Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
Mara nyingi unaemdharau na kumwona c chochote ndio hua msaada ktk nyakati ngumu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mkoa umezungukwa na nchi jirani, ina maana hakuna Police Boat ya ku patrolUwanja wa ndege upo ziwani kabisa hivyo kukosekana hata boti moja ya dharura
Ningependa kumsikia mkuu wa kitengo cha maafa, Mh Waziri Mkuu.Je tunapswa kuamini kuwa pale uwanjani hakuna kikosi cha zimamoto na uokoaji?
Kuna ajali ya MV Nyerere miaka michache na kila siku zinatokea! hatujifunzi tunaadhimisha siku ya May 21 kwa kumbu kumbu , mapambio. Hatuna cha kujifunza.Ajali ya MV Bukoba hadi ajali ya hii ndege kwenye ziwa hilo hilo, serikali ya CCM haijajifunza wala kuwa tayari kubadilika kwenye sekta ya uokozi na dharura.
Yes, kwasababu neno ' priority na public interest' hayapatiwa misamiati ya kiswahiliKimsingi tumewekeza kununua mitambo imara kuiwezesha TCRA kuwafuatilia wananchi wanaoikosoa serikali kuliko kuweka mazingira na miundombinu wezeshi kwenye matukio kama haya.
Tumeaibika sana jana kama nchi endapo hiyo video ya ajali na maelezo yake vikisambazwa duniani.
Haya yote uliyo yaongea hayana nafasi kwa nchi hii labda kama unaongelea nchi nyingine,Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Sidhani kama uko serious ..au la una addiction ya kuangalia movie..kwa tukio la jana unasubiriaje vifaa vya uokozi mkuu? Unajua maji within few sec you are finished?hebu tupumzisheUlaya gani wewe..tumia akili bwana, hivi kusubiri polisi wafike kwenye tukio ni mambo ya ulaya..
Soma sentensi ya mwisho.
Sikuombei ila natafakari utajisikia vp ukipata ajali au watu wako wa karibu wakipata ajali utajiskia vipi ukikuta Raia wamesimama pembeni na smartphone zao wana chart wakiwa wanasubiria Wataalam wenye ujuzi wa kuokoa ambao nao muda huo wapo kwny maofisi wabakimbizana wapate posho za safari kabla ya kuanza safariPamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Nchi no one cares...sisi wakazi wa Bukoba tushajichokea na serikali zetu hiz...Kuna matatizo mengine
Hatuna disaster preparedness hakuna response nzuri yakitokea majanga. Hatuna contingency plan kwasababu viongozi ni myopic, kwamba hatuwezi ku foresee majanga! Tunamsinginzia Mungu! aah hiyo ni kazi ya mungu!
Ofisi ya Waziri mkuu ina idara ya maafa! idara lazima iwe na uwezo wa kutazama uwezekano wa maafa, kwa namna gani na wapi halafu namna ya ku -respond kwa wakati na kwa nyenzo gani.
Ipo katika vitabu tena vimeandikwa na wenzetu sisi tunasoma tu bure! hatuna vyetu
Kwetu, Idara ya maafa inatumika maafa yakitokea kama kuhifadhi miili, kusafirisha n.k.
Hiyo ni sehemu tu lakini si jukumu la kwanza la idara ya maafa
Idara ya maafa katika ofisi ya Waziri mkuu si sahihi, ni mwendelezo tu wa bureacracy
Hivi kweli hakuna boti ya ku patrol ikijiandaa ikiwa kuna tatizo!
Ofisi ya PM haijui kilichotokea ziwa Victoria si mara moja bali mara kadhaa
Hatujifunzi nini kilitokea bahari ya Hindi mara kadhaa
Kwanini tunaweza kuwa na mfuko wa Jimbo na kila Mbunge anapewa mipesa, halafu mkoa hauna kikosi cha uokoaji! Kwani airport ya Bukoba, Musoma au Mwanza si zinajulikana zipo karibu na Ziwa! Fire brigade za maeneo hayo zina vifaa vya kutosha zikiwemo Boat?
Haya mambo ya kuvunja matofali kwa vichwa au kuvuta magari tuyaache, tufikirie namna bora za kujiandaa na maafa! Hili la Bukoba linatuonyesha tusivyo na vipaumbele.
Waziri mkuu, rambi rambi hadi lini? Tunadhani kwa hili la maafa umeshindwa!
Bado yupo mkuu. mkubwa wao ni utandawazi bora kidogo hata siasa maana unawezashitka kwamba unatumiaka kukamilisha mission za watu wengine.Wala usiwe na shaka, tunapendana sana. Aliyetaka na aliyepanda mbegu kutugawa na kutufarakanisha keshatangulia.
JokaKuu Pascal Mayalla
Yaani wewe kolo, unasema wawasubiri wataalam?. Watoke wapi hao wataalam?, Dar au wapi!, Hao wataalam unaosema wanachojua wao ni kubwa simu zao za Smart phone, alafu kuelezea maelezo meengi waliojifunza darasani wakati watu wanaendelea kufa. Lakini wavuvi au wananchi hawana hizo hadithi, wao ni kuokoa kinachowezekana kuokolewa. Shukuru wavuvi kuwatoa hao 26, tungewasubiri hao wataalam, tungeokoa 0. Waache watanzania wajilee na kusaidiana, Suala la utaalam waachie Marekani.Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.
Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.
Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Yaani huyu jamaa sijamuelewa, yaani amejitia sana ujuajiMtaalamu wetu ukiwa kazini...
Mkuu yaani unamaanisha hata wale wavuvi pale wamefanya MAKOSA kuwaokoa wale watu 26? Je wangekaa kusubiri wapewe maelekezo na wataalamu hata hao 26 wangeokolewa?
Ajali yoyote ikitokea popote iwe ya gari, ndege au meli ilimradi iwe eneo lenye kufikiwa na jamii fulani ya watu basi kwa tamaduni zetu zenye upendo huwaga si rahisi kutoshiriki katika uokozi wowote ule endapo Kuna uwezekano.
Hizi Siasa za sijuie mifupa utapata dislocation sijui waokoaji wanaweza sababisha madhara mengine nadhani ni vitu minor Sana kikubwa kinachoangaliwa ni msaada...
Imagine leo waliopanda ndege wameokolewa na wavuvi Tena wanaotumia vifaa vya ki local Kama mtumbwi ya makasia huku ndege yenyewe ikivutwa na kamba ya manila na haohao watu haohao ambao si wataalamu na hawakusubiri maelekezo ya kitaalamu.
Akikujibu nitagg mkuuUshauri wa kiboya sana, kwa hiyo wavuvi wangesubiri uokozi kwa kusubiria wataalam na vifaa toka GGM na kagera sugar?
Kuna mtu angenusurika?
Je tuna team gani ya uokozi?
Tanzania ni yatima wenyewe wanahudumiana wazazi na viongozi ni wafu kiutendaji
Huyo jamaaa ni empty kichwaniMtaalamu wetu ukiwa kazini...
Mkuu yaani unamaanisha hata wale wavuvi pale wamefanya MAKOSA kuwaokoa wale watu 26? Je wangekaa kusubiri wapewe maelekezo na wataalamu hata hao 26 wangeokolewa?
Ajali yoyote ikitokea popote iwe ya gari, ndege au meli ilimradi iwe eneo lenye kufikiwa na jamii fulani ya watu basi kwa tamaduni zetu zenye upendo huwaga si rahisi kutoshiriki katika uokozi wowote ule endapo Kuna uwezekano.
Hizi Siasa za sijuie mifupa utapata dislocation sijui waokoaji wanaweza sababisha madhara mengine nadhani ni vitu minor Sana kikubwa kinachoangaliwa ni msaada...
Imagine leo waliopanda ndege wameokolewa na wavuvi Tena wanaotumia vifaa vya ki local Kama mtumbwi ya makasia huku ndege yenyewe ikivutwa na kamba ya manila na haohao watu haohao ambao si wataalamu na hawakusubiri maelekezo ya kitaalamu.
Na bado wakifika wanaweza fika mikono mitupu.Hakuna muda wa kusubiri, walipaswa kufika ndani ya muda mfupi. Hivi wewe ukiwa ndani ya ndege halafu unaona wavuvi wamesimama wanasubiri Polisi ungejisikiaje! Fikiria unahitaji dk 3 za Oksijeni halafu unasubiri Polisi wakusanyane kwanza. Hapana! dharura ina maana moja kikosi kiwe tayari na muda unaotakiwa ni kufika eneo.
Kwa mazingira ya Bukoba kikosi kingalikuwa bandarini isingechukua dakika 10 kufika katika ajali.
By the way kuna akabado bado Polisi na Wanajeshi walisimama pembeni, je ulitaka wavuvi nao wakunje mikono!
Hapana, hili ni uzembe wa kutokuwa tayari na majanga! hatuwekezi kunakohitajika tupo bize kununua V8
Tunawalaumu wavuvi kwa lipi? waliotakiwa kufika hawakuwepo!