BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
🤣🤣🤣🤣🤣Imeisha hiyo kesho baada ya magharibi tu nakuja kukubeba, ingekuwa siyo mwezi wa ramadhani tungefanya hata saa 7 mchana, ila mwezi huu tukifunga saa 7,tutabaki kutizamana bila kudinyana, tufunge saa 12 jioni, tunajifuturu sisi wenyewe.
Wapo wanaume wa4 mpaka hapoBinti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.
View attachment 2586771
View attachment 2586782
View attachment 2586767
Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia ndoano ila kabla ya zoezi hili nitumie uchunguzi wa kisasa kidogo.
Sasa Leo hii tukiwa tunapiga story nikamwekea bando la GB 2 kwenye simu, basi alikuwa bize kwenye net si mnajua tena kwa usawa huu watu walivyo na kiu ya mabando, kabla sijafanya hivi tayari nilikuwa najua password yake ya kufungua screen lock.
Nilimwekea bando kwasababu ningewasha data wakati wa kuifungua simu angejua nimeshika simu pale meseji za WhatsApp zikiingia.
Basi alitoka kidogo kwenda uwani nami nikaona huu ndio mwanya japo awali nilipanga kumzuga aende kununua kitu chochote sehemu ya mwendo wa dakika 3, alipoenda huko nilichukua simu fasta sana nikaifungua nikaingia google play store nikainstall app ile ya kuhamishia meseji, call log na majina kwenye simu mpa inayoitwa super back up.
Kwa umakini sana huku nikiangalia mazingira asije kunibamba nikaifungua app, nikahamisha sms na call logs zote haraka sana ziwe kwenye faili linalohamishika, nikahamisha mafaili hayo kwenye simu yangu kwa bluetooth.
Nipo hapa napitia meseji hali navyoiona huyu mwanamke ana wanaume kama watatu na wanapokezana bila kujua, mimi nimeona nikae pembeni tu.
Nataka nije DM nina hela za kuchezeaSawa, kila la kheri kwa utakayempata mbeleni.
Umeona sasa, unaleta mambo ya chomoa n'JAMBE. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tusubiri mwezi uishe.
🤣🤣🤣🤣Umeona sasa, unaleta mambo ya chomoa n'JAMBE. 🤣🤣
Hapana, funga nzuri inaenda na kufungua vizuri.🤣🤣🤣🤣
Hapana bwana, ili umalizie funga vizuri.
Umenishinda tabia🤣🤣🤣🤣Hapana, funga nzuri inaenda na kufungua vizuri.
Nafuturu kisha namfuturu mpishi wa futari.
Daku nakula mara mbili, nakula daku kisha namla mpika daku..
Mchana kimyaaaaa, jiooni na usiku ngoma inogile.🤣
Ulikuwa umepotelea wapi wewe?Sikuhizi Kila jambo ku share tu Cha peke yako kaburi tu
So hunitaki tena?Umenishinda tabia🤣🤣🤣🤣
Naachaje kukutaka kwamfano!!!So hunitaki tena?
Je unanipend mii ...........Naachaje kukutaka kwamfano!!!
usiache mwanamke mzuri kisa ana wanaume wengi tabia hubadilika..Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.
View attachment 2586771
View attachment 2586782
View attachment 2586767
Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia ndoano ila kabla ya zoezi hili nitumie uchunguzi wa kisasa kidogo.
Sasa Leo hii tukiwa tunapiga story nikamwekea bando la GB 2 kwenye simu, basi alikuwa bize kwenye net si mnajua tena kwa usawa huu watu walivyo na kiu ya mabando, kabla sijafanya hivi tayari nilikuwa najua password yake ya kufungua screen lock.
Nilimwekea bando kwasababu ningewasha data wakati wa kuifungua simu angejua nimeshika simu pale meseji za WhatsApp zikiingia.
Basi alitoka kidogo kwenda uwani nami nikaona huu ndio mwanya japo awali nilipanga kumzuga aende kununua kitu chochote sehemu ya mwendo wa dakika 3, alipoenda huko nilichukua simu fasta sana nikaifungua nikaingia google play store nikainstall app ile ya kuhamishia meseji, call log na majina kwenye simu mpa inayoitwa super back up.
Kwa umakini sana huku nikiangalia mazingira asije kunibamba nikaifungua app, nikahamisha sms na call logs zote haraka sana ziwe kwenye faili linalohamishika, nikahamisha mafaili hayo kwenye simu yangu kwa bluetooth.
Nipo hapa napitia meseji hali navyoiona huyu mwanamke ana wanaume kama watatu na wanapokezana bila kujua, mimi nimeona nikae pembeni tu.
Skia Nikuambia Mambo machache' Sana ww kijana.Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.