Ulikuwepo ukaona ndege ilijipigiza mbele? Ilijipigiza wapi kiasi cha kufanya hewa iingie ndani..Kuzama kwa ndege kulisababishwa na hewa iliyokuwa ikiingia ndani ya ndege kupitia mbele ambako ndege ilijipigiza...hata ule mlango wa nyuma usingefunguliwa bado ndege ingezama tu kwakuwa teyari maji yalianza kuingia kupitia mbele.
Ikishakuwa ajali ya chombo chochote kile hata ule ukamilifu wa chombo husika kiufundi huwaga ni changamoto nyingine
Mavi matupuPamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Umeongea point, lkn kama kungekuwa na quickly response ya hawo experts bas hao local people wangezuiwa au wangeelekezwa na hao experts lkn hawakifika ontime ndio maana wavuvi wamewai, na taarifa ilitolewa mapema kabla ya kuzam meli hiyoPamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Ajali zinapotokea zinataka utulivu na subra kidogo ili uokozi ufanyike pasi na kuleta madhara zaidi..papara na haraka haraka mara nyingi zinaongeza madhara.Wenye ujuzi ndio hao wanafika muda watakao.
Mkuu ulivyokomaa na ajali ya kagera kana kwamba hiyo ndio ajali pekee ambayo imewahi kutokea tz...Nimetoa mfano wa mv bukoba waliosababisha meli izame na idadi kubwa ya watu ni wale waliwahi kutoboa upande mmoja bila kujua madhara yatakayotokea..au wewe hata kama unaokoa mtu mmoja ni sawa halafu 20 wanakufa bado utasema umesaidia? Mambo ya kusema utamaduni kusaidiana yana mahali pale si kila tukio lazima usaidie pima pia msaada unaoutoa unaweza kuongeza madhara..
Kwa mijibu wa taarifa aliyefungua mlango ni muhudumu wa ndege aliyekuwa upande wa nyuma....Wataalam watasema kama wavuvi ndio waliofungua milango, mimi sijui aliyefungua milango, abiria au wavuvi..
Mkuu itoshe kusema nchi inapotezwa na watu wa aina yenu mnaojiona ni wataalamu ya wajuvi zaidi kuliko uhalisia ulivyo.Ulikuwepo ukaona ndege ilijipigiza mbele? Ilijipigiza wapi kiasi cha kufanya hewa iingie ndani..
Mkuu, Una hoja nzuri Ila Acha kuhisi kihisia wazima uhalisia.Ajali gani unaongelea..ajali zinafanana? Ajali ya Lori ya mafuta petrol imeanguka na mafuta yanamwagika ni sawa na ajali ya costa imeanguka..wewe unaona zinalingana?
Kutoa usaidizi kwa chombo na majeruhi kunafanana? Ndio maana nimesema watu wapime kiwango cha kutoa msaada kutokana na mazingira ya ajali.
Tuelimishane kuwa ni vizuri kutoa muda hata wa dk 15 hadi 20 kusubiri rescue team au wenye dhaman ya kuelekeza wafike kwenye tukio km polisi, viongozi nk ili uokozi ufanyike wakati wao wakiwasiliana na wengine kwa msaada zaidi kuliko kufanya haraka inayoweza kutoa matokeo mazuri sawa lakini pengine ikaleta madhara pia..mfano wavuvi sidhani hata wanafaham ndege ilikuwa na abiria wangapi, unaweza kuokoa 5 halafu 10 wakapoteza maisha sababu ya kufanya haraka pasina na ufaham na ujuzi wa kufanya uokozi.Umeongea point, lkn kama kungekuwa na quickly response ya hawo experts bas hao local people wangezuiwa au wangeelekezwa na hao experts lkn hawakifika ontime ndio maana wavuvi wamewai, na taarifa ilitolewa mapema kabla ya kuzam meli hiyo
Tuelimishane kuwa ni vizuri kutoa muda hata wa dk 15 hadi 20 kusubiri rescue team au wenye dhaman ya kuelekeza wafike kwenye tukio km polisi, viongozi nk ili uokozi ufanyike wakati wao wakiwasiliana na wengine kwa msaada zaidi kuliko kufanya haraka inayoweza kutoa matokeo mazuri sawa lakini pengine ikaleta madhara pia..mfano wavuvi sidhani hata wanafaham ndege ilikuwa na abiria wangapi, unaweza kuokoa 5 halafu 10 wakapoteza maisha sababu ya kufanya haraka pasina na ufaham na ujuzi wa kufanya uokozi.
Utakuwa ujinga wa kiwango cha juu kutetea experience mbovu..kila mahali polisi wapo, tena siku wengi tuna namba zao, viongozi wapo nk..watu wasubiri hata dk 20 ili wenye dhamana za kushughulika na usalama wa watu na mali zao wafike ili chochote kinachofanyika kifanyike kwa maelekezo..ajali ya morogoro kwa mfano ya ile Lori ya mafuta wewe unaona ni sawa ilivyofanyika watu kuvamia pasina na tahadhari hata ya usalama wao wenyewe..walipona sasa, na ubongo bongo wako..Mkuu, Una hoja nzuri Ila Acha kuhisi kihisia wazima uhalisia.
Kibongobongo Bado hatujafikia level hiyo ya kusubiria wataalam ili uokolewe unapopata ajali.
Una mawazo chanya Ila kimsingi hayana maana Kwa Aina ya maisha yetu watanzania.
Wako busy kugawana mgao wa Symbion 359bn. Kwao maiti haziwahusuYaani wavuvi inaonekana wana akili na msaada mkubwa kwa umma kuliko viongozi wa Serikali.
Shame to you all government officials. Hamna msaada wa maana kwa umma.
Futa huu upuuzi uliouandika.Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Ulaya gani wewe..tumia akili bwana, hivi kusubiri polisi wafike kwenye tukio ni mambo ya ulaya..Nafikilia unaongelea uraya na sio tz hizo hadis zinanguvu kwa uray mkuu apa jamii itakayo fik ktk ajali ndio hitakayo saidia zingine nipolojo tu
Huu nao ni Upumbavu. Kwa hiyo ukipata ajali Barabarani karibu na waendesha Bodaboba wasikusaidie mpaka kikosi cha uokoji cha Serikali kije??Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Aisee!!, Point yako inaweza kuwa na maana kwa baadhi ya scenerio , hao wataalamu unaowazungumzia wamemuokoa nani pale?, all 26 alive's victim wameokolewa na wavuvi.In desperate times hususani accident human intuition inaanza then inafautia logic katika uokozi ,Mungu awape nguvu waliopoteza wapendwa wao , Mungu wabariki waliorisk maisha yao kuwaokoa wengineNimetoa mfano wa mv bukoba waliosababisha meli izame na idadi kubwa ya watu ni wale waliwahi kutoboa upande mmoja bila kujua madhara yatakayotokea..au wewe hata kama unaokoa mtu mmoja ni sawa halafu 20 wanakufa bado utasema umesaidia? Mambo ya kusema utamaduni kusaidiana yana mahali pale si kila tukio lazima usaidie pima pia msaada unaoutoa unaweza kuongeza madhara..
Nyamaza km hutaki kuelewa nilichoandika.Futa huu upuuzi uliouandika.
Wataalam wenyewe si ndio tumewaona wako ufukweni huku wameshikiwa miamvuli? Ndio hao ulitaka wasubiriwe wakati abiria wako chini ya maji?Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Huyu kiumbe mjinga sana. Aliyewaokoa Abiria 26 kwenye ajali wa Ndege Bukoba ni nani hasa?,Futa huu upuuzi uliouandika.
Ni kweli kwamba kunahitajika utulivu na maarifa wakati wa dharura, lakini jiulize hao wataalam unaosema walikuwa wapi! hadi wavuvi na wananchi wa kawaida wakafika kwanza?Ajali zinapotokea zinataka utulivu na subra kidogo ili uokozi ufanyike pasi na kuleta madhara zaidi..papara na haraka haraka mara nyingi zinaongeza madhara.