Zaburi 23
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 570
- 658
Habarini wakuu,
Mada tajwa hapo juu inajieleza.
Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa.
Pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu, vipi nifanye njia gani ili nijiepushe katika hii kadhia.
Ushauri wenu ni muhima sana.
Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa