Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Ndio maana nilisema katika mazingira ya Bukoba ndege haikuwa mbali, ni mita 200 kwa taarifa za awali.Ajali zinatofautiana kwa mambo mengi..umbali, hali ya hewa, muda nk..kitu muhimu ni ufahamu wa namna uokozi utafanyika, kwa hiyo si lazima timu ya uokozi iwe karibu na tukio kila ajali inapotokea..mfano kumetokea ajali za watu kufukiwa migodini, yapo matukio ambayo uokozi umechukua hata zaidi ya wiki mbili kuwafikia wahanga wa ajali na wengine wakatoka salama..kwa hiyo si lazima ambulance iwe karibu kila tukio linapotokea..nilichosema mwanzo ni vzr kutoa japo muda mfupi ili wanaofahamu nini kianze kufanyika wafike..polisi ndio first responders na wanafahamu wajibu wao, kuliko kuamua haraka haraka inaweza kuwa sahihi lakini risk ya kuongeza madhara ni kubwa sana, km ilivyotokea kwa mv bukoba.
First responder maana yake siyo mtaalamu . Mathalani Polisi wangapi wana utaalamu wa mambo ya majini?
Hivi yule Polisi aliyesimama hata kuvuta kamba hakusaidia ndio first responder!
Haya mambo unayosoma ni vizuri, lakini ukiyasoma jaribu kuyaelewa yanafanyaje kazi