Mbona kama swala la kumpelekea moto limekuwa kubwa sana
Peleka moto mpelekee moto....
Huu moto wa Neema Zungu au?Mpelekee moto hyo binti !!!
Maana uchawi hauendi kwa mentali
Ushauri mzuri asanteUsiogope hata sumu ukiwa na imani siyo sumu haitakudhuru,ukishaweka itikadi kwa moyo mmoja kabisa hatakudhuru.Tatizo imani yako ikishakuwa dhaifu ndiyo hapo sasa utaingia kwenye kujaribiwa.Yeye mwenyewe akishaelewa umepata taarifa atapatwa na khofu.mwisho wa yote uchawi hauendi kwa mentali.usije kulala na mifupa ya nguruwe na ganja.Sali mtangulize mola wako, huyo mchawi mwenyewe mpaka afanikiwe na yeye anamuomba Mola wake japo kwa njia ambayo siyo.Keep Fighting!!!
Kwanza ulipaswa kufanya utafiti mzr kabla hujaingia,lkn kwakuwa umeshaingia hama kimya kimya bila hata boss wako kujua suala la pesa tena mate chini na useme hii ni hasara kama hasara zingine, vinginevyo muite ukae naye chini mwambie kuna ndg yako amekuachia nyumba yake yeye kuhama kikazi na kwenda mkoa mwingine!.Habarini wakuu, mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu vipi nifanye njia gani ili nijiepusha katika hii kadhia
Ushauri wenu ni muhima sana.
Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
Sasa kama ni pesa itabidi nisubiri mwezi uishe huu Kibubu kijae au mnasemaje mkuuKwanza ulipaswa kufanya utafiti mzr kabla hujaingia,lkn kwakuwa umeshaingia hama kimya kimya bila hata boss wako kujua suala la pesa tena mate chini na useme hii ni hasara kama hasara zingine, vinginevyo muite ukae naye chini mwambie kuna ndg yako amekuachia nyumba yake yeye kuhama kikazi na kwenda mkoa mwingine!.