizo mambo, usipoteze fahari ya uanaume kwa sababu ya kutafuta attention. Just post vitu positive ambavyo hata wadogo zako wakiviona wajiskie fahari kuwa na kaka, imagine wagundue unatumia ID ya kike JF watakuweka kwenye kundi lipi?? Si watakuhisi una chembechembe za ushoga brotherboy!! Au unahisi ushoga ni mpaka utumiwe na wanaume wenzio?? Hata haya mambo unayoyafanya ni vitendo vya kishoga!

You can do more than this Bwana kaka!!
Embrace your masculinity, u was born to be a man not an online Sissy!!
 
Mimi ni mwanamke na wala sina haja ya kujidhihirisha kwako ili iweje?
Maamuzi ya kufungua Id ni yangu na wala sijashurutishwa na yeyote katika upangiwaji wa avatar.
Halafu mbona umening'ang'ania sana mimi halafu unasema mimi ni kidume au unataka mambo fulani?, karibu sana mazee nipo tayari kwa kazi yako.
Au nije Pm maana naona iko wazi dear🀭
 

My apology dada, i meant no offense..
have a nice Night woman!
 
Watu wapweke hawachat , hawashirik kwenye social kama hizi ambazo hutumia maandish sana bila picha ,

Wapweke wapo face book ,n.k

Walio huku wengi hupamban kubadl mitazamo yao ili iwe chanya Zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…