Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

Umeridhika sasa kuona text ya binti akimwambia msela "ameimiss pipi kijiti"
[emoji16]
 
Imeisha hiyo kesho baada ya magharibi tu nakuja kukubeba, ingekuwa siyo mwezi wa ramadhani tungefanya hata saa 7 mchana, ila mwezi huu tukifunga saa 7,tutabaki kutizamana bila kudinyana, tufunge saa 12 jioni, tunajifuturu sisi wenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣
Tusubiri mwezi uishe.
 
Mpaka hapo wanaume wanne kweli kusoma Cuba kumekusaidia
 
Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.

View attachment 2586771

View attachment 2586782

View attachment 2586767

Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia ndoano ila kabla ya zoezi hili nitumie uchunguzi wa kisasa kidogo.

Sasa Leo hii tukiwa tunapiga story nikamwekea bando la GB 2 kwenye simu, basi alikuwa bize kwenye net si mnajua tena kwa usawa huu watu walivyo na kiu ya mabando, kabla sijafanya hivi tayari nilikuwa najua password yake ya kufungua screen lock.

Nilimwekea bando kwasababu ningewasha data wakati wa kuifungua simu angejua nimeshika simu pale meseji za WhatsApp zikiingia.

Basi alitoka kidogo kwenda uwani nami nikaona huu ndio mwanya japo awali nilipanga kumzuga aende kununua kitu chochote sehemu ya mwendo wa dakika 3, alipoenda huko nilichukua simu fasta sana nikaifungua nikaingia google play store nikainstall app ile ya kuhamishia meseji, call log na majina kwenye simu mpa inayoitwa super back up.

Kwa umakini sana huku nikiangalia mazingira asije kunibamba nikaifungua app, nikahamisha sms na call logs zote haraka sana ziwe kwenye faili linalohamishika, nikahamisha mafaili hayo kwenye simu yangu kwa bluetooth.

Nipo hapa napitia meseji hali navyoiona huyu mwanamke ana wanaume kama watatu na wanapokezana bila kujua, mimi nimeona nikae pembeni tu.
Wapo wanaume wa4 mpaka hapo
 
🤣🤣🤣🤣
Hapana bwana, ili umalizie funga vizuri.
Hapana, funga nzuri inaenda na kufungua vizuri.

Nafuturu kisha namfuturu mpishi wa futari.

Daku nakula mara mbili, nakula daku kisha namla mpika daku..
Mchana kimyaaaaa, jiooni na usiku ngoma inogile.🤣
 
Umenishinda tabia🤣🤣🤣🤣
 
Naachaje kukutaka kwamfano!!!
Je unanipend mii ...........
Unanitaka pia .........
Unaniaminii ...
Na kuniridhia..

Mambo bambam kulaleki.. mimi mwaka huu nimekonda kidooogo sana nakuwa kama pepe kale, sio kwa raha hizi.🤣
 
Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.

View attachment 2586771

View attachment 2586782

View attachment 2586767

Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia ndoano ila kabla ya zoezi hili nitumie uchunguzi wa kisasa kidogo.

Sasa Leo hii tukiwa tunapiga story nikamwekea bando la GB 2 kwenye simu, basi alikuwa bize kwenye net si mnajua tena kwa usawa huu watu walivyo na kiu ya mabando, kabla sijafanya hivi tayari nilikuwa najua password yake ya kufungua screen lock.

Nilimwekea bando kwasababu ningewasha data wakati wa kuifungua simu angejua nimeshika simu pale meseji za WhatsApp zikiingia.

Basi alitoka kidogo kwenda uwani nami nikaona huu ndio mwanya japo awali nilipanga kumzuga aende kununua kitu chochote sehemu ya mwendo wa dakika 3, alipoenda huko nilichukua simu fasta sana nikaifungua nikaingia google play store nikainstall app ile ya kuhamishia meseji, call log na majina kwenye simu mpa inayoitwa super back up.

Kwa umakini sana huku nikiangalia mazingira asije kunibamba nikaifungua app, nikahamisha sms na call logs zote haraka sana ziwe kwenye faili linalohamishika, nikahamisha mafaili hayo kwenye simu yangu kwa bluetooth.

Nipo hapa napitia meseji hali navyoiona huyu mwanamke ana wanaume kama watatu na wanapokezana bila kujua, mimi nimeona nikae pembeni tu.
usiache mwanamke mzuri kisa ana wanaume wengi tabia hubadilika..
 
Wewe utakuwa mvulana ila mwanaume akitongoza hula mzigo na kuhudumia anapoweza na Hana muda wa kufanya ushilawadu, yaaniumemkuta mtu akiwa mtu mzima wewe unaanza kumchunguza? Mugabe aliwahi sema kuwa mwanamke ni kama bwawa la kuogelea na kwamba unapoogelea usitake kujua nani aliogeleavkabla Yako pia usitake kujua nani unaongelea nae na mwisho usitake kujua nani ataogelea kabla yako
 
Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.

View attachment 2586771

View attachment 2586782

View attachment 2586767

Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia ndoano ila kabla ya zoezi hili nitumie uchunguzi wa kisasa kidogo.

Sasa Leo hii tukiwa tunapiga story nikamwekea bando la GB 2 kwenye simu, basi alikuwa bize kwenye net si mnajua tena kwa usawa huu watu walivyo na kiu ya mabando, kabla sijafanya hivi tayari nilikuwa najua password yake ya kufungua screen lock.

Nilimwekea bando kwasababu ningewasha data wakati wa kuifungua simu angejua nimeshika simu pale meseji za WhatsApp zikiingia.

Basi alitoka kidogo kwenda uwani nami nikaona huu ndio mwanya japo awali nilipanga kumzuga aende kununua kitu chochote sehemu ya mwendo wa dakika 3, alipoenda huko nilichukua simu fasta sana nikaifungua nikaingia google play store nikainstall app ile ya kuhamishia meseji, call log na majina kwenye simu mpa inayoitwa super back up.

Kwa umakini sana huku nikiangalia mazingira asije kunibamba nikaifungua app, nikahamisha sms na call logs zote haraka sana ziwe kwenye faili linalohamishika, nikahamisha mafaili hayo kwenye simu yangu kwa bluetooth.

Nipo hapa napitia meseji hali navyoiona huyu mwanamke ana wanaume kama watatu na wanapokezana bila kujua, mimi nimeona nikae pembeni tu.
Skia Nikuambia Mambo machache' Sana ww kijana.
Kwanza kabisa ww sio seremala? Nope Bali umesomea fani nyigne acha kudanganya Hapa!
Pili Huyo mwanamke unampenda Sana ...Tena kidogo presha ingekuangusha ' unvyo mpenda mpaka Sasa moyo wako haujatulia.
Tatu..Hujui ufanye nn! Ila nikupe tu ushauri
Ukimpenda mwanamke usimchnguze Sana Maana Ukweli Ni huu mwanamke Ni empty spaces'
Hivyo anahitaji kujanzwa ' luga Rahisi moyo wa mwanamke Ni nafasi wazi inahitaji kujanzwa....yaani Kama Ana upweke akimpata mtu wa kufariji na kujali bila pesa Huyo Anakuwa Rafiki yake'
Akiwa Hana pesa akipata mtu wa kumjaza pesa Huyo naye Ni Rafiki yake.... okay nisitoe Siri nyingi Hapa.
Ila ww unaonekana una mapunguvu Sasa huwezi kushinda kwa ku hack simu Ila jazia mapungufu ulio Nayo..
Yaani Kuna nafasi zipo loose loose jazia Hizo Atakuwa wako Kama una mpenda ukishindwa ..Achia wengne nafasi ila acha kuhack simu za wenzako.
 
Back
Top Bottom