Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
We nikome ushawahi kuniona mi nna nyuzi za kudiscuss na mapaka shume km nyie?? 😏😹Kwa hiyo hunitaki kwenye nyuzi zako siyo?
Hakuna wasi narudi kwa akina Lamomy BICHWA KOMWE - BRAZA CHOGO.
We nikome ushawahi kuniona mi nna nyuzi za kudiscuss na mapaka shume km nyie?? 😏😹Kwa hiyo hunitaki kwenye nyuzi zako siyo?
Hakuna wasi narudi kwa akina Lamomy BICHWA KOMWE - BRAZA CHOGO.
Mambo 😎Vin km vin
Mmeambiwa id zenu hazina ushawishi 😹😹😹Plizz ova plizz!
Ehhh 😹😹😹Nakutaka.
Sogeza shavu nikubusu😘
Nimeshangaa JF uwe serious 😹😹😹Kumbe Kuna watu humu wako serious 😂😂
Tuwekee link mkuu 😹Uko sahihi,mtu anachati Hadi saa 6 usiku na saa kumi Yuko macho.
Hata hivyo jf kwangu ni sehemu ya burudani sihitaji watu physical kupata burudani.
Dah😀😃😃😀Mmeambiwa id zenu hazina ushawishi 😹😹😹
Yani nimecheka nusu nidondoke khaaaa.!! 🤣
Upo obsessed na platinum members na verified members.Una hasira sana e.
Kwanza sio verified wala platinum.
Hunitishi lolote.
😹😹 Umemaliza asipokuelewa hapa basi..!!Mtoa mada yaan wewe unaumizwa na maisha ya wengine, yaan MTU kutafuta company humu jf wewe unaumia
Unataka utupangie namna ya kuchati na namna ya Ku m quote MTU
Yaan I see kuna vile unatafuta Ka attention flan hivi.... By attacking others.
Wewe unatupa maelekezo Kama nan humu?? Yaan max melo mwenyewe hatupangii maisha, then who are you?? To do soo...
Yaaan wewe Mimi nikim quote mfano Lamomy mara 1000 wewe unaumia, daaah pole saana utazidi kuumia...
Do your stuff that make you happy, don't care about others....
Hata Kama watu wanastress wewe inakuhusu nini??
Una Kazi yakuangalia joining year, then Una mgrade MTU,
Anyway....
Nisema tu nakupenda😋.We nikome ushawahi kuniona mi nna nyuzi za kudiscuss na mapaka shume km nyie?? 😏😹
Lamomy acha hizo!!Mmeambiwa id zenu hazina ushawishi 😹😹😹
Yani nimecheka nusu nidondoke khaaaa.!! 🤣
Za asubuhi, uwe na ijumaa kuu njema.Kumbe Kuna watu humu wako serious 😂😂
Simpendi katu😹😹😹 Min unakataa mboga?
Em legeza basi mzungumze na wifi jamani 😹🤣🤣
Ila JF haiboi haipoi humu tyu..!!