Nimeguswa na wale wananchi waliookoa watu ajali ya ndege

Nimeguswa na wale wananchi waliookoa watu ajali ya ndege

Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,

uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,

ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.

Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Ungejaribu kuficha upumbavu wako

Wote tunaijua serikali yetu kwenye majanga wale wananchi walijiongeza
 
Aisee Una matatizo Mkuu, Yaani ajali itokee watu washindwe kuokoa wasubiri dk 20 wataalam waje? Are you serious? Hivi unajua changamoto ya miundombinu tuliyonayo?

Sidhani Kama ulishawah kupata ajali hapa Bongo.
Hilo ni chizi hata kujibishana nalo unapoteza mda watu tuliopata ajali tunajua umuhimu wa jamii zinazowahi kuokoa sasa yy subiri moto uwake nyumbani kwake na yupo mlangoni anahangaika kuufungua lakini anashindwa na huku anaona watu wako nje wanasubiri dakika 15 ama 20 waje wataaam ...Mm nikikuta ajari segem sisubiri hata sekunde sijui aje nani ni wajibu wangu kuasaidia.Kwanza km hawa wataalamu wangekua wanajua uwajibikaji wangekua wanatoa elimu kwa wananchi juu ya uokoaji hasa mashuleni hata wanao kaa kando za barabara .
 
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,

uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,

ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.

Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
mkuu hadi muda huu hakuna mtaalamu wa uokoaji amefika pale
zaidi ni hawa waokoaji wavuvi ushauri wako unafaa sana nchi za ulaya sio hapa.
 
Kuzama kwa ndege kulisababishwa na hewa iliyokuwa ikiingia ndani ya ndege kupitia mbele ambako ndege ilijipigiza...hata ule mlango wa nyuma usingefunguliwa bado ndege ingezama tu kwakuwa teyari maji yalianza kuingia kupitia mbele.

Ikishakuwa ajali ya chombo chochote kile hata ule ukamilifu wa chombo husika kiufundi huwaga ni changamoto nyingine
Upo sahihi kabisa .

National Geographic channel vipindi vya air crash investigation, ndege ikitumbukia Kwenye maji inatakiwa abiria baada ya kuvaa Maboya wasijaze hewa mpaka watoke ndani ya Ndege ndio wanashauriwa kuyajaza ili maboya yawanyanyue juu ya maji waelee.
Wakijaza hewa Kabla ya kutoka nje watapata taabu kutoka .
Kwa vyovyote lazima milango au madirisha yafunguliwe watu watoke nje , wakizidi kukaa ndani bila kufungua milango / madirisha watakosa hewa na madhara mengine yanaweza kutokea.
Yoyote kwa yote ni Muhimu kila mtu ajue kuogelea , ni nadra sana kwa wazungu kukuta Hata bibi au Babu hajui kuogelea
 
Tuelimishane kuwa ni vizuri kutoa muda hata wa dk 15 hadi 20 kusubiri rescue team au wenye dhaman ya kuelekeza wafike kwenye tukio km polisi, viongozi nk ili uokozi ufanyike wakati wao wakiwasiliana na wengine kwa msaada zaidi kuliko kufanya haraka inayoweza kutoa matokeo mazuri sawa lakini pengine ikaleta madhara pia..mfano wavuvi sidhani hata wanafaham ndege ilikuwa na abiria wangapi, unaweza kuokoa 5 halafu 10 wakapoteza maisha sababu ya kufanya haraka pasina na ufaham na ujuzi wa kufanya uokozi.
Mkuu nimeelewa unachomaanisha lakini tujaribu kuukubali ukweli mchungu kuwa tunaheshimu uwepo wa experts lakini pia tuheshimu sana nguvu ya umma, hivi hizo dakika 15 mpk 20 kwa ajali kama hiyo unaona mtu anatapatapa maji na kutetea nafsi yake kweli utakaa tu kusubiri wataalamu au wahusika waje je umetoa tatizo au umeongeza
 
Ajali kama ile Inahitaji msaada wa haraka usiozidi dak 10 yani zaidi ya hapo mtakuta maiti wotee so wale wa Mtumbwi ndo walikuwa karibu kuna mmoja aliugonga mlango na Kasia lake ndo watu wakapata nafasi ya kuanza kutoka Otherwise wangekufa wengi sanaa..!!
 
Mkuu Truevote naomba baadhi ya fact uziweke sawa maana kuna mfano unarudia katika kujenga hoja zako

Ebu tuambie nani alitoboa meli ya Mv Bukoba na kwa amri ya nani ?

Na tuambie ni kikosi gani kilifika leo kufanya uokozi nje na wavuvi ?
Kwanza nikujibu post yako ya 92 tabia ya kutoroka kwenye mada na kuanza kuongelea mtu aliyetoa maoni au hata kutoa lugha isiyo na staha ni kukosa nidhamu binafsi na kuheshimu mawazo ya wengine..hakuna anayekuja kuandika hapa kwa lengo la kubomoa kupitia matukio kama haya tunataka kujenga ili yanayoonekana ni mapungufu yarekebishwe..pili kwa suala la mv bukoba kujua nani alitoboa sidhani ina uzito, sabab sote tunajua meli ilitobolewa ikazama, na hakuna mahali nimesema wavuvi ndio walitoboa, lbd uonyeshe hiyo post, tatu hakuna mahali nimeandika kikosi, kwa anayesoma kwa lengo la kuelewa ataona maana ya kile ninajaribu kujenga na si kubadilisha maneno, nikisema hata polisi mmoja au wawili wakifika kwenye tukio hicho si kikosi..mambo ya kujifunza ni mengi ikiwemo kukubali ukweli kama ulivyo, mara nyingi inapotokea hali km hii wengi wanatetea kile walichofanya watu ni sahihi na serikali imeshindwa kufanya sehemu yake kitu ambacho si kweli wakati mwingine, huko nyuma utamaduni huu wa watu kusaidia matukio ya ajali ulileta malalamiko hasa pale watu wanaowahi kwenye tukio pamoja na kusaidia wengine wanafanya uhalifu, wanasachi mifukoni mwa majeruhi au kuchukua vitu vya majeruhi na hapo ndipo inakuwepo haja ya kusubiri ili angalau wanausalama wafike kwenye tukio ili wasimamie uokozi wa awali, si wote wanaweza kuwa wema kufanya uokozi wengine wanakuwa wamepata nafasi ya kufanya uhalifu pamoja na uokozi..tukio la morogoro ajali ya Lori la mafuta ni mfano wa haya ninayosema. Kutukana watu usiowajua kisa tu wametofautiana na wewe kufikiri ni hulka mbovu kabisa na sijui kwa nini watanzania wengi matusi ndiyo maneno mepesi kusema badala ya kutoa hoja na mifano..tuelimishane kwa staha ili kujenga, that's all.
 
Kwanza nikujibu post yako ya 92 tabia ya kutoroka kwenye mada na kuanza kuongelea mtu aliyetoa maoni au hata kutoa lugha isiyo na staha ni kukosa nidhamu binafsi na kuheshimu mawazo ya wengine..hakuna anayekuja kuandika hapa kwa lengo la kubomoa kupitia matukio kama haya tunataka kujenga ili yanayoonekana ni mapungufu yarekebishwe..pili kwa suala la mv bukoba kujua nani alitoboa sidhani ina uzito, sabab sote tunajua meli ilitobolewa ikazama, na hakuna mahali nimesema wavuvi ndio walitoboa, lbd uonyeshe hiyo post, tatu hakuna mahali nimeandika kikosi, kwa anayesoma kwa lengo la kuelewa ataona maana ya kile ninajaribu kujenga na si kubadilisha maneno, nikisema hata polisi mmoja au wawili wakifika kwenye tukio hicho si kikosi..mambo ya kujifunza ni mengi ikiwemo kukubali ukweli kama ulivyo, mara nyingi inapotokea hali km hii wengi wanatetea kile walichofanya watu ni sahihi na serikali imeshindwa kufanya sehemu yake kitu ambacho si kweli wakati mwingine, huko nyuma utamaduni huu wa watu kusaidia matukio ya ajali ulileta malalamiko hasa pale watu wanaowahi kwenye tukio pamoja na kusaidia wengine wanafanya uhalifu, wanasachi mifukoni mwa majeruhi au kuchukua vitu vya majeruhi na hapo ndipo inakuwepo haja ya kusubiri ili angalau wanausalama wafike kwenye tukio ili wasimamie uokozi wa awali, si wote wanaweza kuwa weka kufanya uokozi wengine wanakuwa wamepata nafasi ya kufanya uhalifu pamoja na uokozi..tukio la morogoro ajali ya Lori la mafuta ni mfano wa haya ninayosema. Kutukana watu usiowajua kisa tu wametofautiana na wewe kufikiri hulka mbovu kabisa na sijui kwa nini watanzania wengi matusi ndiyo maneno mepesi kusema badala ya kutoa hoja na mifano..tuelimishane kwa staha ili kujenga, that's all.
Hata mm ningesoma mapema ushauri wako ningekujibu zaidi ya hivyo.

Anyaway wakati unatoa ule ushauri wako bilashaka ulikuwa umechuchumaa chooni maana una nuka mavi. Kila anaeusoma mwenye akili zake timamu lazima azibe pua.

Ni vichaa na tu kama wewe ndo wanaoweza kushangilia harufu mbaya.

Ungekuwa na akili timamu usinge shauri upupuu Kama ule.

Haya tuambie hao wataalum wenye ujuzi wa uwokozi walifika saa ngapi eneo la tukio? Waliokoa watu wangapi?

Na hao unao waita wasiyo na ujuzi walifika saa ngap? Waliokoa watu wangapi?

Ktk idadi ya walio okolewa wangapi waliokolewa na wajuzi wa wokozi?

Na wangapi waliokolewa na watu unaowaita wasiyo naujuzi wa uwokozi?

Wakati mwingine ni vizuri kunyamaza ili kuficha upumbavu wako.
 
Mkuu nimeelewa unachomaanisha lakini tujaribu kuukubali ukweli mchungu kuwa tunaheshimu uwepo wa experts lakini pia tuheshimu sana nguvu ya umma, hivi hizo dakika 15 mpk 20 kwa ajali kama hiyo unaona mtu anatapatapa maji na kutetea nafsi yake kweli utakaa tu kusubiri wataalamu au wahusika waje je umetoa tatizo au umeongeza
Acha nae huyo mpuuzi mmoja amejaza nyasi kichwani
 
Tuelimishane kuwa ni vizuri kutoa muda hata wa dk 15 hadi 20 kusubiri rescue team au wenye dhaman ya kuelekeza wafike kwenye tukio km polisi, viongozi nk ili uokozi ufanyike wakati wao wakiwasiliana na wengine kwa msaada zaidi kuliko kufanya haraka inayoweza kutoa matokeo mazuri sawa lakini pengine ikaleta madhara pia..mfano wavuvi sidhani hata wanafaham ndege ilikuwa na abiria wangapi, unaweza kuokoa 5 halafu 10 wakapoteza maisha sababu ya kufanya haraka pasina na ufaham na ujuzi wa kufanya uokozi.
una upeo mdogo sana,yaani Ajali itokee kisha raia waache kufanya uokozi wasubiri Polisi au Viongozi wafike??hivi unafikiri kwa kichwa kweli au??hao Polisi unafikiri wakija watakuwa na vifaa vya uokozi??akili zako Mungu akusaidie tu
 
Hiyo ndege ilikuwa na vifaa vya kuelea kweli? Naona kila anayeokolewa hana life jacket ambazo ndege za abiria zinatakiwa ziwe nazo.
 
Yaani wavuvi inaonekana wana akili na msaada mkubwa kwa umma kuliko viongozi wa Serikali.

Shame to you all government officials. Hamna msaada wa maana kwa umma.
Wananchi wenyewe kwa wenyewe hata wakiachiwa nchi waiongoze bila hawa mafisadi wanaochaguana wenyewe kuingilia kati. Nchi itakimbia sana kwenye maendeleo. Yaani itokee maamuzi yako mikononi mwa mwananchi bila mwanasiasa kuingilia kati. Mfano uchaguzi wachaguane wenyewe mtu wanaemtaka, bila mwanasiasa kujichomeka. Nchi itakimbia sana kwenye maendeleo
 
Yaani wavuvi inaonekana wana akili na msaada mkubwa kwa umma kuliko viongozi wa Serikali.

Shame to you all government officials. Hamna msaada wa maana kwa umma.
Kwenye mikasa mikubwa kama hii hao waheshimiwa usiwaweke akilini.Hao ni mahodari wa kumsifia mteule wao,kutoa maagizo na matamko.Nafasi zao na shibe zao ni muhimu zaidi kuliko uongozi.Sisi pangu pakavu ndio wa kushikamana na kupambana za hali zetu.
 
View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.

Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.

Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.

Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Kuna abiria 2 wameripotiwa kuzidi ndani ya ndege iloanguka.

Je walioshika Bomba kama daladala za mbagala au ndo Yale ya Mgombea CCM kupata kura nyingi kuliko idadi halisi ya wapiga kura yanajirudia?
 
Acha nae huyo mpuuzi mmoja amejaza nyasi kichwani
Yani kuna namna fulani unaona jamaa anaroho moja ya ajabu sana haswa kiuhalisia katika maisha yake ya kawaida yani nakosa hata kundi lakumuweka inaonesha hata familia yake ikipata majanga ndani ikiwa yeye kama ndiyo baba response yake ni zero.
 
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,

uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,

ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.

Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Mkuu wewe unafikiria kama mwanasiasa.
Isingekuwa wale wavuvi wa watu idadi ya waliopoteza masiha pengine ingekuwa kubwa zaidi.
 
Umeongea point, lkn kama kungekuwa na quickly response ya hawo experts bas hao local people wangezuiwa au wangeelekezwa na hao experts lkn hawakifika ontime ndio maana wavuvi wamewai, na taarifa ilitolewa mapema kabla ya kuzam meli hiyo
na taarifa ilitolewa mapema kabla ya kuzam meli hiyo... Mkuu sio meli ni ndege samahani lakini.
 
Ndio maana nikasema cha kwanza ni kusubiri hata dk 20 basi ili polisi wafike kwenye tukio maana hata wao ni wataalam na wana nyezo muhimu kuharakisha zoezi la kuanza uokozi kufanyika, lakini hata tu wakiona ajali ilivyotokea wana ufahamu kuelekeza uokozi wa awali ufanyike vipi..watu wawe na kusubiri kidogo kuliko kuanza uokozi wanavyojua wao wenyewe kwa sababu tu wako kwenye tukio.
Nashawishika kuamini kuwa una tatizo la kimsingi!
 
Back
Top Bottom