Mwaka 0202 kuna mama mmoja alisikika akisema "askali wao wakilenga moja huwa hawakosi" sasa jana sijui kilitokea nini..Ceremonial shooting...random shooting.. Shooting spree..
Haja nyoosha mikono juu alikuwa anajipiga kifuaNimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini.
Vinaonekana vipi mkuu?Vilipulizi huwa vinaonekana. Saa nzima wanapambana nae wangekuwa wameshajua. Na wangejua walivyo waoga hata kusogea wasingesogea
Duh! It is a pity.Nimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye amejeruhiwa kaanguka chini.
Baadhi sio wote Wacha kuwapa sifa kupambana na Gaidi inataka mafunzo maalumu sio hao waliozoea kuambiwa lenga pale. Kuna wenye mafunzo ya Counter Terrorism sawaIngekuwa jeiwii asingechukua hata duru huyo na angedakwa mzima mzima
"Inasemekana"Bomu alitoe wapi wakati inasemekana silaha aliwapora polisi wenyewe
Isingekuwa hivyo kwasababu alikuwa anawahitaji Polisi.Je, jamaa angekuwa kwenye kundi la watu ingekuaje?
Askari angejuaje kama jamaa kaishiwa risasiNimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye amejeruhiwa kaanguka chini.
Alipokuwa amejeruhiwa na kuanguka chini, Polisi waliendelea kumpiga risasi akiwa amelala chini ambazo nimehesabu na kukuta walimpiga risasi 19. Ajabu ni kwamba kundi lote lile la Polisi walifanikiwa kumpiga pale tu alipoishiwa risasi na kuonyesha wazi alishaamua kufa - maana alijifanya target rahisi sana.
Sasa hili lina maana gani? Ni wazi kwamba polisi wetu hawana weledi katika matukio kama haya, kwa kuwa baada ya kuwa umeona ameishiwa risasi na si tishio tena, jambo la msingi inabidi kuwa ni kumkamata akiwa hai ili kuweza kupata habari zaidi atakapodhibitiwa.
Kwa hiyo Polisi walipaswa kumkaribia kwa umakini katika formation ambayo kunakuwa na askari wanamsogelea wakiwa na silaha tayari, na wengine waanawa-cover askari wanaomsogelea katika kitu tunaita "flanks".
Lakini pia, kuna upande wa pili, kwamba huenda kuna askari walikusudia kumuua ili huyu mtu asitoe taarifa juu ya ugomvi wake na askari, maana mfu haongei!
Kwahiyo kuna conclusion mbili tu hapa, kwamba polisi wetu wako very unprofessional, na pia walikusudia huyu mtu asitoke kwenye hili tukio akiwa hai.
View attachment 1909036
Lazima askari mwoga atakuwa anajiuliza maswali kama hayo. Lakini nadhani aliitupa bunduki chiniAskari angejuaje kama jamaa kaishiwa risasi