Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

mkuu umeongea kweli kabisa
ulofa na ujinga unatusumbua
 
Tutajie Watanzania nchi moja tu Duniani isiyokuwa ma wajinga na tabia za uchawa.

Ukitaja nchi moja tu, utakuwa umefuta Upumbavu na upuuzi ulioandika.
Unataka kusemaje we chawa pro max
We ndo unitajie nchi yenye wajinga na chawa kama wewe.
 
Anachokifanya trump akili ya nchi za Dunia ya tatu toka kusini mwa jangwa la Sahara haziwezi elewa, bali ni wale tu wanaoishi Dunia ya 1 na hasa toka taifa lenye nguvu duniani, yaani waamerika wenyewe.
Ufaransa, Canada, Germany, Uingereza, China, Mexico, kutaja nchi chache ambao hawamwelewi nao wapo Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara sio? Mwamba uko vizuri. Unatakiwa ukawe Prof. Princeton College! Ahahahahaha!!!
 
Dogo muulize Mtibeli aliyeroa post.
 
Kiukweli sijasoma yote. Ila nikuulize, upuuzi anaofanya Trump na Wamarekani wamekaa kimya, nao ni maskini?
Wamarekani wameisoma hii comment yako na wameshaanzisha maandamano Nchi nzima kuupinga Upuuzi wa Trump 😳 !

Kumbe jf inasomwa Duniani kote πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…