Nimeguswa na wale wananchi waliookoa watu ajali ya ndege

..kila kunapokuwa na sherehe za kitaifa huwa kuna ' show ' ya maaskari wanaopasua matofali kwa kichwa, kukunja nondo kwa meno, misafara ya silaha nzito-nzito, magari ya deraya, etc etc.

..ungetegemea ktk matukio ya ajali kama hii ya Bukoba vyombo vyetu vitakuwa tayari na msaada utakuwa wa haraka. Lakini leo tumeshuhudia ni kinyume chake.

Hata mimi nimejiuliza zile show za makomandoo wakiokoa watu waliotekwa kutokea kwenye helkopta, mbona hawakutokea kwenye hii ajali? Au hao makomandoo wanasubiri tukio gani haswa ndio ukamandoo wao halisi uonekane?
 
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,

uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,

ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.

Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Wahusika waokoaji wafike kutoka south Africa au kutoka pemba?
 
View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.

Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.

Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.

Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Amen, naunga mkono hoja.
P.
 
Naunga mkono hoja.
P
 
View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.

Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.

Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.

Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Halafu hautokaa usikie wakipongezwa na serikali hii iliyokosa aibu.
 
haya unayoyasema yanawezekana ulaya sio Africa, Ulaya response ya rescue team ni muda mchache sana, huku kwetu rescue team inachukua muda mwingi kufika au wasiweze kufika kabisa na hata wakifika wanabaki hawana msaada.

MV Bukoba ilikatwa na watalaam wa kibongo sio wavuvi, watalaam kutoka SA walipokuja ndio wakakosoa maana walitaka waishike kwa juu na kuivuta nchi kavu.
 
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,

uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,

ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.

Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Mkuu,
Unaweza ukawa sahihi lakini nakukosoa kwa sababu
  1. Uwanja wa ndege upo ziwani kabisa hivyo kukosekana hata boti moja ya dharura tatizo siyo wananchi bali ni serikali na wataalam kuungana kwenye huu uzembe mkubwa wa karne. Imechukua muda gani hadi boti za uokozi kufika? Usikute hata hazikufika bali mashua binafsi ndizo zilitumika na vikosi vya uokoaji.
  2. Je tunapswa kuamini kuwa pale uwanjani hakuna kikosi cha zimamoto na uokoaji? Walishindwa nini kuwaongoza wale wasamaria waliopiga kasia kuifuata ndege? Ndege imezama mita 100 kutoka runway ujue. Hatukuona hata gari ya zimamoto iliyokuwa jirani na eneo la tukio maana yake tower haikuruhusu ndege kushuka au? Au yale magari yanakuja kwa zamu?
  3. Hulka ya Mtanzania ni kutoa msaada na kujaa eneo la ajali. Lile kundi la watu kujaa pale inaonesha kuwa uwanja wa ndege hauna hata uzio wa seng'enge amnapo kuna siku ndege itatua juu ya makundi ya ng'ombe watakaokuwa wanalisha nyasi za uwanja
  4. Umeshuhudia kwenye video, raia wakiivuta ndege kwa kamba kuileta nchi kavu. Je hilo nalo unataka kuwalaumu wananchi wasio na uelewa? Tumekosa hata kupeleka kifaru pale kikavuta ndege?
  5. Inawezekana wananchi walioenda na mtumbwi walisababisha tatizo zaidi lakini tuseme hawana elimu ya uokozi. Lakini ukimsikiliza abiria aliyenusurika anadai kuwa mhudumu wa ndege ambaye ana elimu ya majanga na uokozi kwenye situations za ajali za ndege alikuwa anapambania kufungua mlango. Kumbuka mlango wa ndege hauwezi kuufungua ukiwa nje labda uniambie hao raia wenye mioyo ya malaika walienda na vifaa vya kutobolea ndege waweze kuwaopoa watu.
  6. Tofautisha MV Bukoba na hii ajali. Kule kwenye ajali ya meli, kikosi cha uokozi kilibidi kutoka Dar es Salaam na hakukuwepo na tahadhari wala meli zilizoenda kuishikilia MV Bukoba isizame....
NInakamilisha kwa kusema tangu ajali ya MV Bukoba hadi ajali ya hii ndege kwenye ziwa hilo hilo, serikali ya CCM haijajifunza wala kuwa tayari kubadilika kwenye sekta ya uokozi na dharura. Kimsingi tumewekeza kununua mitambo imara kuiwezesha TCRA kuwafuatilia wananchi wanaoikosoa serikali kuliko kuweka mazingira na miundombinu wezeshi kwenye matukio kama haya.

Tumeaibika sana jana kama nchi endapo hiyo video ya ajali na maelezo yake vikisambazwa duniani. Taifa lisilojali ustawi na mustakabali wa future ya watu wake kwa kuwaekea mazingira ya kuaminika wakati wa dharura kama.hizi.

Hakika kama mazingira wezeshi yangekuwepo jana na waokoaji wenye utaalam wengekuwepo timely wangepelekea kukosekana kifo hata kimoja
 
Tuelimishane kuwa ni vizuri kutoa muda hata wa dk 15 hadi 20 kusubiri rescue team au wenye dhaman ya kuelekeza wafike kwenye tukio km polisi, viongozi nk ili uokozi ufanyike wakati wao wakiwasiliana na wengine kwa msaada zaidi kuliko kufanya haraka inayoweza kutoa matokeo mazuri sawa lakini pengine ikaleta madhara pia..mfano wavuvi sidhani hata wanafaham ndege ilikuwa na abiria wangapi, unaweza kuokoa 5 halafu 10 wakapoteza maisha sababu ya kufanya haraka pasina na ufaham na ujuzi wa kufanya uokozi.
Mkuu hii ni bongo.
Labda utujuze rescue team ilikuja baada ya muda gani.
 
Achana naye huyo anayesema wangesubiri wataalamu wa uokozi ndiyo waifanye hiyo kazi,

Wataalamu hawa wanaomfanyia Mgonjwa wa Kichwa operation ya Mguu, na Mguu ya Kichwa .?

Kesho wale wavuvi mtawaita wavuvu haramu , lakini Mungu awabariki sana lwa kujitoa kwao kuokoa maisha ya wale abiria walionusurika na ajali.
 
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Unaishi Tanzania wewe au unazungumzia yaliyo kwenye ndoto zako!

Ndiyo, ni kweli kabisa hayo uliyoeleza, lakini siyo katika mazingira ya Tanzania.

Hao wenye ujuzi umewaona wapi na walifika saa ngapi kwenye hilo tukio?

Hapa wananchi wamefanya juhudi zao kadri ya uwezo wao kuwaokoa ndugu zao, hao wataalam unaowazungumzia walikosa ma V8 ya kuwapeleka kwenye sehemu ya tukio; sasa wewe hapa unataka uone wananchi wakikaa pembeni huku wakiwaona ndugu zao wakiteketea, hii ni akili ya wapi hii?
 
Kila kitu unachofanya wewe huwa una uhakika nacho..unauliza maswali ya kijinga kabisa, halafu kwa nini hamuongelei mfano niliotoa wa meli ya mv bukoba..ilizama kwa sabab watu waliowahi kufika kwenye tukio walitoboa upande mmoja wakatoa watu hata 10 hawafiki halafu watu zaidi ya 500 wakapoteza maisha sabab ya haraka haraka bila hata kufahamu madhara ya wanachokifanya..
Wameshakujibu kwamba waliotoboa Meli sio wavuvi bali yalikuwa ni maelekezo ya kiongozi wa serikali.
Wavuvi walitoa tahadhari kwmba isitobolewe itasababisha kuzama zaidi.
 
Awe alikuwa kiongozi siyo kiongozi uamuzi uliochukuliwa ulikuwa wa haraka kabla hata wenye utaalam wa uokozi vyombo vya majini hawajafika..hiyo ndio substance, kwamba haraka ya maamuzi kwenye ajali kama hizi haifai.
Ndege imeanguka mita 100 kutoka uwanja wa ndege. Hao wataalam wanaishi umbali kiasi gani hadi wachelewe kufika?

Haya tuseme walifika baada ya masaa mawili..kuna kitu gani cha kitaalam uliona kimefanyika pale?
 
View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.

Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.

Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.

Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Mkuu 'Jidu', jambo muhimu la kujiuliza ni hili.

Hii ndege ilikuwa ishafika kabisa na tayari kutua kwenye uwanja. Huu uwanja hauna kabisa huduma zozote za uokoaji, hakuna?

Huu ni uwanja wa aina gani, tena uwanja mkubwa wa mkoa?

Jambo muhimu linaloeleweka katika matukio ya aina hii katika nchi ni kwamba yanatoa sura mbaya kabisa kwa nchi husika.

Hii ni alama moja muhimu inayoonyesha uozo wa nchi ulivyo kiujumla wake.

Hili siyo swala la kutokuwa na raslimali za kutosha kushughulikia maafa kama haya, bali ni alama kuwa nchi ni ya hovyo hovyo tu isiyojuwa kufanya mipango yake. Kutambua yapi ni ya muhimu na yapi ni ya anasa tu.
Juzi tulikuwa tunarusha helikopta imening'iniza matokeo ya sensa; tukio hilo likiandamana na kongamano ambapo wahusika walijipongeza kwa mgongo wa wavuja jasho, ambao leo baadhi yao wamepoteza maisha!
 
View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.

Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.

Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.

Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Watanzania tunapendana sana. Tena sana. Kilichokuja kutuharibia upendo wetu ni
1. Siasa
2. Utandawazi
Bila hivi tulikuwa tunaishi kama ndungu
 
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,

uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,

ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.

Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.

Hauna akili
 
Huelewi chochote bora kukaa kimya..hata ndege ilivyoundwa haiwezi kuzama kama inavyoonekana ikiwa tu milango itabaki imefungwa, kinachoonekana ndege yote imefunikwa na maji kasoro upande wa nyuma, nini kimesababisha ifunikwe na maji?
Mnaleta 'utaalamu' wenu hapa JF baada ya tukio kutokea,nyinyi ndiyo wale mtu anahitaji k kuondolewa kwenye gari iliyopata ajali unaanza kuleta blah blah za 'dislocation' matokeo yake mtu anakufa bila msaada.Wape heshima zao hao wavuvi waliookoa hata hao 26.Siyo kila kitu ni cha kucomment,mengine mkaage kimya yawapite.
 
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,

uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,

ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.

Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Hivi ajali itokea na wewe umebanwa na chuma ambacho tunaweza kukitoa kwaiyo inyakuwa vizuri tukuache tuendelee kusubili watalamu waje kukutoa?
 
View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.

Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.

Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.

Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Wakisema usimdharau usiye mjua, huwezi just atakufaa wkt gani ndio hivi Sasa.

Ukute baadhi yao wkt wakipita juu wakiwaona hao wavuvi walikuwa wakiwadharau na kuwacheka wanavyoteseka na mitumbwi yao.
 
Huo ndio ubinadamu,huko mtaani mtu akipata ajali ya Gari si hua mnaenda kumuibia badala ya kumpa msaada? Wavuvi wametoa somo,tubadilike,Dunia ni mapito tu.
 
Back
Top Bottom