Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Ngoja nitafute hilo kundi la tatu linasemajeWeee uko kundi la tatu
Ngoja nitafute hilo kundi la tatu linasemajeWeee uko kundi la tatu
Tupendane kivip mkuu? upendo upo wa aina nyingiSijui kama Kuna ukweli......
Yote kwa yote tupendane!.
Hahahaahahaha dah kumbe hili ndio kundi la tatu...Verified and Platinum members. Sasa jamanii nina miaka 16 (sixteen) years humu ndani, nityashindwa kuwa veerified au platinum kweli. Yaani nimejiunga JF wakati first born wangu akiwa na miak mitano, hadi leo hii niko humu ndani daily.3. Na kundi la mwisho ni hawa wenye maisha ya duniani na peponi kwa pamoja, yaani ni verified member halafu na hapohapo ni Platinum member weeeee! hao ni kama washaiona pepo kabla ya kufa.
Humpendi hiyo veepee?? 😹😹Simpendi katu
We kula tu ila mm kukutana na watu wa jf tena bas wallahiMimi nishaanza kula mafao karibu shem 😹😹
😹😹😹 wanekufanya nini??We kula tu ila mm kukutana na watu wa jf tena bas wallahi
Ushawisha gani tena mnaoutaka zaidi ya kutembezewa fimbo ya Musa kisawa sawa na kufikishwa kule msikofikishwa kirahisi?Wee buana huna ushawishi acha kusumbua warembo 😹😹😹🤣🤣
Ushaambiwa huna ushawishi sasa hiyo fimbo utawachapa nayo vipi?? 😹😹😹Ushawisha gani tena mnaoutaka zaidi ya kutembezewa fimbo ya Musa kisawa sawa na kufikishwa kule msikofikishwa kirahisi?
Shauri yenu! Mnapisha na gari la mshahara.Ushaambiwa huna ushawishi sasa hiyo fimbo utawachapa nayo vipi?? 😹😹😹
Upendo ni upendo tu,, chaguq upendo furahia maisha!.Tupendane kivip mkuu? upendo upo wa aina nyingi
HahahahahNgoja nitafute hilo kundi la tatu linasemaje
Hahahahahaa hjuko mie simo ndugu yangu wa damu weweHahahahah
Hili hapa
3. Na kundi la mwisho ni hawa wenye maisha ya duniani na peponi kwa pamoja, yaani ni verified member halafu na hapohapo ni Platinum member weeeee! hao ni kama washaiona pepo kabla ya kufa.
🤭🤭🤭🤭🤭
Siongei na viraka.Mtoa mada yaan wewe unaumizwa na maisha ya wengine, yaan MTU kutafuta company humu jf wewe unaumia
Unataka utupangie namna ya kuchati na namna ya Ku m quote MTU
Yaan I see kuna vile unatafuta Ka attention flan hivi.... By attacking others.
Wewe unatupa maelekezo Kama nan humu?? Yaan max melo mwenyewe hatupangii maisha, then who are you?? To do soo...
Yaaan wewe Mimi nikim quote mfano Lamomy mara 1000 wewe unaumia, daaah pole saana utazidi kuumia...
Do your stuff that make you happy, don't care about others....
Hata Kama watu wanastress wewe inakuhusu nini??
Una Kazi yakuangalia joining year, then Una mgrade MTU,
Anyway....