Hii platform imevamiwa na Vijana wa hovyo.. this was a Men Sanctuary, a safe haven yaan sehemu ambayo tulikua tunakimbilia kupata taarifa za msingi, msaada wa Mawazo.. ujuzi, connection za maokoto, it was a getaway place kwa watu wazima wenye akili zao..
Saizi imegeuka facebook group la form four leavers, cheap hoes and wannabe Gays. Ifike mahala Uongozi usikie kilio chetu.. wakishindwa ku control unnecessary trafics waweke kiiingilio, wenye akili tutalipa!!
Eti utalipa.
Ningekuona una akili kama ungelipia na kuchangia Jf ili uwe Platinum member.
Huna pesa yoyote na usitafute huruma hapa au unadhani kuchanganya kiinglish chako cha kuombea mkopo Tala ndio watu watababaika?
Unasikia we kijana, humu kuna majukwaa zaidi ya 30 na ukiona hili jukwaa la MMU halifiti kwako basi unaruhusiwa ku leave.
Halafu kingine ndugu Expert member mwenye hasira, option ya ignored kwa member unayemuona kikwazo kwako mbona ipo?
Usijichoshe kuandika vitu viiiiingi ili uonewe huruma wakati wewe mwenyewe hapo ulipo Dunia haina huruma na wewe🤭.
Eti una akili, akili uzitoe wapi wewe failure?
Acha kukariri maisha kila sehemu.
Maisha haya ya humu ukiyaletea hasira utaona kila post itakayoanzishwa basi utajua umeanzishiwa wewe.
Lastly from list, eti unasema ulikuwa unapata connection za maokoto....maokoto my ass!!!
Lini ulionekana na pesa wewe?
Usinichoshe, nisikuchoshe na tusichoshane.
"Changia Jamii Forums ili uwe Platinum member.
Platinum membes hawana kelele kama wewe" in Dotto Magari voice
Wannabe Gays ni wewe na ndugu zako huko kwenu kijijini
Cavill