Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

Zaburi 23

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
570
Reaction score
658
Habarini wakuu,

Mada tajwa hapo juu inajieleza.

Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa.

Pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu, vipi nifanye njia gani ili nijiepushe katika hii kadhia.

Ushauri wenu ni muhima sana.

Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
 
Usiogope hata sumu ukiwa na imani siyo sumu haitakudhuru, ukishaweka itikadi kwa moyo mmoja kabisa hatakudhuru.Tatizo imani yako ikishakuwa dhaifu ndiyo hapo sasa utaingia kwenye kujaribiwa.

Yeye mwenyewe akishaelewa umepata taarifa atapatwa na khofu.mwisho wa yote uchawi hauendi kwa mentali. Usije kulala na mifupa ya nguruwe na ganja. Sali mtangulize mola wako, huyo mchawi mwenyewe mpaka afanikiwe na yeye anamuomba Mola wake japo kwa njia ambayo siyo. Keep Fighting!
 
Usiogope hata sumu ukiwa na imani siyo sumu haitakudhuru,ukishaweka itikadi kwa moyo mmoja kabisa hatakudhuru.Tatizo imani yako ikishakuwa dhaifu ndiyo hapo sasa utaingia kwenye kujaribiwa.Yeye mwenyewe akishaelewa umepata taarifa atapatwa na khofu.mwisho wa yote uchawi hauendi kwa mentali.usije kulala na mifupa ya nguruwe na ganja.Sali mtangulize mola wako, huyo mchawi mwenyewe mpaka afanikiwe na yeye anamuomba Mola wake japo kwa njia ambayo siyo.Keep Fighting!!!
Ushauri mzuri asante
 
siku nyingine fanya utafiti wa mazingira ili upate dondoo ya nyumba husika kabla haujahamia
 
Habarini wakuu, mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu vipi nifanye njia gani ili nijiepusha katika hii kadhia

Ushauri wenu ni muhima sana.

Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
Kwanza ulipaswa kufanya utafiti mzr kabla hujaingia,lkn kwakuwa umeshaingia hama kimya kimya bila hata boss wako kujua suala la pesa tena mate chini na useme hii ni hasara kama hasara zingine, vinginevyo muite ukae naye chini mwambie kuna ndg yako amekuachia nyumba yake yeye kuhama kikazi na kwenda mkoa mwingine!.
 
Kwanza ulipaswa kufanya utafiti mzr kabla hujaingia,lkn kwakuwa umeshaingia hama kimya kimya bila hata boss wako kujua suala la pesa tena mate chini na useme hii ni hasara kama hasara zingine, vinginevyo muite ukae naye chini mwambie kuna ndg yako amekuachia nyumba yake yeye kuhama kikazi na kwenda mkoa mwingine!.
Sasa kama ni pesa itabidi nisubiri mwezi uishe huu Kibubu kijae au mnasemaje mkuu
 
Back
Top Bottom