Babe usiniangushe.Upande wako babe
Unaringa na huna bikra kubabekiWatasubiri sana.
Kwanza hawana mvuto.
Id zao hazishawishi
Kesho ndo utajua kuwa babe wako niko vyema kiakili.Sawa unistue kabisa mapema
Vice versa is true!humu hata wanawake wana depression mixer chronic stress
Niliitwa chumbani na Wifi yako kwenda kumsimanga YUDA Iskariote. NimerejeaDeterminantor unaona?
Nimekujibu nawe hujanijibu.
Mimi nishaanza kula mafao karibu shem š¹š¹Shida yenu mnajionaga mnajua sana kulinda privacy zenu sijui. Kalaga baho namba zangu nawekaga hadharani na vigoli vimenitafutaga fresh tu. Jf hii mishangaz ndo mingi, miaka 10 mbele asilimia 75 ya wote wataanza kula mafao. Nisikilize mm
Wewe sasa ndo umemaliza mkuu, humu JF ni sehemu ya kuchangamsha genge, ukitaka kuishi maisha halisi kitamlamba hadi ashangae..!!Mimi binafsi huwa nadhani upweke mkuu ni kufuatilia mienendo ya wana JF, ukitoa few simps and certified hoes hakuna cha kufuatilia hapa zaidi ya story za kuchangamsha genge tu.
š¹š¹š¹ Min unakataa mboga?Sikupendi coz sioni uzuri wako , binafsi mimi sipendi sipendi hovyo tu
šššš NimechekaKwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.
Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa.
Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba utakuta Id ya kiume ikishakenuliwa meno jukwaani na Id ya kike basi hiyo Id ya kike itakoma.
Kila mahali itakapoonekana hiyo Id ya kike ujue lazima ile Id ya kiume itakuja.
Id ya kiume itaitafuta ile Id ya kike popote pale ili mradi tu ije ikae nae karibu. Naomba hiyo tabia ife na ndio maana Pm conversation nyingi zimefungwa.
Huu kama sio upweke ni nini jamani?
Halafu kuna kitu kingine nimekinote kwa hawa wanaume wa humu.
Kama ana mahusiano aidha ya siri siri au ya jukwaani na mwanamke humu basi hataki hata kuchat na mtu mwingine. Aliyekwambia mahusiano ya mtandaoni yanadumu nani?
Mnapotezeana muda na akili zenu za kufanya kazi tu.
1. Kuna hawa Verified Members wenye tiki za bluu šµ wanaona maisha yao wameshayamaliza hapa duniani.
2. Pia kuna baadhi ya wale Platinum Members yaani hao wakiona huna blue tick wala hawajishughulishi kukujibu hata kama umemquote.
3. Na kundi la mwisho ni hawa wenye maisha ya duniani na peponi kwa pamoja, yaani ni verified member halafu na hapohapo ni Platinum member weeeee! hao ni kama washaiona pepo kabla ya kufa.
Mungu amesema tupendane kwani hatujui mwisho wetu na tutakuja kuzikwa na nani.
Mie nampenda kila mtu humu haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Cha muhimu ni kila mtu ana thamani sawasawa na alivyoumbwa.
MSIANGALIE ID YANGU, FATENI MANENO YANGU
ALAMSIKI.
NB:
Bado naendelea kupokea marafiki kutoka nje ya Jf.
Kumbe Kuna watu humu wako serious ššWewe sasa ndo umemaliza mkuu, humu JF ni sehemu ya kuchangamsha genge, ukitaka kuishi maisha halisi kitamlamba hadi ashangae..!!
šššššJF ukiwa unapost post saana thred wanakuona CHEAP šššš market value yako kiJamiiForum inashuka
anyway Happy international Judas day š„°
Uko sahihi,mtu anachati Hadi saa 6 usiku na saa kumi Yuko macho.Kwa muda wangu mfupi niliojiunga humu Jf nimegundua wanaume wengi mno humu ni wapweke.
Upweke ninaomaanisha hapa sio ule wa kukosa mpenzi/mchumba/mke bali upweke ninaouzungumzia hapa ni ule wa kung'ang'ania kuchati na Id ya kike ili aweze kumtawala kila jukwaa.
Kwa ambao hamjanielewa ni kwamba utakuta Id ya kiume ikishakenuliwa meno jukwaani na Id ya kike basi hiyo Id ya kike itakoma.
Kila mahali itakapoonekana hiyo Id ya kike ujue lazima ile Id ya kiume itakuja.
Id ya kiume itaitafuta ile Id ya kike popote pale ili mradi tu ije ikae nae karibu. Naomba hiyo tabia ife na ndio maana Pm conversation nyingi zimefungwa.
Huu kama sio upweke ni nini jamani?
Halafu kuna kitu kingine nimekinote kwa hawa wanaume wa humu.
Kama ana mahusiano aidha ya siri siri au ya jukwaani na mwanamke humu basi hataki hata kuchat na mtu mwingine. Aliyekwambia mahusiano ya mtandaoni yanadumu nani?
Mnapotezeana muda na akili zenu za kufanya kazi tu.
1. Kuna hawa Verified Members wenye tiki za bluu šµ wanaona maisha yao wameshayamaliza hapa duniani.
2. Pia kuna baadhi ya wale Platinum Members yaani hao wakiona huna blue tick wala hawajishughulishi kukujibu hata kama umemquote.
3. Na kundi la mwisho ni hawa wenye maisha ya duniani na peponi kwa pamoja, yaani ni verified member halafu na hapohapo ni Platinum member weeeee! hao ni kama washaiona pepo kabla ya kufa.
Mungu amesema tupendane kwani hatujui mwisho wetu na tutakuja kuzikwa na nani.
Mie nampenda kila mtu humu haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
Cha muhimu ni kila mtu ana thamani sawasawa na alivyoumbwa.
MSIANGALIE ID YANGU, FATENI MANENO YANGU
ALAMSIKI.
NB:
Bado naendelea kupokea marafiki kutoka nje ya Jf.
Vin km vinUna uhakika Binti njoo basi huku kigamboni nikununulie bia nne usiku huu