Kwa akili yako ndogo ajali ya boda boda unaona inalingana na ajali ya meli kuonga mwamba..Huu nao ni Upumbavu. Kwa hiyo ukipata ajali Barabarani karibu na waendesha Bodaboba wasikusaidie mpaka kikosi cha uokoji cha Serikali kije??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako ndogo ajali ya boda boda unaona inalingana na ajali ya meli kuonga mwamba..Huu nao ni Upumbavu. Kwa hiyo ukipata ajali Barabarani karibu na waendesha Bodaboba wasikusaidie mpaka kikosi cha uokoji cha Serikali kije??
Ajali inahitaji Subira kidogo? Ipi hasa? Umegongana ba Fuso uso kwa uso subira gani inasubiriwa?Ajali zinapotokea zinataka utulivu na subra kidogo ili uokozi ufanyike pasi na kuleta madhara zaidi..papara na haraka haraka mara nyingi zinaongeza madhara.
Aisee Una matatizo Mkuu, Yaani ajali itokee watu washindwe kuokoa wasubiri dk 20 wataalam waje? Are you serious? Hivi unajua changamoto ya miundombinu tuliyonayo?Utakuwa ujinga wa kiwango cha juu kutetea experience mbovu..kila mahali polisi wapo, tena siku wengi tuna namba zao, viongozi wapo nk..watu wasubiri hata dk 20 ili wenye dhamana za kushughulika na usalama wa watu na mali zao wafike ili chochote kinachofanyika kifanyike kwa maelekezo..ajali ya morogoro kwa mfano ya ile Lori ya mafuta wewe unaona ni sawa ilivyofanyika watu kuvamia pasina na tahadhari hata ya usalama wao wenyewe..walipona sasa, na ubongo bongo wako..
Ndio maana nikasema cha kwanza ni kusubiri hata dk 20 basi ili polisi wafike kwenye tukio maana hata wao ni wataalam na wana nyezo muhimu kuharakisha zoezi la kuanza uokozi kufanyika, lakini hata tu wakiona ajali ilivyotokea wana ufahamu kuelekeza uokozi wa awali ufanyike vipi..watu wawe na kusubiri kidogo kuliko kuanza uokozi wanavyojua wao wenyewe kwa sababu tu wako kwenye tukio.Ni kweli kwamba kunahitajika utulivu na maarifa wakati wa dharura, lakini jiulize hao wataalam unaosema walikuwa wapi! hadi wavuvi na wananchi wa kawaida wakafika kwanza?
Tunahitaji kuwapongeza wananchi kwa jitihada zao.
Kilichotakiwa ni Wataalam kufika kwanza ili kuwaongoza wananchi, kwa bahati mbaya hawakuwepo.
Ingalikuwa ni ujinga kuwatazama watu wanatapa tapa eti wakisubiriwa wataalam ambao hatujui kama wapo.
Tatizo ni kutokuwa na maandalizi ya dharura na akili zetu Waafrika na sisi Watanzania ni kutojifunza.
Meli ya MV Bukoba ilitosha kutufunza kwamba lazima tuwe na kikosi cha uokoaji 24/7 katika ziwa Victoria.
Bukoba kuna Bandari na kiwanja cha ndege kama ilivyo Mwanza.
Kulitakiwa kuwe na kikosi cha uokozi kikiwa tayari saa 24 kwa wito wa dharura.
Sijui kama kipo na kama kilikuwepo kikowapi hadi wavuvi watangulie!
Gharama za kikosi cha uokoaji ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya V8 zinazozunguka nchini.
Tunawezaje kuwa na Helicopter ya kutangaza sensa lakini hatuna boti ya uokozi wakati wa dharura
Dodoma kila anayesimama anapongeza huduma nzuri za jamii !!
Ni mwendo wa mapambio na kujikomba tu, eti leo tuwalaumu wavuvi kwa kujitoa!
Dodoma hakuna anayefikiri dharura hata siku moja, kila mmoja akikamata kipaza sauti ni kusifia tu.
Kesho utasikia wanatoa rambi rambi, hawa ndio wakuwaambia wakae kimya siyo wavuvi waliojitolea
Ninyi wa Dodoma msitutie kichefu chefu wakati huu wa msiba , msitoe rambi rambi wala msiongelee ajali ya ndege, endeleeni na mapambio na kusifia, mafao yenu yapo salama, tuacheni tuomboleze ndugu zetu!
Haya hayapaswi kutokea miaka 60! Ni aibu sana.
JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
Kwa akili yako kubwa kifo cha Binadamu kitokanacho na Meli kugonga mwamba ni zaidi ya Kile cha Mwendesha Baiskeli kugongwa na Boda?,Kwa akili yako ndogo ajali ya boda boda unaona inalingana na ajali ya meli kuonga mwamba..
Ujinga unakusumbua wewe..hujui kitu chochote, bongo bongo..nonsense kabisa.Aisee Una matatizo Mkuu, Yaani ajali itokee watu washindwe kuokoa wasubiri dk 20 wataalam waje? Are you serious? Hivi unajua changamoto ya miundombinu tuliyonayo?
Sidhani Kama ulishawah kupata ajali hapa Bongo.
Una uhakika gani hao Polisi watakuja baada ya hizo dk 20?. Kwamba kuna ajali halafu mnakaa kusubiri Watu ambao huna uhakika nao. Huu ni ujuha.Ndio maana nikasema cha kwanza ni kusubiri hata dk 20 basi ili polisi wafike kwenye tukio maana hata wao ni wataalam na wana nyezo muhimu kuharakisha zoezi la kuanza uokozi kufanyika, lakini hata tu wakiona ajali ilivyotokea wana ufahamu kuelekeza uokozi wa awali ufanyike vipi..watu wawe na kusubiri kidogo kuliko kuanza uokozi wanavyojua wao wenyewe kwa sababu tu wako kwenye tukio.
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Hakuna muda wa kusubiri, walipaswa kufika ndani ya muda mfupi. Hivi wewe ukiwa ndani ya ndege halafu unaona wavuvi wamesimama wanasubiri Polisi ungejisikiaje! Fikiria unahitaji dk 3 za Oksijeni halafu unasubiri Polisi wakusanyane kwanza. Hapana! dharura ina maana moja kikosi kiwe tayari na muda unaotakiwa ni kufika eneo.Ndio maana nikasema cha kwanza ni kusubiri hata dk 20 basi ili polisi wafike kwenye tukio maana hata wao ni wataalam na wana nyezo muhimu kuharakisha zoezi la kuanza uokozi kufanyika, lakini hata tu wakiona ajali ilivyotokea wana ufahamu kuelekeza uokozi wa awali ufanyike vipi..watu wawe na kusubiri kidogo kuliko kuanza uokozi wanavyojua wao wenyewe kwa sababu tu wako kwenye tukio.
Kwa akili yako kubwa kifo cha Binadamu kitokanacho na Meli kugonga mwamba ni zaidi ya Kile cha Mwendesha Baiskeli kugongwa na Boda?,
Kifo ni kifo, wewe ndio utofautishe wapi na kwenye mazingira gani unaweza kutoa msaada wakti ajali inatokea..ndio sabab ya kukupa mfano wa ajali ya boda na meli, si kila ajali unaweza kutoa msaada hata kama uko tayari kufa ukisaidia majeruhi.Kwa akili yako kubwa kifo cha Binadamu kitokanacho na Meli kugonga mwamba ni zaidi ya Kile cha Mwendesha Baiskeli kugongwa na Boda?,
Hii ndio point! nashangaa eti kuna mtu anasema ''dakika 20'' . Juzi Spika Pelosi alipokuwa attacked nyumbani kwake California ilichukua dakika 3 kwa Polisi kufika na kumkabili mhalifu...kwenye nchi za wenzetu ikitokea ajali ndani ya dakika 10 gari ya wagonjwa, zimamoto, na polisi wanakuwa wameshafika. Na kama kuna majeruhi walio na hali mbaya helikopta inaletwa kuwawahisha hospitali.
..Kwanini hatuwekezi kwenye vyombo vyetu vya uokoaji? Masuala ya usalama wa nchi ni pamoja na utayari wa vyombo vyetu kufanya shughuli za uokoaji kunapotokea ajali.
Cc Nguruvi3
Kila kitu unachofanya wewe huwa una uhakika nacho..unauliza maswali ya kijinga kabisa, halafu kwa nini hamuongelei mfano niliotoa wa meli ya mv bukoba..ilizama kwa sabab watu waliowahi kufika kwenye tukio walitoboa upande mmoja wakatoa watu hata 10 hawafiki halafu watu zaidi ya 500 wakapoteza maisha sabab ya haraka haraka bila hata kufahamu madhara ya wanachokifanya..Una uhakika gani hao Polisi watakuja baada ya hizo dk 20?. Kwamba kuna ajali halafu mnakaa kusubiri Watu ambao huna uhakika nao. Huu ni ujuha.
jifunze kupitia nchi zilizoendelea, kwanza all the time magari ya fire yako attention on runways, vifaa vyote vya uokozi viko tayari kwa lolote. Tanzania walileta mbwembwe pale MWL. NYERERE AIRPORT eti kwamba tulikuwa tunapiga mazoez ya kama hatar imetokea ad kuwaweka watu pressure juu kumbe mavi matupu wahuni awa.Ajali zinapotokea zinataka utulivu na subra kidogo ili uokozi ufanyike pasi na kuleta madhara zaidi..papara na haraka haraka mara nyingi zinaongeza madhara.
Kwa hiyo wewe unalaumu wavuvi waliotoa msaada leo? Wakati wanatoa msaada na kuokoa watu 26 wewe ulikuwa unakunywa mbege wapi au ulikuwa unachat na kufoward matukio tu.W
Kifo ni kifo, wewe ndio utofautishe wapi na kwenye mazingira gani unaweza kutoa msaada wakti ajali inatokea..ndio sabab ya kukupa mfano wa ajali ya boda na meli, si kila ajali unaweza kutoa msaada hata kama uko tayari kufa ukisaidia majeruhi.
Pongezi nyingi kwao. Nasikitika kuona niliyoyaona. Tunakosa ubunifu. Tunakosa vifaa. Tunakosa uongozi.View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa ziwani Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambai hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitoswa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.
Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.
Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Hapana tuweke facts mezaniKila kitu unachofanya wewe huwa una uhakika nacho..unauliza maswali ya kijinga kabisa, halafu kwa nini hamuongelei mfano niliotoa wa meli ya mv bukoba..ilizama kwa sabab watu waliowahi kufika kwenye tukio walitoboa upande mmoja wakatoa watu hata 10 hawafiki halafu watu zaidi ya 500 wakapoteza maisha sabab ya haraka haraka bila hata kufahamu madhara ya wanachokifanya..
Yanaonekana maswali ya Kijinga kwa sababu yanajibiwa na Mtu Mjinga kama weweKila kitu unachofanya wewe huwa una uhakika nacho..unauliza maswali ya kijinga kabisa, halafu kwa nini hamuongelei mfano niliotoa wa meli ya mv bukoba..ilizama kwa sabab watu waliowahi kufika kwenye tukio walitoboa upande mmoja wakatoa watu hata 10 hawafiki halafu watu zaidi ya 500 wakapoteza maisha sabab ya haraka haraka bila hata kufahamu madhara ya wanachokifanya..