Muelimishe huyu LimbukeniHapana tuweke facts mezani
Wavuvi walipofika eneo la meli walikataza kutoboa meli , wakasema itazama
Aliyelazimisha kutoboa ni kiongozi wa serikali.
JokaKuu Pascal Mayalla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muelimishe huyu LimbukeniHapana tuweke facts mezani
Wavuvi walipofika eneo la meli walikataza kutoboa meli , wakasema itazama
Aliyelazimisha kutoboa ni kiongozi wa serikali.
JokaKuu Pascal Mayalla
NdahaniPongezi nyingi kwao. Nasikitika kuona niliyoyaona. Tunakosa ubunifu. Tunakosa vifaa. Tunakosa uongozi.
Ile excavator kama wangefunga kamba mapema, pengine hadithi ingekuwa tofauti.
Naamini ipo haja sasa ya kufanya serious self assessment kama nchi. Tusijidanganye, kama tumesimama. Tusije anguka
Mawazo yako mazuri lkn si kwa Tanzania yetu.Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Awe alikuwa kiongozi siyo kiongozi uamuzi uliochukuliwa ulikuwa wa haraka kabla hata wenye utaalam wa uokozi vyombo vya majini hawajafika..hiyo ndio substance, kwamba haraka ya maamuzi kwenye ajali kama hizi haifai.Hapana tuweke facts mezani
Wavuvi walipofika eneo la meli walikataza kutoboa meli , wakasema itazama
Aliyelazimisha kutoboa ni kiongozi wa serikali.
JokaKuu Pascal Mayalla
Swali ni kwamba, kuna wataalaam ? Kuna kikosi cha uokozi?Awe alikuwa kiongozi siyo kiongozi uamuzi uliochukuliwa ulikuwa wa haraka kabla hata wenye utaalam wa uokozi vyombo vya majini hawajafika..hiyo ndio substance, kwamba haraka ya maamuzi kwenye ajali kama hizi haifai.
Mkichagu kuongozwa na wanafiki ndo matokeo yake haya.Airport inakosa mkakati wa uokoaji wa majini.Kwa kweli Bukoba Airport wamefeli vibaya.Sasa Emergence kwao ni kuzima moto tu?Yaani wavuvi inaonekana wana akili na msaada mkubwa kwa umma kuliko viongozi wa Serikali.
Shame to you all government officials. Hamna msaada wa maana kwa umma.
AminaWabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Hoja ni kwamba usiwadharau wavuvi, wanajua maeneo na maarifa ya kazi zao. Walipofika eneo walikataza kabisa meli istobolewe, kiongozi aliyekuwepo akatoa amri kwasababu hakukuwa na kikosi cha uokozi.Awe alikuwa kiongozi siyo kiongozi uamuzi uliochukuliwa ulikuwa wa haraka kabla hata wenye utaalam wa uokozi vyombo vya majini hawajafika..hiyo ndio substance, kwamba haraka ya maamuzi kwenye ajali kama hizi haifai.
Point nzyri sana hii mkuu na has a kwenye ajali za barabarani kuna shida sana kwenye ubebaji was majeruhi.Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Hao wataalamu wapo sasa?..yaani watu wakae pembeni waache wenzao wafe wakingoja wenye ujuzi ?....Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembe
Wapo..na uokozi si lazima vifaa vyote viwepo au timu ya uokozi km unavyobadilisha maneno iwepo, hata polisi ni mtaalam atasaidia sana kuratibu mawasiliano na wanaokuja kufanya uokozi waje na vifaa gani..ni vyema kusubiri wafike kwenye tukio.Swali ni kwamba, kuna wataalaam ? Kuna kikosi cha uokozi?
Mlango umefunguliwa na muhudumu was ndege kwa ndani, according to maelezo ya manusura ndugu Komba pamoja na wavuvi, hata hivyo wasingeweza kufungua wavuvi mlango kwa kuwa no rahisi kufunguka kwa ndaniWataalam watasema kama wavuvi ndio waliofungua milango, mimi sijui aliyefungua milango, abiria au wavuvi..
Sikiliza , Polisi ni sehemu ya timu ya uokozi kwa kusaidia usalam. Uokozi ni kazi ya kitaalamWapo..na uokozi si lazima vifaa vyote viwepo au timu ya uokozi km unavyobadilisha maneno iwepo, hata polisi ni mtaalam atasaidia sana kuratibu mawasiliano na wanaokuja kufanya uokozi waje na vifaa gani..ni vyema kusubiri wafike kwenye tukio.
Yaani wangesema wasubiri hao wataalamu wako now tusingepata hata survivor palePamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Kama huwezi kufahamu kazi ya polisi akifika kwenye eneo la ajali atafanya nini..ni shida kukuelewesha, lakini nadhani unaweza kuelewa tofauti ya kuwepo polisi kwenye ajali na kuwepo sympathisers kuna weza kuwa na matokeo gani..Hoja ni kwamba usiwadharau wavuvi, wanajua maeneo na maarifa ya kazi zao. Walipofika eneo walikataza kabisa meli istobolewe, kiongozi aliyekuwepo akatoa amri kwasababu hakukuwa na kikosi cha uokozi.
Ndio yale yale yanajirudia, kwamba tunalaumu wavuvi wa Bukoba kwa kazi nzuri lakini hutuambii kama kuna kikosi cha wataalam. Kuna mahali nimesoma unasema Polisi wafike! nani kakwambia Polisi ni kikosi cha uokozi!
Shughuli za uokozi tunazijua, Polisi ni sehemu lakini si wataalam.Kama huwezi kufahamu kazi ya polisi akifika kwenye eneo la ajali atafanya nini..ni shida kukuelewesha, lakini nadhani unaweza kuelewa tofauti ya kuwepo polisi kwenye ajali na kuwepo sympathisers kuna weza kuwa na matokeo gani..
Muulize kwanza kikosi hicho kipo? kama kipo ilikuwaje wavuvi wakafika mwanzo?Yaani wangesema wasubiri hao wataalamu wako now tusingepata hata survivor pale
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ajali zinatofautiana kwa mambo mengi..umbali, hali ya hewa, muda nk..kitu muhimu ni ufahamu wa namna uokozi utafanyika, kwa hiyo si lazima timu ya uokozi iwe karibu na tukio kila ajali inapotokea..mfano kumetokea ajali za watu kufukiwa migodini, yapo matukio ambayo uokozi umechukua hata zaidi ya wiki mbili kuwafikia wahanga wa ajali na wengine wakatoka salama..kwa hiyo si lazima ambulance iwe karibu kila tukio linapotokea..nilichosema mwanzo ni vzr kutoa japo muda mfupi ili wanaofahamu nini kianze kufanyika wafike..polisi ndio first responders na wanafahamu wajibu wao, kuliko kuamua haraka haraka inaweza kuwa sahihi lakini risk ya kuongeza madhara ni kubwa sana, km ilivyotokea kwa mv bukoba.Sikiliza , Polisi ni sehemu ya timu ya uokozi kwa kusaidia usalam. Uokozi ni kazi ya kitaalam
Ikiwa unataka Polisi wawe waokozi basi kwanini udhani wavuvi hawawezi tena wakijua mazingira ya maji !
Huwezi kusubiri kitu kisichokuwepo. Laiti kikosi kingalikuwepo eneo lile linafikika na ingalichukua muda mfupi sana
Hii habari ya kusubiri kisichokuwepo unaijua wewe haipo katika huduma za uokozi duniani
JokaKuu kakwambia kuwa uokozi unahusisha vikosi vya Ambulance, fire na polisi na watalaamu husika
Ndani ya dakika 10 inatakiwa siyo kusubiri tuu kwa kitu kisichokuwepo!
Wavuvi na wananchi wa Bukoba ahsanteni
Huelewi chochote bora kukaa kimya..hata ndege ilivyoundwa haiwezi kuzama kama inavyoonekana ikiwa tu milango itabaki imefungwa, kinachoonekana ndege yote imefunikwa na maji kasoro upande wa nyuma, nini kimesababisha ifunikwe na maji?
Kama hujaelewa nilichosema mwanzo tena kwa lugha nyepesi ni tatizo la uelewa kwako mwenyewe..ninaelewa zaidi yako juu ya mv bukoba, wala sina haja kubishana ubishani wa mitaani kama unavyotaka wewe..baki na unachojua, that's all.Shughuli za uokozi tunazijua, Polisi ni sehemu lakini si wataalam.
Kuna Polisi walikuwepo pale Bukoba wamefunga mikono! leo unawalaumu wavuvi ndani ya maji.
Shughuli za uokozi ni kazi ya ''timu mbali mbali zikifanya kazi kwa pamoja'' lazima uelewe hilo
Polisi ni sehemu ya timu hiyo! unaelewa
Kikosi cha uokozi kilichotakiwa kuwepo kingalikuwa na 'timu mbali mbali'' . Unaelewa
Kwa hili hakuna kikosi cha uokozi, halafu unalaumu waliojitolea kutoa wanachoweza.
Siyo kama huna hoja, unayo lakini katika mazingira yetu haina mantiki. Eti watu wasubiri dakika 20 majini! please
Una kahoja umesoma mahali lakini hujaweza kukasimamia kwa uhalisia wala huwezi kuoanisha vitu
Nafunga mjadala na wewe maana hujui nini kilitokea MV Bukobai! Ukishaelewa rudi tujadiliane