Jitulize bas...ondoa hiyo was was moyoni then mambo yatakaa sawaSawa ntafanya ivo japo kusema ukweli ananisaidia sana kupambana na hii hali na anaonesha kutojali ili nisiwe na mawazo hapo ndo huwa najipa iman huenda sio yeye
Duuh noma sanaKama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Kazi unayo tena pevu Ng'wanawane! Na ukisikia mshahara wa dhambi (hata kama siyo mauti) ndo kama hivi sasa!Kibaya zaidi mkuu uyo mchepuko nilipita nae kimasihara tu yaani nilipita nae tukaachana na hatukuonana tena na sina mawasiliano nae
Kabisa yani anamchora tuNami naamini hivi
Nenda kapandikize uume nilisikia MOI wanatoa hio huduma km sio MOI nenda KairukiNdugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Sio yeye wewe ndio una TATIZOSawa ntafanya ivo japo kusema ukweli ananisaidia sana kupambana na hii hali na anaonesha kutojali ili nisiwe na mawazo hapo ndo huwa najipa iman huenda sio yeye
Huyo nani?0746081082,,,pole sana hebu ukipata muda jaribu kimpigia huyo ingawa yupo busy sana lkn atapokea hrf ongeanae shida yako Kwa ufupi kama lipo ndani ya uwezo wake basi utapona! Uwe na Imani matatizo yapo ndani ya maisha yetu! Pole sana
Umeongea kiutu uzima sana asipofuata huu ushauri basi acha aendelee kutapeliwa😆😆😆Naona ni mgeni humu ila kwa kukusaidia kijana wangu chukua huu ushauri.
Sijasoma hadi mwisho ila tafuta muda mzuri ukae na mkeo faraga, mpe hadithi ya tukio zima la kuchepuka kwako na mueleze tu ukweli usione shida, mpe sorry ya nguvu mwanamme hawezi kulia ila ikibidi karibisha chozi hapo.
Then atakusamehe, baada ya msamaha tulia na tafuta siku tulivu upate show kwa bimkubwa wako huyo.
Ni wengi mnadhani mmerogwa kumbe siku unafunga NDOA na mkwe wangu aliweka/uliweka agano la aina hiyo ila umepofushwa kwa kusahau.
Ukipona mshukuru Mungu.
🙏🏾.
Huyo ni ngaliba wa miti shamba sio mganga ndiomana nimekwambia mwambie tatizo Kwa ufupi baada ya yeye kupokea! Ni kijana mdogo sana lkn anatibu magonjwa mengi na makubwa ambayo siwezi kuweka hadharani!Huyo nani?
Kasepa na umeme wako wa luku babaluku umebakia na Giza tu, hata nilale na Malaya condoms zenye Mbegu zangu naondoka nazo na simuachi anifutefute Mbegu zangu, hao viumbe ni wanga balaa wanaroga kishenziAhsante mkuu ila mke wangu kwa asilimia kubwa hana kinyongo na mm kwani kiuhalisia anafaham kuwa nilichepuka japo sikumwambia na pia ananisaidia sana kutafuta wataalam huko kwao ila hatufanikiwi na kuhusu mtu niliechepuka nae sina mawasiliano nae kwa sasa nilipita nae tu kimasihara akasepa tukapoteana hadi leo.
Ndio sio mkeo TATIZO unalo wewe mwenyeweNamaanisha aloniwekea kama ni mtego anaezekana asiwe mke wangu kutokana na anavonijali
Ngaliba kumbe okay sawaHuyo ni ngaliba wa miti shamba sio mganga ndiomana nimekwambia mwambie tatizo Kwa ufupi baada ya yeye kupokea! Ni kijana mdogo sana lkn anatibu magonjwa mengi na makubwa ambayo siwezi kuweka hadharani!
Alifuta?Nilikutana nae getto, nilifanya na ndom ila ckujua kuwa ni mke wa mtu
Wazigua wamekufanyaje?Mambo ya wazigua hayo😁