Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Uliponiponikataa akili imeshinda kufanya kazi aise.Nakuona kwenye nyuzi mbili tofauti na hapa 🤔
Panapomajaliwa kesho.Ututag
Sijawahi kuwa na kiherehere kwa ID za kike hapa jf coz kuna wajuba kibao wanamiliki ID za kike 😂Wewe upande wako je?
Ila huko Pm naona watu wanaumbuka sana.Sijawahi kuwa na kiherehere kwa ID za kike hapa jf coz kuna wajuba kibao wanamiliki ID za kike 😂
I am out of my mind because of you.Unazurura hatari
Uko upande wangu au upande wa mtumishi.Sawa
Na wanapigwa sana hela za bando na hao vidume wenzaoIla huko Pm naona watu wanaumbuka sana.
Astaghafirullah 😃 😀Ila huko Pm naona watu wanaumbuka sana.
Id ya kike na profile ya kike, kumbe dume la mbegu lenye watoto na mke nyumbani.
Jf haiishi vituko aisee
Kaka kwema 😃😀Vincenzo Jr hongera mwana umeyapatia maisha. Niachie hata buku basi hapo
Yaani ni mateso.😧😧😧
Makubwa