Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #121
Siyo lazima kuandika uzi,unahara hara tu!
Wewe umemharia Nani akakutawaza ndio ukaja huku?
Siyo lazima kuandika uzi,unahara hara tu!
Ahahahahaha! Kwahiyo ni ruksa kuvunja Katiba ili mradi tu hujawaathiri wananchi sio? Ahahahahaha! Wewe jiniasi!
Umeongea Mambo ya msingi Mtibeli.
Binafsi nashangazwa na utendaji kazi wa wizara hii kazi na ajira. Hebu fikiria wangekuwa wafatiliaji wa mambo na kusimama Sheria za kazi, watanzania wasingefanywa watumwa ndani ya nchi yao ujira usioendana na elimu na kazi zao.
Pia, serikali inapoteza mapato ya kodi (PAYE) kutokana na watu kunyonywa Kwa kulipwa malipo duni, huku wenye taasisi au makampuni husika wazidi kuneemeka Kwa utajiri uliotokana na unyonyaji.
NONSENSE.Hakuna demagogue mwenye muda wa kutoa historia ya uchaguzi.
Tone/Sauti unayotumia na maneno unayoongea kuamsha hisia za watu, yana nguvu kubwa sana katika kuhamasisha watu.
Mtu hana mbinu za ushawishi unataka kuwalaumu watanzania.
Lissu ni mwanaharakati tu.
Tafuta speech za Magufuli akianza kufoka, mpaka watumishi wakimuona wanatetemeka.
Tafuta speech za Hitler akihamasisha chuki zake.
Shida ya wanasiasa wa upinzani hawana mbinu za vita, wakitoka hapo lawama ni bongo fleva, umbea, Simba na Yanga, kamali, ujinga wa watanzania; etc.
Uhalisia ni kwamba shida ni uwezo wao mdogo viongozi wa upinzani.
Mfano mwingine ni pale ilipo ibuka LBL hapo ndo utajua watu tuu wajinga kiasi gani,watu waliingia kama nyumbu,siku moja jiulize kwa nini watu wanazamia nje,watu wanafuata soft loaf of bread wenye mayai,lakini hivi waulize hata ccm kweli wanataka nini,nadhani jibu hutapata,nchi hii job Ndungai ndo aliongea ukweli,wizi uko kila Kona mpe mtu kazi lazima aibe sababu hajui kampuni inataka nini sababu Kampuni inakaba mno,juzi nimepita kiwanda cha 21 century walahi siha za watu wale zilinifanya nione Mimi ni kichaa,tumexhoka mno kifikra.Hamjambo Wote!
Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia.
Kwenye Mada.
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa.
Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio tabia ya Asili Bali Tabia ambayo inatokana na Moja ya mambo haya au yote kwa pamoja yaani Umaskini, ujinga na maradhi
Mbaya zaidi uwe Maskini alafu uwe mjinga huna ujanja hapo lazima uwe Mpole tuu.
Wewe ni Maskini alafu hujasoma, hujui mambo mengi Ukali na ukorofi utautolea wapi.
Ukifuatilia kwenye huduma za kijamii zinazotolewa katika taasisi za serikali kama Hospitalini au hata Jeshi la Polisi utaliona tatizo Hilo kirahisi zaidi.
Watanzania sio wapole kiasili Bali wengi wao ni Maskini na wajinga. Hivyo upole unaonekana kwa sehemu kubwa ni hawana namna nyingine ya kufanya zaidi ya kuwa wapole.
Mtanzania anaweza akawekwa kwenye benchi hata masaa matatu bila Sababu za maana na akatulia tuu. Sio kwamba ni Mvumilivu au Mpole hapana. Hapo atakuwa aidha ni Maskini asiye na lolote au Mjinga ambaye hajasoma akaelimika.
Fikiria mtu anafika hospitalini, yupo foleni anaona foleni haitembei, haulizi Sababu, kumbe Ofisini Daktari anapiga Stori au anachat na simu.
Au Mteja(Mgonjwa) anahudumiwa mara anatokea Daktari mwingine anakuja hapo Ofisini wanaanza kupiga Stori sio chini ya dakika tano.na Stori zenyewe hazina uhusiano na mambo ya Kazi ya Udaktari. Mgonjwa yupo hapohapo tuu anashangaa shangaa kwa ujinga wake.
Nenda Mwendokasi pale, mnaweza kukaa Lisaa hata limoja, mmejaa haswa. Watanzania wamekaa kwa upole wa bandia, hawana chakufanya.
Wahudumu wa Mwendokasi hawawajibiki kwa Sababu walishawadharau Watanzania.
Viongozi wa taifa nao wanajifanya hawaoni kwa Sababu wameshawadharau Watanzania kwani watafanya nini hao watu maskini na wajinga wasioweza kufanya lolote lile kujisaidia.
Twende kwenye Ajira.
Ndugu zangu jamani wanateseka haswa.
Hakuna cha upole hapo ni Ulofa.
Watu wanaajiriwa ni waalimu madaktari tena wadegree lakini mishahara Yao ukiambiwa utacheka kwa kuwahurumia.
Hivi MD au Mwalimu wa degree ni wakulipwa Laki 3 na serikali IPO, vyama vya wafanyakazi vipo, Dola IPO, usalama wa taifa upo, CCM IPO, chadema ipo. Viongozi wa Dini wapo 😂😂.
Kweli!
Mtu wa degree alipwe Laki Tatu na jamii IPO inaona kawaida. KWELI!
Unajua maana yake hiyo?
Kama mtu wa degree yaani mwenye elimu ya juu kabisa analipwa pesa za namna hiyo vipi Yule ambaye hajasoma Kabisa.
Unajua kimantiki ni kwamba Yule ambaye hajasoma atakuwa kwenye Hali mbaya zaidi.
Maana waajiri watatumia msemo na nahau kusema kama WA degree analipwa laki Tatu wewe nikulipe Laki Tatu ya nini na uliishia kidato cha nne au hukusoma Kabisa.
Alafu kuna Yale majitu majinga Kabisa na bila Shaka yametokea familia zile Fukara Kabisa na sio maskini utayasikia yakisema tafuta Pesa.
Huwezi mkuta mtu mwenye akili timamu na ambaye katoka familia iliyonyooka akaongea misemo ya kipunguani kama hiyo ya Tafuta pesa.
Wenye Akili wote na matajiri wanajua pesa inahitaji Mifumo Bora ya Sheria katika utafutaji ikiwemo kujiajiri na kuajiriwa hapo utahusisha na mambo ya Kodi, ulinzi wa Mitaji n.k.
Sasa mtu unamwambia atafute pesa, anakuuliza kwa namna ipi,aajiriwe alipwe Laki mbili itamtosha?
Alime tikitiki au korosho kuna soko la uhakika? Au ndio abeti?
Njoo kwenye Viwanda huko ndio utajua kuwa Watanzania sio kwamba ni wapole Bali ni umaskini na ujinga ndio adui aliyewamaliza.
Mtu anafanya Kazi masaa zaidi ya 12. Hicho kimshahara usitake kukisikia kwani itakuwa murder Case. Utakufa nakuambia.
Nilishawahi kusema na kuandika ni Bora tusiwe na kiwanda hata kimoja kuliko kuwa na maviwanda yanayogeuza Mwananchi hata Mmoja kuwa Msukule au mtumwa.
Lazima tujali watu wetu. Huo ndio Uongozi na utawala Bora.
Nilishasema kama Mtibeli hatuwezi epuka sera za UVAMIZI kama kweli tunataka kupiga Hatua.
Hayo maviwanda kama yanaulazima wa kuwepo tafuteni vibarua kutoka mataifa mengine wafanye hizo Kazi.
Wanaosema hivyo viwanda vinaleta Ajira nataka kuwaambia hakunaga Ajira za kuumiza watu na kuwafanya wawe Watumwa katika nchi Yao wenyewe. Hizo Kazi ngumu za shokoa zinahitaji ziwekewe Sheria inayoeleweka na maslahi ya wafanyakazi yawe Bora.
Kama haiwezekani vifutwe tuu.
Hao vijana wafanye shughuli zao zingine.
Serikali, usalama wa taifa, vyama vya siasa, Hatuwezi kujiona Tupo salama katika nchi yetu hii ambayo imejaa mvamvuli wa upole kumbe ni Ulofa uliosababishwa na Umaskini na Ujinga.
Nchi Ile iwe Salama sio kuwa na Jeshi IMARA lenye silaha IMARA.
Nchi Ile iwe Salama lazima wananchi wake wawe HURU.
Wasiwe Watumwa kwa wageni.
Wasifanyane Watumwa wao kwa wao.
Nchi ambayo wananchi wao wapo Huru lazima iwe na ulinzi na usalama Mkubwa.
Na Vita yoyote lazima watoboe. Iwe vita ya mapigano ya silaha za kiteknolojia, au vita ya Magonjwa, au Vita yoyote Ile.
Lakini nchi ambayo watu wake hawapo Huru. Kwa falsafa za Kitibeli tunasema nchi hiyo haiko Salama na Wala haina ulinzi wa maana.
Ni kwamba, nchi au taifa hilo lipo mikononi mwa maadui. Ingawaje kwa Nje wengi wanaweza wasilione Hilo lakini Kwa jicho la ndani au macho ya kimedani au jicho la kifalsafa tunaweza kusema taifa hilo halipo Huru na Uhuru wao upo mikononi mwa maadui. Na ikiwa maadui ndio wameshika taifa lolote lile hiyo itamaanisha taifa husika halipo salama isipokuwa kuna kiini macho.
Haishangazi kusikia utekaji, mauaji ambayo hayafanyiwi uchunguzi wowote, na watu wapo Kimya kana kwamba hakujatokea chochote. Hahitaji uwe na akili nyingi sana kugundua hatari iliyopo.
Tunahitaji Tanzania ambayo watu wanapendana Sana.
Kwa sababu kwenye upendo kuna umoja na ushirikiano na furaha.
Tunahitaji Tanzania yenye HAKI kwa Sababu Haki ndio utaifa wenyewe.
HAKI baina yetu wenyewe kwa wenyewe. Mtanzania Kwanza.
Mabadiliko haya yaanze na mtu Mmoja Mmoja.
Maana kuna watu wanataka tuu watu Fulani wabadilike labda viongozi huku wao hawataki kubadilika.
Mabadiliko unaanza nayo wewe.
Sio unahudumia wananchi labda fundi nguo unachelewesha Kazi za watu. Huna tofauti na hao wengine,
Au fundi Mwashi unaiba vifaa vya Ujenzi na kuihujumu nyumba ya Mteja wako.
Au upo hospital ni Daktari au Nurse, hudumia watu Kwa haraka na ufanisi watu waendelee na mambo mengine.
Mwalimu, sio unapigapiga kelele,unatukana Wanafunzi wako na kuwatolea Maneno yasiyo na kichwa Wala miguu kama mwendawazimu. Hufundishi vizuri na unategea. Taifa halijengwi hivyo.
Taifa lenye UKWELI na akili.
Mtibeli Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master.
Kwa sasa Dar es salaam
Mfano mwingine ni pale ilipo ibuka LBL hapo ndo utajua watu tuu wajinga kiasi gani,watu waliingia kama nyumbu,siku moja jiulize kwa nini watu wanazamia nje,watu wanafuata soft loaf of bread wenye mayai,lakini hivi waulize hata ccm kweli wanataka nini,nadhani jibu hutapata,nchi hii job Ndungai ndo aliongea ukweli,wizi uko kila Kona mpe mtu kazi lazima aibe sababu hajui kampuni inataka nini sababu Kampuni inakaba mno,juzi nimepita kiwanda cha 21 century walahi siha za watu wale zilinifanya nione Mimi ni kichaa,tumexhoka mno kifikra.
Nani kakuambia Wamerekani wamekaa kimya? Hujui kuna kesi ngapi mahakamani dhidi ya maamuzi ya Trump? Hujui Trump kapigwa stop na mahakama asiendelee na hatua nyingine yoyote ya kuisambaratisha USAID? Hujui Trump kapigwa stop na mahakama asiendelee kurudisha wahamiaji haramu haramu makwao?Kiukweli sijasoma yote. Ila nikuulize, upuuzi anaofanya Trump na Wamarekani wamekaa kimya, nao ni maskini?
😆😆😆😆😆Unajua Mada inazungumzia Jambo gani ndugu Mgonjwa?
☝🏿🤯Unaunga umasikini, ujinga na maradhi na ukosefu wa ujanja? Kivipi?Hamjambo Wote!
Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia.
Kwenye Mada.
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyoseaga Hayyati Benjamin Mkapa.
Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio tabia ya Asili Bali Tabia ambayo inatokana na Moja ya mambo haya au yote kwa pamoja yaani Umaskini, ujinga na maradhi
Mbaya zaidi uwe Maskini alafu uwe mjinga huna ujanja hapo lazima uwe Mpole tuu.
Wewe ni Maskini alafu hujasoma, hujui mambo mengi Ukali na ukorofi utautolea wapi.
Ukifuatilia kwenye huduma za kijamii zinazotolewa katika taasisi za serikali kama Hospitalini au hata Jeshi la Polisi utaliona tatizo Hilo kirahisi zaidi.
sumuWatanzania sio wapole kiasili Bali wengi wao ni Maskini na wajinga. Hivyo upole unaonekana kwa sehemu kubwa ni hawana namna nyingine ya kufanya zaidi ya kuwa wapole.
Mtanzania anaweza akawekwa kwenye benchi hata masaa matatu bila Sababu za maana na akatulia tuu. Sio kwamba ni Mvumilivu au Mpole hapana. Hapo atakuwa aidha ni Maskini asiye na lolote au Mjinga ambaye hajasoma akaelimika.
Fikiria mtu anafika hospitalini, yupo foleni anaona foleni haitembei, haulizi Sababu, kumbe Ofisini Daktari anapiga Stori au anachat na simu.
Au Mteja(Mgonjwa) anahudumiwa mara anatokea Daktari mwingine anakuja hapo Ofisini wanaanza kupiga Stori sio chini ya dakika tano.na Stori zenyewe hazina uhusiano na mambo ya Kazi ya Udaktari. Mgonjwa yupo hapohapo tuu anashangaa shangaa kwa ujinga wake.
*Nenda Mwendokasi pale, mnaweza kukaa Lisaa hata limoja, mmejaa haswa. Watanzania wamekaa kwa upole wa bandia, hawana chakufanya.
Wahudumu wa Mwendokasi hawawajibiki kwa Sababu walishawadharau Watanzania.
Viongozi wa taifa nao wanajifanya hawaoni kwa Sababu wameshawadharau Watanzania kwani watafanya nini hao watu maskini na wajinga wasioweza kufanya lolote lile kujisaidia.
*Twende kwenye Ajira.
Ndugu zangu jamani wanateseka haswa.
Hakuna cha upole hapo ni Ulofa.
Watu wanaajiriwa ni waalimu madaktari tena wadegree lakini mishahara Yao ukiambiwa utacheka kwa kuwahurumia.
Hivi MD au Mwalimu wa degree ni wakulipwa Laki 3 na serikali IPO, vyama vya wafanyakazi vipo, Dola IPO, usalama wa taifa upo, CCM IPO, chadema ipo. Viongozi wa Dini wapo 😂😂.
Kweli!
Mtu wa degree alipwe Laki Tatu na jamii IPO inaona kawaida. KWELI!
*Unajua maana yake hiyo?
Kama mtu wa degree yaani mwenye elimu ya juu kabisa analipwa pesa za namna hiyo vipi Yule ambaye hajasoma Kabisa.
Unajua kimantiki ni kwamba Yule ambaye hajasoma atakuwa kwenye Hali mbaya zaidi.
Maana waajiri watatumia msemo na nahau kusema kama WA degree analipwa laki Tatu wewe nikulipe Laki Tatu ya nini na uliishia kidato cha nne au hukusoma Kabisa.
Alafu kuna Yale majitu majinga Kabisa na bila Shaka yametokea familia zile Fukara Kabisa na sio maskini utayasikia yakisema tafuta Pesa.
*Huwezi mkuta mtu mwenye akili timamu na ambaye katoka familia iliyonyooka akaongea misemo ya kipunguani kama hiyo ya Tafuta pesa.
*Wenye Akili wote na matajiri wanajua pesa inahitaji Mifumo Bora ya Sheria katika utafutaji ikiwemo kujiajiri na kuajiriwa hapo utahusisha na mambo ya Kodi, ulinzi wa Mitaji n.k.
*Sasa mtu unamwambia atafute pesa, anakuuliza kwa namna ipi,aajiriwe alipwe Laki mbili itamtosha?
Alime tikitiki au korosho kuna soko la uhakika? Au ndio abeti?
🙌🏾Njoo kwenye Viwanda huko ndio utajua kuwa Watanzania sio kwamba ni wapole Bali ni umaskini na ujinga ndio adui aliyewamaliza.
Mtu anafanya Kazi masaa zaidi ya 12. Hicho kimshahara usitake kukisikia kwani itakuwa murder Case. Utakufa nakuambia.
Nilishawahi kusema na kuandika ni Bora tusiwe na kiwanda hata kimoja kuliko kuwa na maviwanda yanayogeuza Mwananchi hata Mmoja kuwa Msukule au mtumwa.
Utanganyika wako ni lazima utiliwe mashaka. Lugha iliyotumika hapo juu inadhihirisha kwamba una Uraia wa nchi nyingine. Watibeli ndio nini?Lazima tujali watu wetu. Huo ndio Uongozi na utawala Bora.
Nilishasema kama Mtibeli hatuwezi epuka sera za UVAMIZI kama kweli tunataka kupiga Hatua.
☝🏿🤔Nyie watibeli kwanini msifanye hivyo basi kama unavyojinadi ni mchapa/wachapa kazi?Hayo maviwanda kama yanaulazima wa kuwepo tafuteni vibarua kutoka mataifa mengine wafanye hizo Kazi.
☝🏿 Hapo kidogo ume make sense.Wanaosema hivyo viwanda vinaleta Ajira nataka kuwaambia hakunaga Ajira za kuumiza watu na kuwafanya wawe Watumwa katika nchi Yao wenyewe. Hizo Kazi ngumu za shokoa zinahitaji ziwekewe Sheria inayoeleweka na maslahi ya wafanyakazi yawe Bora.
Kama haiwezekani vifutwe tuu.
Hao vijana wafanye shughuli zao zingine.
Serikali, usalama wa taifa, vyama vya siasa, Hatuwezi kujiona Tupo salama katika nchi yetu hii ambayo imejaa mvamvuli wa upole kumbe ni Ulofa uliosababishwa na Umaskini na Ujinga.
Nchi Ile iwe Salama sio kuwa na Jeshi IMARA lenye silaha IMARA.
Nchi Ile iwe Salama lazima wananchi wake wawe HURU.
Wasiwe Watumwa kwa wageni.
Wasifanyane Watumwa wao kwa wao.
Hapo unajikanganya. Huko juu umedai ili nchi iwe salam haitaji jeshi imara na silaha imara, sasa utueleze, hilo jeshi litakuwa la kufanya nini? Unawezaje kuhakikishia usalama wa raia iwapo huna jeshi imara na silaha imara?😌🤔Nchi ambayo wananchi wao wapo Huru lazima iwe na ulinzi na usalama Mkubwa.
*Na Vita yoyote lazima watoboe. Iwe vita ya mapigano ya silaha za kiteknolojia, au vita ya Magonjwa, au Vita yoyote Ile.
Lakini nchi ambayo watu wake hawapo Huru. Kwa falsafa za Kitibeli tunasema nchi hiyo haiko Salama na Wala haina ulinzi wa maana.
Ni kwamba, nchi au taifa hilo lipo mikononi mwa maadui. Ingawaje kwa Nje wengi wanaweza wasilione Hilo lakini Kwa jicho la ndani au macho ya kimedani au jicho la kifalsafa tunaweza kusema taifa hilo halipo Huru na Uhuru wao upo mikononi mwa maadui. Na ikiwa maadui ndio wameshika taifa lolote lile hiyo itamaanisha taifa husika halipo salama isipokuwa kuna kiini macho.
Kwa ukweli, ulitaka watu wafanye nini. Mpaka hapa namaliza kuandika kuna watu zaidi ya elfu moja wametekwa wamepotea au wameuwawa duniani, na kuna nchi nyingine kama Marekani watu bado hawajapatikana miaka mingi sana, je ni kwasababu wamekosa Ujanja? ama Raia wao wako kimya?- oversimplifying, overgeneralizingHaishangazi kusikia utekaji, mauaji ambayo hayafanyiwi uchunguzi wowote, na watu wapo Kimya kana kwamba hakujatokea chochote. Hahitaji uwe na akili nyingi sana kugundua hatari iliyopo.
Tunahitaji Tanzania ambayo watu wanapendana Sana.
Kwa sababu kwenye upendo kuna umoja na ushirikiano na furaha.
Tunahitaji Tanzania yenye HAKI kwa Sababu Haki ndio utaifa wenyewe.
Nina mashaka sana na Utanzania wako bwashee.HAKI baina yetu wenyewe kwa wenyewe. Mtanzania Kwanza.
Upo sahihi na mtazamo huo, ila nafikiri mabadiliko uyaanze mwenyewe kwanza mkuu. Si ajabu umendika haya watu wabadilike, anza mwenyewe kama unavyodai, na ukubali huwezi wapangia Watanzania wafuate tabia za watu wengine kufanya shughuli zao.Mabadiliko haya yaanze na mtu Mmoja Mmoja.
Maana kuna watu wanataka tuu watu Fulani wabadilike labda viongozi huku wao hawataki kubadilika.
Mabadiliko unaanza nayo wewe.
I disagree. Hakuna Nchi yeyote ile ambayo haina watu au jamii enye hayo matatizo, nabhiyo haina maana nasema tuachie tu, lakini kudai ni hulka za Watanzania pekee, nakataa katu katu.Sio unahudumia wananchi labda fundi nguo unachelewesha Kazi za watu. Huna tofauti na hao wengine,
Au fundi Mwashi unaiba vifaa vya Ujenzi na kuihujumu nyumba ya Mteja wako.
*Au upo hospital ni Daktari au Nurse, hudumia watu Kwa haraka na ufanisi watu waendelee na mambo mengine.
*Mwalimu, sio unapigapiga kelele,unatukana Wanafunzi wako na kuwatolea Maneno yasiyo na kichwa Wala miguu kama mwendawazimu. Hufundishi vizuri na unategea. Taifa halijengwi hivyo.
*{nitarudi}Taifa lenye UKWELI na akili.
Mtibeli Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master.
Kwa sasa Dar es salaam
Una hojaAkili wapi bwana, kuna matanzania yamebobea kwenye kuropoka, hebu miulize lenyewe limefanya nini kumdhibiti huo ujinga? Halina majibu! Kinachotusumbua ni uchawa wa wasomi wetu! Yeye mwenyewe akipewa shavu hapo ataanza kisifu na kuabudu! Hivi kulikuwa na mpinzani kama Polepole, Kafulila, Zitto, Mtatiro, and the like? Unawasikia wanavyosifia sasa hivi?
Kwani Ukiwa na pesa huwi mpole? Umeanza Kuandika pumba maana wenye pesa hapa Tanzania ndio huwezi wakuta kwenye harakati wanaogopa TRA na kupoteza hela zao.Hamjambo Wote!
Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia.
Kwenye Mada.
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa.
Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio tabia ya Asili Bali Tabia ambayo inatokana na Moja ya mambo haya au yote kwa pamoja yaani Umaskini, ujinga na maradhi
Mbaya zaidi uwe Maskini alafu uwe mjinga huna ujanja hapo lazima uwe Mpole tuu.
Wewe ni Maskini alafu hujasoma, hujui mambo mengi Ukali na ukorofi utautolea wapi.
Ukifuatilia kwenye huduma za kijamii zinazotolewa katika taasisi za serikali kama Hospitalini au hata Jeshi la Polisi utaliona tatizo Hilo kirahisi zaidi.
Watanzania sio wapole kiasili Bali wengi wao ni Maskini na wajinga. Hivyo upole unaonekana kwa sehemu kubwa ni hawana namna nyingine ya kufanya zaidi ya kuwa wapole.
Mtanzania anaweza akawekwa kwenye benchi hata masaa matatu bila Sababu za maana na akatulia tuu. Sio kwamba ni Mvumilivu au Mpole hapana. Hapo atakuwa aidha ni Maskini asiye na lolote au Mjinga ambaye hajasoma akaelimika.
Fikiria mtu anafika hospitalini, yupo foleni anaona foleni haitembei, haulizi Sababu, kumbe Ofisini Daktari anapiga Stori au anachat na simu.
Au Mteja(Mgonjwa) anahudumiwa mara anatokea Daktari mwingine anakuja hapo Ofisini wanaanza kupiga Stori sio chini ya dakika tano.na Stori zenyewe hazina uhusiano na mambo ya Kazi ya Udaktari. Mgonjwa yupo hapohapo tuu anashangaa shangaa kwa ujinga wake.
Nenda Mwendokasi pale, mnaweza kukaa Lisaa hata limoja, mmejaa haswa. Watanzania wamekaa kwa upole wa bandia, hawana chakufanya.
Wahudumu wa Mwendokasi hawawajibiki kwa Sababu walishawadharau Watanzania.
Viongozi wa taifa nao wanajifanya hawaoni kwa Sababu wameshawadharau Watanzania kwani watafanya nini hao watu maskini na wajinga wasioweza kufanya lolote lile kujisaidia.
Twende kwenye Ajira.
Ndugu zangu jamani wanateseka haswa.
Hakuna cha upole hapo ni Ulofa.
Watu wanaajiriwa ni waalimu madaktari tena wadegree lakini mishahara Yao ukiambiwa utacheka kwa kuwahurumia.
Hivi MD au Mwalimu wa degree ni wakulipwa Laki 3 na serikali IPO, vyama vya wafanyakazi vipo, Dola IPO, usalama wa taifa upo, CCM IPO, chadema ipo. Viongozi wa Dini wapo 😂😂.
Kweli!
Mtu wa degree alipwe Laki Tatu na jamii IPO inaona kawaida. KWELI!
Unajua maana yake hiyo?
Kama mtu wa degree yaani mwenye elimu ya juu kabisa analipwa pesa za namna hiyo vipi Yule ambaye hajasoma Kabisa.
Unajua kimantiki ni kwamba Yule ambaye hajasoma atakuwa kwenye Hali mbaya zaidi.
Maana waajiri watatumia msemo na nahau kusema kama WA degree analipwa laki Tatu wewe nikulipe Laki Tatu ya nini na uliishia kidato cha nne au hukusoma Kabisa.
Alafu kuna Yale majitu majinga Kabisa na bila Shaka yametokea familia zile Fukara Kabisa na sio maskini utayasikia yakisema tafuta Pesa.
Huwezi mkuta mtu mwenye akili timamu na ambaye katoka familia iliyonyooka akaongea misemo ya kipunguani kama hiyo ya Tafuta pesa.
Wenye Akili wote na matajiri wanajua pesa inahitaji Mifumo Bora ya Sheria katika utafutaji ikiwemo kujiajiri na kuajiriwa hapo utahusisha na mambo ya Kodi, ulinzi wa Mitaji n.k.
Sasa mtu unamwambia atafute pesa, anakuuliza kwa namna ipi,aajiriwe alipwe Laki mbili itamtosha?
Alime tikitiki au korosho kuna soko la uhakika? Au ndio abeti?
Njoo kwenye Viwanda huko ndio utajua kuwa Watanzania sio kwamba ni wapole Bali ni umaskini na ujinga ndio adui aliyewamaliza.
Mtu anafanya Kazi masaa zaidi ya 12. Hicho kimshahara usitake kukisikia kwani itakuwa murder Case. Utakufa nakuambia.
Nilishawahi kusema na kuandika ni Bora tusiwe na kiwanda hata kimoja kuliko kuwa na maviwanda yanayogeuza Mwananchi hata Mmoja kuwa Msukule au mtumwa.
Lazima tujali watu wetu. Huo ndio Uongozi na utawala Bora.
Nilishasema kama Mtibeli hatuwezi epuka sera za UVAMIZI kama kweli tunataka kupiga Hatua.
Hayo maviwanda kama yanaulazima wa kuwepo tafuteni vibarua kutoka mataifa mengine wafanye hizo Kazi.
Wanaosema hivyo viwanda vinaleta Ajira nataka kuwaambia hakunaga Ajira za kuumiza watu na kuwafanya wawe Watumwa katika nchi Yao wenyewe. Hizo Kazi ngumu za shokoa zinahitaji ziwekewe Sheria inayoeleweka na maslahi ya wafanyakazi yawe Bora.
Kama haiwezekani vifutwe tuu.
Hao vijana wafanye shughuli zao zingine.
Serikali, usalama wa taifa, vyama vya siasa, Hatuwezi kujiona Tupo salama katika nchi yetu hii ambayo imejaa mvamvuli wa upole kumbe ni Ulofa uliosababishwa na Umaskini na Ujinga.
Nchi Ile iwe Salama sio kuwa na Jeshi IMARA lenye silaha IMARA.
Nchi Ile iwe Salama lazima wananchi wake wawe HURU.
Wasiwe Watumwa kwa wageni.
Wasifanyane Watumwa wao kwa wao.
Nchi ambayo wananchi wao wapo Huru lazima iwe na ulinzi na usalama Mkubwa.
Na Vita yoyote lazima watoboe. Iwe vita ya mapigano ya silaha za kiteknolojia, au vita ya Magonjwa, au Vita yoyote Ile.
Lakini nchi ambayo watu wake hawapo Huru. Kwa falsafa za Kitibeli tunasema nchi hiyo haiko Salama na Wala haina ulinzi wa maana.
Ni kwamba, nchi au taifa hilo lipo mikononi mwa maadui. Ingawaje kwa Nje wengi wanaweza wasilione Hilo lakini Kwa jicho la ndani au macho ya kimedani au jicho la kifalsafa tunaweza kusema taifa hilo halipo Huru na Uhuru wao upo mikononi mwa maadui. Na ikiwa maadui ndio wameshika taifa lolote lile hiyo itamaanisha taifa husika halipo salama isipokuwa kuna kiini macho.
Haishangazi kusikia utekaji, mauaji ambayo hayafanyiwi uchunguzi wowote, na watu wapo Kimya kana kwamba hakujatokea chochote. Hahitaji uwe na akili nyingi sana kugundua hatari iliyopo.
Tunahitaji Tanzania ambayo watu wanapendana Sana.
Kwa sababu kwenye upendo kuna umoja na ushirikiano na furaha.
Tunahitaji Tanzania yenye HAKI kwa Sababu Haki ndio utaifa wenyewe.
HAKI baina yetu wenyewe kwa wenyewe. Mtanzania Kwanza.
Mabadiliko haya yaanze na mtu Mmoja Mmoja.
Maana kuna watu wanataka tuu watu Fulani wabadilike labda viongozi huku wao hawataki kubadilika.
Mabadiliko unaanza nayo wewe.
Sio unahudumia wananchi labda fundi nguo unachelewesha Kazi za watu. Huna tofauti na hao wengine,
Au fundi Mwashi unaiba vifaa vya Ujenzi na kuihujumu nyumba ya Mteja wako.
Au upo hospital ni Daktari au Nurse, hudumia watu Kwa haraka na ufanisi watu waendelee na mambo mengine.
Mwalimu, sio unapigapiga kelele,unatukana Wanafunzi wako na kuwatolea Maneno yasiyo na kichwa Wala miguu kama mwendawazimu. Hufundishi vizuri na unategea. Taifa halijengwi hivyo.
Taifa lenye UKWELI na akili.
Mtibeli Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master.
Kwa sasa Dar es salaam
Kwani Ukiwa na pesa huwi mpole? Umeanza Kuandika pumba maana wenye pesa hapa Tanzania ndio huwezi wakuta kwenye harakati wanaogopa TRA na kupoteza hela zao.
Ila ni ukweli mtupu Kwa sehemu kubwa,ila Mimi siko hivyo Huwa nakiwasha.
Utawakoromea uliowazidi hela ila huwezi.leta jeuri Kwa Serikali unless uungane nao.Ukiwa na pesa huwezi kuwa mpole wa kijingajinga
Utawakoromea uliowazidi hela ila huwezi.leta jeuri Kwa Serikali unless uungane nao.